Search results

  1. M

    Watumishi mpo? Kikokotoo hicho kinaanza 2023. Vipi, mtafurahi au mtanuna?

    Nakubaliana na Mlenge 100%, nadhani watu wengi hawaelewi dhana nzima ya hifadhi ya jamii. Wizara husika itoe elimu kuhusu hili jambo. Pension sio akiba, pension ni mbegu. Kama watu wanataka wapewe michango yao yote wanapostaafu inabidi kwanza waende bungeni wakabadili mfuko wake toka defined...
  2. M

    Watumishi mpo? Kikokotoo hicho kinaanza 2023. Vipi, mtafurahi au mtanuna?

    Anachozungumza Mlenge ndio ukweli. Huu ni mfuko wa hifadhi ya jamii sio akiba hii kwamba unachoweka ndio unachochukua!
  3. M

    Kama kikokotoo kipya ni matokeo ya actuarial valuation ya mifuko, kosa la Irene Isaka ni lipi hadi atumbuliwe? Tusishangilie tuu...mwishowe...

    Anayehusika na regulation za investments kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii ni BOT sio SSRA!
  4. M

    Yanga chupuchupu kwa Majimaji mjini Songea, zatoshana nguvu

    Liverpool wanasawazisha
  5. M

    Yanga chupuchupu kwa Majimaji mjini Songea, zatoshana nguvu

    Liverpool 0, Burnley 1
  6. M

    Yanga chupuchupu kwa Majimaji mjini Songea, zatoshana nguvu

    Yes, Peter Mapunda, Dk 53
  7. M

    Maajabu ya vumbi la Kongo linavyoleta heshima kwa mpenzio

    Hembu niambie nalipataje na mm nijaribu mkuu
  8. M

    Dawa ya nguvu za kiume kwa sh 15000

    Ni pm mkuu tufanye biashara
  9. M

    Wenye uhitaji wa mikopo ya haraka

    Riba ni asilimia ngapi?
  10. M

    Dr. Francis Michael: msisahau tuna wajumbe 8 Saudi Arabia kutimiza 2/3 Zanzibar

    Dr Francis, hivi wewe ni mwakilishi wa Vyuo vikuu au mwakilihi wa CCM?
Back
Top Bottom