Wana JF , Ninaandika kwa wino wa masikitiko kuhusu hii mifuko ya nylon (plastick) kwa sasa inajulikana kama vifungashio .
Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC)wamefeli kabisa kulinda mazingira kwa kuruhusu vifuko hivyo kuendelea kutumika kwa kiwango kile kile cha rambo nyeusi "vifuko laini"...
What if wale waliozidi ni waokoaji au ni watu walikuwa ziwani wakapigwama ndege ikidondoka ? Sioni kama abiria wawili kuzidi tena wakiwa kwenye kundi la marehemu liwe na uzito sana kuliko kukosekana kwa vikosi vya waokoaji wakitaalam hatua chache tu kutoka. Airport. Huu ni uzembe tunaondelea...
Tena kuna waliotoa pongezi kwa wananchi waliofika kutoa msaada . Hata mimi nawaoongeza wananchi kweli kabisa na pole naitoa kwa wananchi wenzangu tumepoteza watu muhimu sana kwenye hii jamii
Taarifa mheshimiwa Spika....🤣🤣🤣🤣waheshimiwa Mama anaupiga mwingi..... ..... wanagonga meza tu imagine kule ndani kuna TelaTela. Bogus kabisa ataelewa nini kwenye haya makulaji ya Mwigulu .
Asante mkuu Martin Maranja Masese
Nimepiga hodi sana mlango umefungwa nimesikia music kama sound track ya Royal tour sijui umesahau kuzima TV 🤣🤣🤣🤣 nadhani umenielewa. Ukifungua mlango nishtue
Mama amejua kupiga hatua zake vizuri mbele ya dunia amedhihirisha hana baya na upinzani ✔️
Bungeni kuna UVICO 19 . Acha mchezo uendelee. Mama hongera sana unajua haswa kuosha windscreen 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.