Search results

  1. Ngalikihinja

    Mashabiki wa Yanga acheni UPUMBAVU kumtetea Job

    Hii ni kuweweseka na zile 5
  2. Ngalikihinja

    Mtawaona leo watakavyokuwa 'Nyoronyoro' wakicheza na Yanga SC, ila wakicheza na Simba SC utadhani wana 'Mota' Makalioni mwao

    Nyie si mmeamua kumsajili Dube ili asiwaweke tena..!! Na nawaambia, Dube atawaweka own goals..!!
  3. Ngalikihinja

    Wataalamu wa Hesabu hapa shida ni nini?

    Sasa hiyo hesabu kwako wewe ni advanced.!?
  4. Ngalikihinja

    Wataalamu wa Hesabu hapa shida ni nini?

    Kwani si kuna njia standard..!? Hujiamulii tu kipi kianzale..!! Ni MAGAZIJUTO TU..
  5. Ngalikihinja

    Nini maana ya TV yenye 4K UHD

    Ubarikiwe sana mkubwa..!! Hii ndiyo namna GT anaelezea jambo analolijua.
  6. Ngalikihinja

    Ni mara 100 ukutane na Chui kuliko Mamelod Sundown

    Makolo mnavyohaha na Yanga l utadhani nyie mnacheza na Lipuli ya Iringa..!!
  7. Ngalikihinja

    Waarabu wa Sudan waapa hakuna kusitisha mapigano kwenye ramadhani, ni mdundano na kuuana na mpaka kieleweke

    Bibafsi, hata kwa wale wanaositishaga mapigano kisa ramadhani, naonaga ni unafikiwa kiwango cha udini..!! Kuheshimu mfungo ni kuacha mapigano kabisa..!!! Cha ajabu utaona hata nchi zisizo kwenye mapigano baadhi yao wanaweza wakatoa sifa kwa kusitisha mapigano kwa kipindi cha mfungo..!!
  8. Ngalikihinja

    Natabiri Yanga kutolewa na Mamelodi kwa jumla ya Magoli 7-1

    Halafu badala ya kuzungumzia mechi yao, kutwa kuitaja Yanga. Ukiwaambia wahamie Yanga wanakuwa wakali. Yanga wakishinda utasikia bahasha, tiGo pesa, uchawi..!! Wanahaha hatari
  9. Ngalikihinja

    Natabiri Yanga kutolewa na Mamelodi kwa jumla ya Magoli 7-1

    Maneno "HAPA NDIYO MWISHO WENU" waliyatamka kuanzia mwanzo hadi kwenye fainali..!!! Yaani maneno yao nayo yaliingia fainali..!!
  10. Ngalikihinja

    Natabiri Yanga kutolewa na Mamelodi kwa jumla ya Magoli 7-1

    We kolo a.k.a ngada FC a.k.a mbumbumbu FC, utakufa mdomo wazi utupe tabu kukufumba..!! Haya itunze hii..!!
  11. Ngalikihinja

    Msaada: Huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake?

    Kwahiyo, hapa kuhusu KATAA NDOA unasemaje?
  12. Ngalikihinja

    Nashauri: Kuongea Kiingereza kwa unyoofu (fluency) ibaki kuwa kigezo cha kumpima Mtanzania mwenye Degree

    Kiswahili cha stori ni tofauti na kile cha SOMO..!!! Embu mfikirie mwana wa chuga kwenye hili..!!
  13. Ngalikihinja

    Nashauri: Kuongea Kiingereza kwa unyoofu (fluency) ibaki kuwa kigezo cha kumpima Mtanzania mwenye Degree

    Wakati wa kufundishwa gari, akiambiwa akanyake mfulumbato asilalamike..!!
  14. Ngalikihinja

    Nashauri: Kuongea Kiingereza kwa unyoofu (fluency) ibaki kuwa kigezo cha kumpima Mtanzania mwenye Degree

    Kwani hayo unayoyaelewa kuhusu taaluma yako, huwezi kuyaelezea kwa lugha ya kwenu? AU unataka kuniambia, ukifundishwa kitu kwa kiswahili, basi ikifika kukielezea kwa kiingereza hutaweza?
  15. Ngalikihinja

    Nashauri: Kuongea Kiingereza kwa unyoofu (fluency) ibaki kuwa kigezo cha kumpima Mtanzania mwenye Degree

    Haya, hiyo Samaki mkunje angali mbichi iandike kwa kiinglishi shemela..!!
  16. Ngalikihinja

    Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

    1. Usiwe na muda maalumu wa kurudi home. Mfano leo saa 4 usiku, kesho saa 1 usiku, keshokutwa saa 6 usiku. Siku nyingine hutoki kabisa home. 2. Siku za mwanzo si za kukaa na ndugu ndani. Jengeni kwanza uwezo wa kujitegemea kwa 100%. Siyo siku ya kwanza tu una mtoto wa nani sijui unaishi naye...
  17. Ngalikihinja

    Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

    Kwahiyo bado unasimamia ulichokiandika?
Back
Top Bottom