Habari zenu wana janvi, ninamtaji wa 5 million na nataka kufanya biashara ya mahindi ktk msimu huu wa mavuno, kwa mwenye uelewa mzuri na biashara hii naomba kujua mwenendo wake ktk mikoa ya Katavi, Dodoma, Iringa na Mbeya. Mpango wangu ni kukusanya kutoka vijijini na kuleta mjini yaani Centre za...
Anamtetea nani kutokuwa na kikomo kwenye ubunge, mbunge kuwa waziri, kuonyesha waziwazi anataka serikali mbili, Zanzibar kuipa mamlaka kama Nchi.., kwa haya sijaelewa kulikuwa na umuhim gani wa kuunda tume
Ndugu wana janvi, habari zenu. Mim ni Mtz ninaish Dar na ndoto yangu ni kumuoa msukuma au mnyantuzu ila kwa mazingira ya hapa mjini wamekuwa adimu sana kuwapata, mpaka nataman kuhamia Mikoa ya kanda ya ziwa kama Shy, Mza, Simiyu na Geita. Kama wapo hapa mjin tafadhali jitokezen nitimize ndoto yangu
Kwa wale wapenzi wenza wa Man United kwa kupangwa na Buyern Munich itakuwa ndio mwisho wa safar Uefa lada tusubili tena bahati ya ngekewa kama siyo tia tia maji
Kuna huu mtindo ulionzishwa kwa miaka ya hv karibuni ya kufungua min Pub yaan unakuta sehem ya kama vyumba viwili pametengenezwa vizuri an ful kiyoyozi, panauzwa bia za kila aina na wahudum wake unakuta ni wanawake wa ukweli na ukimtizama mara moja tu lazima msismko maana nguo wanazovaa wakati...
Hivi inawezekana kweli mtoto aliyezaliwa katika familia iliyovuna mali nyingi kutokana na ccm kuwa madarakan akaichukia na kvamani iondoke madarakan, sidhan kama inawezekana maana kuendelea kuwepo kwa ccm madarakan ndio faida kwao, maana wanakula na
kusaza kutokana na uwepo wa ccm, ukikuta...
Kutokana na simliz ya kweli niliyoisikia kutoka kwa kijana wa kitanzania, ni kweli pete kubwa zivaliwazo na vijana wa kiume huwa zina uhusiano na mambo ya kichawi? Kwa wenye uelewa kuhusu hli naomba kujuzwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.