Habari za muda huu Wanajamiiforums,
lengo la uzi huu ni kupeana taarifa zinazohusiana na mgawo wa maji kama ulivyo tangazwa na DAWASA, pia kupeana habari kama mgawo unafuata ratiba kama wanavyo tangaza, kushtuana maji yakianza kutoka na mengineyo yote yanayo husiana na huu mgawo.
Kwa kuanzia...
Salaam wakuu,
Kama nilivyo ainisha kwenye kichwa cha habari hapo juu ni takribani wiki tatu sasa maji yanayo toka kwangu na kwa majirano zangu yana vumbi.
(Yaani sio machafu ila ukiyaweka mdomoni unapata harufu ya vumbi au ukiyanywa bila kuchemsha vumbi linabaki kooni).
Je, hili tatizo ni...
Mamalaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (MTUWASA) mkoani Mtwara imelazimika kuagiza mchanga wenye ubora kutoka nchini Uturuki ili utumike kwenye chujio la kusafisha maji yanayotumiwa na wakazi wa Mtwara.
Chanzo: ukurawa wa facebook wa ITV.
Wale wajuzi wa sekta ya maji naomba kuelimishwa...
Salaam,
Bila kupoteza mda hebu nirukie kwwnye nukta ya msingi, ukifuatilia picha mbalimbali zinazowekwa kwenye mitandao ya kijamii, utaona Simba hawafanyi mazoezi tena Bunju.
Kwa wenye taarifa watujuze kwa nini imekuwa hivyo.
Wasalamu
MALALAMIKO MBALIMBALI YALIYOTOLEWA NA WADAU:
Habari za mida hii wakuu, hivi haya mabadiliko ya bando za Tigo ni kwangu tu au kwa watu wote? Maana daah bando zimekuwa ghali sana kwa sisi Wananchi wanyonge.
=====
---
---
---
---
---
---
=====
WADAU WENYE MTAZAMO TOFAUTI:
---
---...
habari za leo ndugu wana jukwaa,
hua ninapata shida sana wakati wa mvua kuendesha gari maana kuna ukungu hua unatokea kwa ndani kwenye kioo cha mbele, hivyo huathiri kwa kiasi kikubwa uwezo wangu wa kuona barabara vizuri.
Lakini kwa upande wangu hali ikiwa hivyo wenzangu wananipita kwa kasi sana...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tokea yalipofanyika Mapinduzi ya tarehe 12 Januari, 1964, tumekuwa tukiadhimisha tukio hilo kubwa katika historia ya Zanzibar kila mwaka inapofika siku hiyo. Tukio hilo kubwa ndilo lililopelekea kutangazwa kwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na Rais wa kwanza wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.