Search results

  1. E

    Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

    Agwe tulia basi mbona unawashwa
  2. E

    Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

    Utakuwa umepigwa na kitu kizito Agwee. Sio Kwa povu Hilo bila Shaka utakuwa wa Mkoka au Mbandee
  3. E

    Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

    Mungu ampe nguvu afike ili kuondoka Hili wingu
  4. E

    Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

    Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela. Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana. Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeji wa Dodoma? Acha tuone.
  5. E

    #COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

    Hapo sawa sio tunadanganywa tupige nyungu Yaani tumetoka mbali jsman
  6. E

    Khalid Ally Gangana, mtangazaji anaeibukia vizuri kuwakilisha utangazaji wenye weledi

    Ila Yuko poa sana anaweza kufika mbali Sana. Big up kijana!
  7. E

    Wimbo wa CHADEMA 'Tuwamwage mafisadi' ulikuwa hamasa kwa vijana

    Na ule wimbo wa Msigwa umeishia wapi. Yerico alichangisha hela ili akauboreshe lakini kaingia mitini.
  8. E

    Nini tafsiri ya Megawatts 2,115 za umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere (Stiegler's Gorge)?

    Mkuu huu uchambuzi wako ni wa kisiasa zaidi sio kitaalam Kwa sababu zifuatazo:- 1. Mikoa uliotolea mfano wako hawana matumizi ya umeme kabisa Kwa kuwa hawlkuna viwanda vingi wala migodi. 2. Wananchi wa mikoa hiyo wengi ni maskini na hawana umeme na matumizi Yao mengi ni kuwasha taa. 3. Jenho...
  9. E

    Uchaguzi 2020 Hongera sana ITV kwa kurusha habari kwa usawa kwa vyama vyote

    Azam ndio kila kitu. Wanajithidi Sana na pia weledi wa Hali ya juu sana.
  10. E

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli kuendelea na kampeni Dar es Salaam

    Huelewi nn sasa Dar ndio mkoa wenye wapiga kura wengi lazima akomae. Sasa nyie endeleeni na kutafuta Kura maeneo ya watu wachache.
  11. E

    NEC haijazuia Lissu kufanya kazi za Chama

    Kwa mujibu wa Ofisa wa NEC amesema kuwa Lissu kazuiwa kufanya kampeni lakini hajazuiwa kazi za chama. Anaruhusiwa kufanya shughuli za Chama isipokuwa kufanya kampeni za urais, Ubunge na udiwani. Chanzo: Clouds habari.
  12. E

    Uchaguzi 2020 Faida ya Prof. Kitila kwa Ubungo, Dar

    Bora Kitila kuliko Yule mhuni Boniface anayejua fujo kila siku
  13. E

    Chadema msisherehekee Polisi kukubali yaishe

    Huu ni mtego kwenu kama mtakaidi maagizo ya kamati ya maadili maana yake mmekiuka adhabu na mnaweza kufungiwa kabisa kufanya kampeni. Hata polisi kunywea msije kujisifu bali polisi imeona ijitoe kwenye lawana wamewaachia NEC ili msiseme polisi au serikali wamewaonea. Sasa mmeachiwa mtego Kwa NEC...
  14. E

    Uchaguzi 2020 Kamati Kuu ya CHADEMA msimtie huzuni Lissu, kukubali adhabu ya kinyonyaji maana yake ni kukubali hata jaribio la kuibiwa kura

    Pamoja ni batili ila kapewa mtego akijifanya kiburi Time inampiga lingine halafu hamtashtaki popote maana ni uhuru wa tume. Ndio maana polisi wamejitoa
  15. E

    Uchaguzi 2020 Namshauri Lissu asifanye kampeni, panakaribia kucha

    Kutokana na onyo la NEC la kusimama siku saba, nashauri kamati kuu imshauri atii Kwa hili hata kama kaonewa. Waswahili husema Kula na kipofu usimshike mkono. Ujeuri wake na ukurupukaji unaweza kumponza hata kile kidogo cha kupata wabunge wengi atakikosa. Sio kila Jambo ni nguvu. Ukiheshimiwa...
  16. E

    Kwanini Tundu Lissu na CHADEMA wanachukia maendeleo Kanda ya Ziwa?

    Watu wa Kaskazn ni wabinafsi Sana. Wanataka kuona maendeleo kwao tu, ndio raha yao. Lami ziliingia had vijijin miaka ya 80 pamoja na umeme. Yaani Kilimanjaro bwana wabinafs san
Back
Top Bottom