Search results

  1. mashonga

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    kuna package special zenye vyakula vikavu na dawa za huduma ya kwanza, ila pia kuna kuwa na zile temporary big camps ambako kuna kuwa na chakula kizito na huduma nyingine kama kuoga na mashine za kufulia. Hapa chini ni video ikionesha kipindi kile wanajeshi wa Ukraine walidaka dry food za...
  2. mashonga

    Mnaonunua malaya wa Telegram mna moyo

    ha ha hao ndio waasisi na akina Chocolate toka 2017 huko
  3. mashonga

    Wananchi wakivuka mto kwa namna ya tofauti baada ya kukosekana kwa daraja

    ha ha kama movie za kivita, akina Nigga wapo kazini
  4. mashonga

    Ni engine gani naweza funga kwenye Nissan civilian nje ya engine yake? Original

    Samahani Mkuu kati ya Civilian na coaster ni ipi nzuri kwa biashara ya daladala, low fuel consuption, cheap maintenance, na management kwa ujumla?
  5. mashonga

    Je, ni mchambuzi yupi wa mpira (pundit) unamkubali sana? Mimi namuelewa sana Amri Kiyemba

    Jemedari Said Kazumari "The voice of Voiceless"
  6. mashonga

    Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

    German mashine [emoji114][emoji114] mtu kalambwa kama esimama vile
  7. mashonga

    Special thread: Updates za mgawo wa maji ya DAWASA 2022

    daah hatari hii, kwetu ilibidi iwe leo ila hakuna hata tone hadi sasa
  8. mashonga

    Special thread: Updates za mgawo wa maji ya DAWASA 2022

    Habari za muda huu Wanajamiiforums, lengo la uzi huu ni kupeana taarifa zinazohusiana na mgawo wa maji kama ulivyo tangazwa na DAWASA, pia kupeana habari kama mgawo unafuata ratiba kama wanavyo tangaza, kushtuana maji yakianza kutoka na mengineyo yote yanayo husiana na huu mgawo. Kwa kuanzia...
  9. mashonga

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Israel Patrick anamzidi chochote David Kameta

    kule kulia kuna shida bora Kapama ajaribiwe mbavu ya kulia Onyango na Mo wamalize, Inonga apande juu kucheza na Kanoute.
  10. mashonga

    Kenya 2022 Ruto atashinda kesi, double agent kamuangusha Raila Odinga

    Hakuna uingiliaji ila picha ya fomu ilipigwa juu ya kava ya registre yenye jina la huyo Mvenezuela
  11. mashonga

    Waziri Bashungwa atoa maagizo kuhusu malalamiko ya wananchi katika stendi ya Magufuli Dar Es Salaam

    Ila haya ni matokeo ya kufanya miradi mikubwa bila kufikiri kwa kina, kulikuwq kuna haja gani ya kwenda kujenga stendi Mbezi badala ya kuinua stendi ya maana pale pale Ubungo?
  12. mashonga

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    hii inawezekana ni kweli, na kusudi hasa ni kupunguza supply ya gas ili kuwalazimsha watumie akiba ya gas waliyo iweka kwa ajili ya winter. Msimu wa baridi kali ukifika watakuwa hawana gas hivyo itawalazimu wakapige magoti Moscow.
  13. mashonga

    SIMBA SC: Tangu tuanze kampeni ya kuchangia ujenzi wa uwanja tumekusanya Tsh Mil 60 hadi sasa

    Kwenye hili swala la michango kuwa kidogo tusitafute Mchawi, maana kwenye swala la michango Watanzania tunajuana, kuanzia nyumba za ibada hadi kwenye harusi kazi huwa sio nyepesi. Nadhani mnakumbuka zama za Yanga kutembeza bakuli hali ilivyokuwa tete, hadi wakawa wanakula kwa Mamalishe...
  14. mashonga

    2021 AFCON Special Thread

    ha ha Gabaski ile chupa ni ndumba au nini?
  15. mashonga

    Je, maji toka DAWASA yana vumbi?

    Salaam wakuu, Kama nilivyo ainisha kwenye kichwa cha habari hapo juu ni takribani wiki tatu sasa maji yanayo toka kwangu na kwa majirano zangu yana vumbi. (Yaani sio machafu ila ukiyaweka mdomoni unapata harufu ya vumbi au ukiyanywa bila kuchemsha vumbi linabaki kooni). Je, hili tatizo ni...
  16. mashonga

    Nafasi ya Kiongozi Mkuu wa Chama inayoshikiliwa na Zitto Kabwe inapatikanaje?

    Hiyo nafasi huwa inagombewa kama kawaida hata 2020 Zitto alimshinda Jussa. link hii ni habari ya BBC Swahili ikielezea uchaguzi huo. https://www.bbc.com/swahili/habari-51655963
Back
Top Bottom