Search results

  1. B

    Matokeo ya Utafiti: Kikwete, Freeman Mbowe, Zitto, Killango, Jerry Silaa na Dr Slaa

    Tuna miezi kama tisa tu, tutajua kama hayo yana ukweli au la. Ila kwa maoni yangu, mwaka jana nilikuwa na imani kwamba CHADEMA wangekiweza hata kupata zaidi ya 40% ya viti vya ubunge. Lakini tokea waamue kuzembea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na pia kutumia mbinu kumzuia Zitto asigombee...
  2. B

    Upinzani watangaza mapambano 2008

    Mwaka 2009 matokeo yalikuwa hivi: Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vitongoji na Vijiji uliofanyika tarehe 25 Oktoba 2009, Chama Cha Mapinduzi kilipata ushindi wa asilimia 91.71, CUF walipata asiliamia 3.94, CHADEMA walipata asilimia 2.76, UDP asilimia 0.43, NCCR- Mageuzi asilimia 0.32...
  3. B

    CCM pawaka moto Dodoma

    http://www.cms.ccmtz.org/index.php?section=news&cmd=details&newsid=80 Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM tarehe 14 – 15 February, 2010 UTANGULIZI Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, imefanya mkutano wa kawaida tarehe 14 – 15 February, 2010 chini ya Mwenyekiti wa CCM, Mhe, Jakaya Mrisho...
  4. B

    CCM pawaka moto Dodoma

    Mambo gani mengine yameamuliwa kwenye kikao cha NEC? Ratiba ya uteuzi wa wagombea udiwani, ubunge na urais ikoje?
  5. B

    CCM pawaka moto Dodoma

    Wana JF mbona mnadanganyika kirahisi hivyo? Huyo mtu kama yuko kwenye kikao hawezi kuwa na uwezo wa kutuma ujumbe JF mpaka watoke. Hawaruhusiwi kuwa na simu humo. Pia suala la tume ya Mwinyi inasemekana lilijadiliwa jana. Kuna watu wako hapa kudanganya JF.
  6. B

    Spika Samwel Sitta atangaza kugombea tena uspika bunge lijalo

    Kosa kubwa alilofanya Sitta ni kutumia Uspika kujiandaa na kampeni za urais 2015. Alitaka kutumia vita dhidi ya ufisadi kama njia ya kumtengenezea mazingira mazuri kwa 2015. Naona mpango wake ume backfire vibaya mno. Miongozi mwa makosa aliyofanya ni kuwapendelea baadhi ya wabunge kwenye...
  7. B

    Tamko la Wapiganaji CCM Feb 10, 2010

    Wapiganaji wanaficha majina yao? Basi na sisi huku kwetu Kyela tuongeze madai yetu. Wale waliofanya yafuatayo wasimamishwe: - Walioiba pesa za mafuriko na wakajengea mahekalu Kunduchi - Walioba michango ya shule na wakanunua majengo ya NBC Tukuyu, - Waliolipwa mamilioni kwamba wanaenda...
  8. B

    Baraza la Vijana CHADEMA latangaza Uchaguzi wake wa Marudio

    Demokrasia na CHADEMA? Labda mwenzetu uko usingizini unaota, kama CHADEMA kungelikuwa na demokrasia, leo mwenyekiti wenu angelikuwa Zitto na huo uchaguzi wa vijana usingerudiwa. Teueni tu wale ambao wenye CHAMA wanawataka, kuna haja gani ya kudanganya wananchi kwa demokrasia ambayo...
  9. B

    Baraza la Vijana CHADEMA latangaza Uchaguzi wake wa Marudio

    Uchaguzi wataurudia mpaka wampate anayekubaliwa na wenye CHAMA. Hiki eti ndio chama mbadala cha kumkomboa Mtanzania, what a joke!
  10. B

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Watanzania walio wengi ni majambazi tu; tofauti iliyopo ni kwamba wengine wana nafasi ya kuiba (kufisadi) wakati wengine hawana. Lakini kila mtanzania anayepata nafasi ya kuwaibia Watanzania wengine, nina uhakika zaidi ya asilimia 90 watafanya hivyo. Hivi vita ni lazima vianzie kwa mtu...
  11. B

    Mbeya: Tatizo ni nini hasa?

