Search results

  1. zetho

    Lowassa Alala kwenye Msiba, hii ni ishara ya dharau kwa wafiwa

    Ulikuwa wakati wa kusali, ukiangalia picha kwa nyuma kila mtu amefumba macho.
  2. zetho

    Idara ya Uhamiaji kuhoji uraia wa Zitto ni matusi kwa dola na watanzania

    Tulisha izoea tabiya ya Dr. Kaburu, ukiwa mpinzani wake basi we si mtanzania. Utadhani nchi hii ya mamake. 2010 alipiga propaganda kuwa mbuke wa Kigoma mjini Serukamba ni mnyarwanda tena shemeji yake Kagame.
  3. zetho

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Slaa na Lipumba walipewa kila mmoja 500 M Tzsh na kuadiwa ubunge wa kuchaguliwa kwa kazi moja tu, kumchafua Lowasa na Ukawa.
  4. zetho

    CCM na mapenzi ya ghafla kwa Dr. Slaa

    Josephine kasha malizana an CCM pesa ziko kwenye account tayari, wamemuhaidia Slaa pia ubunge wa kuteuliwa and uwaziri na East Africa.
  5. zetho

    Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

    Huyu nudie mme wa Josephine
  6. zetho

    Pic: CHAMA CHA UKOMBOZI (CHAUMA), CHAZINDUA KAMPENI ZAKE...

    [ATTACH]283168[/ATTAC Wana Islamic state wawili waliopenyezwa na CCM ndani ya Ukawa.
  7. zetho

    Maoni ya Dr. Lwaitama Kuhusu Hotuba ya Dr. Slaa...

    Wasaliti wakubwa wa taifa ndio hawa.
  8. zetho

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Ma Dr, and ma Professor wa Tanzania wanachekesha kwelikweli, Slaa na
  9. zetho

    Picha kutoka Jangwani, Wema, Diamond, Mwana Fa wapo pia mtu wangu

    October ndo itakuwa mwisho wao ki usanaha.
  10. zetho

    Humphrey Polepole on Star TV: Hama Hama katika Vyama, ni kwa Maslahi ya Nani?

    PolePole amejishushia heshima katika jamii. Ame kweli pesa ni shetani, PolePole huyu tuliyemjua mwenye viatu vya kukatikatika leo anakuwa nafanya interviews!!! Malaya mkubwa...
  11. zetho

    Makatibu wakuu CUF na CHADEMA wachukulieni hatua za kuwavua uanachama watu hawa wawili

    Babako ndo fisadi, au tuambie wewe ni mtoto uliyezaluwa nje ya ndoa na Lowasa na unakujua kiasi gani cha pesa anazo? Acheni ujinga. Peopleooooooooz
  12. zetho

    Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Polepole amejipotezea heshima katika jamii, kwa kujifanya baba wa katiba. Anatumiwa na CCM eti ndio njia iliyobaki kumpotezea credit Liwasa. Pesa ni hadui wa maendeleo kwa Polepole.
  13. zetho

    WIKIPEDIA wamkaanga Edward Lowassa, sijui ataponea wapi huyu bana

    Wewe ni mtu wawapi? Wikipedia unauwezo wa ku edit kila kilichoandikwa schrod own kuna Icon ya Edit, maanake unauwezo wa kuongeza kila kilicho andikwa isipokuwa hawezi kipunguza yaliyo andikwa kama wewe si mwanzilishi wa account hiyo. Unashauriwa kama unatafuta data za kweli Wikipedia sio sehemu...
  14. zetho

    Tetesi: Marais wastaafu waombwa kumsaidia Magufuli!

    Kama sio nguvu zako Kikwete(*3) Lowasa? Lowasa tungempata wapi!!! Udini ni sawa na dhambi ya kula nyama ya mtu. Kikwete hatarini maana Lowasa atamfikisha mahakani kwa kesi 2 kubwa. 1. Escrow 2. Richmond
  15. zetho

    Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Lipumba anapoziona picha hizi analia kwa uchungu, 2 billion zimemfanya aonekane msaliti wa taifa. Safari yamatumaini ndio hii sasa. Goooooooooooo Ukawa.
  16. zetho

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Mnafiki wa watanzania ni Lipumba, nashindwa kujua uprofesa wa huyu mzee ni wakitu gani!!! Amekubali kuthalulisha utu wake kwa sana u yakuahidiwa umakamu waziri wa fedha na CCM? mmmmm kazi ipo.
  17. zetho

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Lipumba na Slaa ni wasaliti wa taifa hili. Ni heri Zitto tulidanganya kuwa msaliti kuliko wanafiki, cancer ya mabadiliko ya demokrasia nchini Slaa na Lipumba.
Back
Top Bottom