Search results

  1. doama

    Special Thread: Safari za Kaskazini (Moshi, Arusha)

    Picha mbalimbali za safari za msimu wa sikukuu kwenda Kaskazini Vs mikoa mingine
  2. doama

    Biashara ya maua

    Ndugu wana JF wenzangu natumaini hamjambo. Dhumuni la waraka huu ni kuomba wenye uelewa wa biashara ya export ya maua (dried) Natamani sana kufanya hii biashara sasa naomba kama kuna mwenye connection jinsi ya kupata mzigo kwa bei nzuri, changamoto za biashara n.k Nasikia maua mengi...
  3. doama

    Wajasiriamali wenzangu tufanyeje

    Kwa kweli Pepsi wamejieleza vizuri sana eti hawawezi kubeba gharama zote peke yao kwa hiyo na sisi hatuwezi; wateja wetu inabidi tubebeane, tuchukuliane tulipe kodi wote kwa ustawi wa nchi yetu.
  4. doama

    Kizza Besigye kulikoni

    Kafanyaje jamani
  5. doama

    Mchoraji wa katuni za Sokomoko

    #TANZIA Mchora katuni maarufu ya SOKOMOKO Thaddei Thomas Marealle, amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospital ya Kairuki. Taratibu za mazishi zinafanyika nyumbani kwa kaka yake aitwaye William G Marealle Mikocheni jijini Dar es Salaam. Marehemu alijipatia umaarufu kupitia Katuni za...
  6. doama

    Msaada ushauri Vodacom bunldes (mb) V6?

    Naombeni kujulishwa kwa wale wataalam wa IT mbona bundle ya Vodacom inaisha haraka kuliko ya Halotel. Nimetumia line ya halotel kwa miezi mitatu sasa nikinunua mb 500 ambazo zinaisha kwa muda wa siku nzima. Juzi naona mtandao wa halotel upo slow sana sijui wamekumbwa na maswaibu gani, nikahamua...
  7. doama

    Wizi wa vifaa vya magari

    Wezi ndo wamemfanyia rafiki yangu figisufigisu namna hii. Yani mtu amejipanga maisha yake yasonge mbele wao ndo wanakuja kukurudisha nyuma tena.
  8. doama

    Floyd Mayweather wa Tanzania unamjua?

    Nimezoea kumwona Floyd Mayweather wa US akiwa na madoleri yake yamezagaa kitandani Kumbe Tanzania tunao wakweyu wameziweka kwenye ndoo za rangi Hizi hapa ukiwagawia Watanzania wote kila mmoja atapata sh 50. Ni vigogo wangapi wameficha pesa kama hizi ndani. Hizi zinafichwa kwa sababu ni haramu
  9. doama

    Toyota Allex for sale

    Fixed 8million, 2004 model,1490cc, milleage 100,000 vibali vinaisha desemba mwishoni Contact 0752 662663 owner.
  10. doama

    Mhongo katudanganya tena kuhusu kukatika kwa umeme

    Huyu profesa kwanini ni muongo sana, jana na juzi asilimia kubwa ya nchi nzima umeme umekatwa ilhali alisema amewaagiza watendaji wa tanesco wahakikishe kuwa umeme haukatiki wakati wa bunge kujadili sakata la escrow. Sasa profesa ni kweli sisi watanzania tunasahau mapema tunapodanganywa na...
  11. doama

    Petrol station inahitajika

    Kwa mwenye kujua sehemu ya hapa Dar ambayo palikua na kituo cha mafuta pakafungwa anijujulishe tafadhali. 0787 662 663
  12. doama

    Samsung Galaxy not3

    Wanajamvi heshima kwenu. Naombeni msaada wenu kuna rafik yangu anataka kuniuzia samsung galaxy note 3 naomben mnielekeze jins ya kujua kama ni original ama copy. By the way ameniomba niinunue kwake ana shida kidogn na yeye ameitmia kama mwezi mmoja hvi
Back
Top Bottom