    Mtalaumu sana mafisadi kwenye kila kitu kumbe matatizo ni nyie wenyewe na ndio mnawapa mafisadi nafasi ya kutamba. Hata ukikosana na ndugu yako utabaki kusema ni mafisadi? Siasa mufilisi hizo za kutupia lawama upande mwingine badala ya kutatua matatizo.
  12. B

    Mbeya: Tatizo ni nini hasa?

    Mkuu Mponjoli, nakubaliana na wewe kwa asilimia 100. Wenye uchungu na Mbeya hawapo na badala yake viongozi wamegeuka kuwa mzigo na kutengeneza mazingira ya vita kila siku.
  13. B

    Mbeya: Tatizo ni nini hasa?

    Mwanjelwa, Huelewi tatizo la Mbeya? Uongozi mbovu na siasa zisizo na maadili vinachangia sehemu kubwa. Waziri Mwakyusa alienda Kyela kumpigia kampeni Mwakyembe na ndio mwanzo wa matatizo yote. Wenzake nao walivyoona anafanya kampeni kinyume na utaratibu wakaandaa mazingira ya kukwamisha...
  14. B

    Dkt Mwakyembe Unafahamu Kinachoendelea Jimboni Kwako Kyela?

    Mkuu Nsesi, Mbona wale wapambe wa Mwakyembe ndio walijaa kwenye mkutano wa Mwanjala? Vijana walienda kuchuma na hiki ni kipindi cha kuchuma.
  15. B

    Dkt Mwakyembe Unafahamu Kinachoendelea Jimboni Kwako Kyela?

    Kasyabone, Labda ni mapenzi, ila unashangaza unavyosema mbunge apimwe kwa miaka 10. Sijui hiyo ni katiba ya nchi gani? Kipindi cha bunge ni miaka mitano na mbunge hupimwa kwa hiyo miaka mitano. Pia kama kuna wagombea wengi basi ni nzuri kwa demokrasia. Kwa taarifa yako mwaka 2005 kulikuwa...
  16. B

    Kwanini Prof. Baregu amenyimwa kazi UDSM?

    Mnyika, Are you really serious on this issue? Membe atakuwaje civil servant wakati ni mbunge na waziri? Tusifanye utani kwenye mjadala muhimu kama huu. Badala yake tusaidieni kuleta sheria husika ili tujadili kwa faida ya taifa letu. Baregu hapa ni victim na sheria mbovu zitawakumba...
  17. B

    KIMARO: Hakuna wa Kuning'oa Vunjo!

    Kama hakuna wa kumng'oa, shida yoyote ya nini kupiga kelele magazetini? Wale ambao hawajafanya lolote la maana majimboni mwao ndio sasa wanahaha na kutumia kila sababu ili kuwadanganya wananchi. Sidhani kama Kimaro atarudi bungeni 2010.
  18. B

    Kubenea na siasa za Kyela

    Kuna mgombea mwingine yuko Kyela sasa akijiuza kwa wananchi huko vijijini. Jina lake ni Elius Mwakalinga wa wizara ya miundo mbinu, Dar Es Salaam. Vijana kama kawaida yao wanapata posho yao na mwaka mpya utakuwa wa furaha. Hawa Mwakalinga mbona wengi sana? Mwaka 2005 waligombea Mwakalinga...
  19. B

    Kubenea na siasa za Kyela

    Ya Kyela mengine hayo!
  20. B

    Majibu rasmi ya BoT juu ya nyumba ya Ndulu

    Hakuna kitu hapo, bado hayo ni matumizi makubwa mno kwa ajili ya nyumba ya kiongozi mmoja tu kwenye nchi kama Tanzania. Unaweza kujenga nyumba kama hiyo kwa gharama chini ya bilioni moja.
Back
Top Bottom