Search results

  1. D2050

    Nakumbusha, kwani ukumbusho huwafaa waumini

    Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuhu.tupo katika mwezi bora katika miezi bora ile 4 katika uislam.kuna jambo napenda kuwakumbusha leo ambalo tumejisahau. Kuna shule nyingi za za Islamic secondary zinawanafunzi wenye uhitaji wa FUTARI NA DAKU. Wanafunzi hawa wanapaswa kukumbukwa sana katika...
  2. D2050

    Rais Samia, TTCL ni shirika lililojaa wafanyakazi wazembe

    Kwako mkuu wa nchi hii Rais SAMIA. Katika mashirika ya serikali ambayo wafanyakazi wake wengi ni wazembe basi Ttcl wanaongoza. Hili Shirika limejaa uzembe wa kupitiliza hadi unakela. Dunia ya sasa wanategemea sana INTERNET ili shughuli zao ziende kwa wakati. Watanzania wengi wanapenda kuingiza...
  3. D2050

    Waziri wa nishati simamia Mafuta yapatikane

    Kumekuwa na hali mbaya ya upatikanaji mafuta hasa ya petroli katika miji mingi hapa nchi. Manispaa ya Songea sheli kubwa zote hazina mafuta yapata siku 5 sasa. Hii hali inahatarisha uchumi wa wananchi kwasababu sehemu walizokuwa wanaenda kwa 1000 kwa pikipiki saizi wanatumia 2000. Foleni kwenye...
  4. D2050

    Leseni za Biashara kukwama kutolewa Songea, wahusika wanatengeneza mazingira gani?

    Manispaa ya Songea inashindwa kutoa leseni za biashara kwa wakati, kumekuwa na tatizo hilo yapata mwezi sasa wafanyabiashara wanalalamikia Ofisi ya Afisa Biashara Manispaa ya Songea kushindwa kuwapa leseni za biashara zao. Maafisa Biashara Wasaidizi wamekuwa wakiwajibu Wafanyabiashara...
  5. D2050

    Msaada mwenye kujua shule anayefundisha mwalimu JUMA JAFARY Handeni vijijini

    Ombi kwenu, ninashida ya kufaham shule ambayo anafundisha mwalimu ya shule ya msingi anayeitwa JUMA JAFARI mwenyeji wa ARUSHA.anafundisha katika wilaya ya Handeni vijijini, Huyu mwalimu anatafutwa na ndugu zake na mkewake.baada ya kuitekeleza familia yake yenye watoto wawili wadogo na mkewake...
  6. D2050

    Waziri Mkuu, stendi ya Songea inawalipa wengi

    Waziri Mkuu naomba nikumbushe suala la stendi mpya. Mara ya mwisho unafika Songea ulikuta mgogoro wa stendi mpya iliyojengwa kilo mita 20 mbali na mji. Ulipokuwa Songea uliagiza mkuu wa mkoa na watendaji wa serikali wakae na wadau wa usafirishaji wajadili changamoto na waweze kuzitatua...
  7. D2050

    CCM, malalamiko ya watu yamekuwa mengi sana, jiangalieni sana

    Leo 13/10/2020 nilikuwa crdb banki, wakati tupo kwenye foleni ndani ya hii banki niliwakuta watumishi watatu wa serikali 1) Alikuwa ni mwanamke ambaye ni mwalimu,huyu mama alikuwa analalamika kuwa serikali ndani ya miaka 5 haijawaongezea mshahara hata kidogo,kutokana na ufinyu wa mshahara...
  8. D2050

    Waziri wa mawasiliano kabla ya kufungia line zetu mkawafunge kwanza NIDA

    Leo tarehe23_12_2019 Watanzania wengi wamejiandikisha Nida ili kupata namba za kitambulisho waweze kusajili line zao,wapo watanzania ambao hawajapata hizo namba hadi leo.wakati walishajiandikisha toka mwezi wa kumi. waziri wa mawasiliano unapokuja hadharani kusema utazifungia line za watanzania...
  9. D2050

    MOI mnataka tushindwe kumlipia ndugu yetu gharama za matibabu?

    Ndugu alipatwa na ajali ya pikipiki mwezi wa 11 2019 maeneo ya Gongo la Mboto, alipelekwa hospitali ya Amana napo wakashauri apelekwe MOI. Baada ya kumpeleka MOI toka tarehe 18/11/2019 hadi leo mgonjwa hajatibiwa mnataka afe? Muda aliokaa kitandani hapo bili mtakayoleta hapo baadae mnataka...
  10. D2050

    Kutokana na ahadi yake: Haji Manara kesho rasmi anahamia Yanga kuitumikia

    haji manara aliahidi atahamia yanga endapo liver wataitoa barcelona tunamwomba atimize ahadi yake
  11. D2050

    Meneja wa tra anayo mamlaka kuamua kesi ya muuzaji na mnunuzi wa bidhaa

    habari wana jf naomba kufaham sheria za tra meneja wa tra anayo haki ya kuamua kesi ya muuzaji bidhaa na mnunuzi wa bidhaa? kuna mfanyabiashara mwenzangu juzi alikuja mteja dukani kwake akihitaji kununua tv aina ya LG nch42, rafiki yangu dukani kwake Tv aina ya LG nch42 aliishiwa na akamwambia...
  12. D2050

    Ushauli wangu kwa serikali yetu

    Hali ya upatikanaji wa mitaji ya biashara kwasasa hapa nchini ni mbaya sana hususani kwa wafanyabiashara wadogo wadogo, Serikali inapaswa kuangalia namna ya kuwekeza ktk mikopo ya kibiashara kiurahisi kwa mitaji midogo midogo. Hakuna benki ambayo inaweza kumwamini mtu ikampa mkopo wa 1,000,000...
  13. D2050

    Songea: Mkurugenzi wa manispaa ya Songea na diwani wa kata ya mjini wamewekwa mfukoni na mfanyabiashara

    Mkurugenzi wa wanispaa ya songea, diwani wa kata ya mjini, serikali yote ya mtaa wa mjini wamewekwa mfukoni na mfanyabiashara anaefahamika kwa jina la DUMA. Viongozi hawa wote wanafaham fika taratibu za mipango miji ya manispaa ya songea nyumba zilizo katikati ya mji zinatakiwa kujengwa...
  14. D2050

    Songea: Daktari agoma kumtibu mgonjwa hadi umeme uwake kwanza

    Hali ya umeme kukatika katika ktk manispaa ya Songea imepelekea mgonjwa aliyepata ajali ya pikipiki usiku saa 8 kushindwa kutibiwa hadi hapo umeme utakaporudi. Mgonjwa huyo alikuja ktk hospitaLi ya mkoa Ruvuma ili kupata matibabu baada ya kupata ajali ya pikipiki akiwa ktk hali mbaya lakini...
  15. D2050

    Hatimaye Songea tushapata umeme wa hovyo kutoka Makambako

    Manispaa ya Songea tumeletewa umeme kutoka Makambako. Tatizo la umeme huu umekuwa kero kwetu kila siku tunashinda bila umeme na tunalala bila umeme. Umuhimu wa umeme katika kukuza uchumi ni mkubwa sana. Kazi nyingi zinalala kutokuwa na umeme, kiukweli TANESCO imekuwa kero na huu umeme wao...
  16. D2050

    HIZICODE ZA TCU MBONA ZINAGOMA KUCONFIRM

    Msaada wakuu kuna mdogo wangu aliomba chuo cha udm,na Ruaha na Udsm.tareh 4 akatmiwa code za na TCU zikimtaka aconfirm chuo alichoomba.alipoenda internet cafe zile code zinagoma na ile sms imesema mwisho ni tareh 5.hadi sasa tareh 9-9 hajafanikiwa naomba msaada wenu achukue hatua gani ili aweze...
  17. D2050

    Tujuzane viwanja vitakavyotumika kuswalia swala ya idi kesh

    asalam aleykum ndugu zangu napenda tujuzane viwanja vitakavyotumika kuswalia swala ya idi kesho tar21 inshaallah.
  18. D2050

    Tanzia: Aliye wahi kuwa RPC wa Mkoa wa Ruvuma na Musoma, Kapita Mwaruka amefariki

    Inalillahi wainna ilayhi rajiuun, Aliye wahi kuwa RPC mkoa wa RUVUMA na MUSOMA KAPITA MWARUKA amefariki jana tar17-5 asubuhi mjini Songea. Mzee Mwaruka yamemkuta mauti hayo baada ya kushuka basi la kampuni ya Super feo akitokea Dar kurudi songea. Taarifa zilizopo mara baada ya kufika ktk...
  19. D2050

    Pride Tanzania imefilisika?

    Wadau naomba kuuliza hii taasisi ya PRIDE imefilisika? Nauliza haya kwasababu siku hizi wamekuwa wakisua sua sana kukopesha Pesa. Inafikia kipindi hadi mkopoji had I wa tsh300000 inawachukuwa mwezi mzima kutompa mkopaji mkopo anaoomba Hili limekuja baada tu ya Raisi Magufuli kuingia madarakani...
  20. D2050

    Wizara ya Afya tuokoeni wagonjwa tunaotumia bima ya afya

    Nikiwa mhanga wa huduma mbovu za madaktali wa bima ya afya katika hospitali ya rufaa mkoani Ruvuma napenda kuipa taarifa wizara ya afya juu ya huduma mbovu tunazopewa na madaktali wa hii hospitali. 1) mgonjwa unafika hospitalini SAA moja asubuhi ili utibiwe namapema lakini hilo halitokei...
Back
Top Bottom