Kwani kuna Mawakili wapumbavu?
Nijuavyo mimi ukimaliza shahada ya sheria (BLL) unakuwa mwanasheria.
Ukitaka kuwa Wakili ni lazima uende LAW SCHOOL. Sasa ukimaliza Law school tukikuita WAKILI kuna shida gani?
Kwanini mnalazimisha tuseme WAKILI MSOMI?
Kwani kuna WAKILI MPUMBAVU?
Hebu ndugu...
Rais Joe Biden wa Marekani anailaumu Russia kwa kusababisha ongezeko la bei ya Mafuta na Gesi nchini mwake.
zaidi soma hapa.
-----
President Joe Biden has blamed Russia for the record-high gas prices in the United States, while pressing Congress to temporarily suspend the federal gas tax to...
Lengo la Serikali kufanya ugatuaji wa Madaraka lilikuwa bora sana na kila mtu analipongeza. Kwa sasa mambo yanavyokwenda SEKTA ya Afya ni kama kuna Wizara Mbili tofauti za Afya, yaani WIZARA MAMA YA AFYA (MOH) na WIZARA NDOGO YA AFYA (Idara ya Afya OR-TAMISEMI).
Ukienda Halmashauri na Mikoani...
Meli za kutoka Dubai kuja DSM huchukua siku 14, Mzigo ukifika Dar Es Salaam bandarini utakaa siku hata 20-28 ukisubiri kupakuliwa.
Meli ikitoka UK au China itatumia siku 28-30 kufika Dar, Mzigo ukifika hapo Bandarini unachukua siku 20-28 zingine kupakuliwa.
Gharama za Usafiri imebidi...
Chanzo ya Pfizer-BionTech na ile ya Moderna zimetuia teknolojia ya mRNA (kutumia RNA ya kirusi cha corona kutengeneza chanjo)
Chanjo ya Janssen (J&J) imetumia teknolojia ya kupandikiza RNA ya corona kwenye kirusi cha Adenovirus na kutengeneza chanjo.
Chanjo za Moderna na Pfizer majaribio yao...
Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) na Shirika la Kuzuia na Kupambana na Magonjwa Marekani (CDC) kwa pamoja yalishatoa Muongozo kwa watoa huduma ya kuchanja chanjo ya Covid-19 kiwa siyo lazima kwa mtoa huduma kuvaa gloves wakati anatoa huduma hiyo. Atalazimika tu pale mteja anapokuwa na kidonda...
Wanaharakati wa Twitter hasa kutoka CHADEMA wakiongozwa na Kigogo 2014, Hilda Newton, Martin M.M, Boniface Jacob wanaendesha kampeni ya chuki kwa Diamond asishinde tuzo ya BET AWARDS 2021. Wanaharakati hawa wa CHADEMA wao wanampigia kampeni Burna Boy kutoka Nigeria ili awe mshindi.
Hivi...
63% (watu 61,631) ya raia 97,625 wa ushelisheli wameshapata dozi mbili (Fully vaccinated) ya chanjo ya covid-19, lakini hali ya maambukizi imekuwa mbaya sana kiasi kwamba serikali imeamua kufunga, shule, kuweka lock downs na masharti mengine makali ya kujikinga na corona.
Zaidi soma hapa...
Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo haijachanja raia wake chanjo ya covid-19 mpaka sasa.
Nchi nyingi duniani zimechanja raia wake chanjo ya covid-19.
SWALI:
Je, kimadhara na faida, kuna tofauti gani kati ya Tanzania na hizo nchi zilizochanja watu wake?
Je, Tanzania watu wamekufa sana na...
Hayati Magufuli ndiye aliyesababisha wabunge wengi kurudi bungeni kwa ubabe wake alioufanya.
Madiwani nao wamebebwa kushika hizo nyadhifa kwa hisani ya ubabe wa hayati Magufuli.
Wenyeviti wa vitongoji ndiyo kabisaa hata uchaguzi hatukufanya walipitishwa bila kupingwa, yote hiyo ni hisani ya...
{Cabinet collective responsibility, also known as collective ministerial responsibility, is a constitutional convention in Parliamentary systems that members of the cabinet must publicly support all governmental decisions made in Cabinet, even if they do not privately agree with them.}
Alikuwa...
Baada ya kuona mambo yao mengi hayaendi kama vile walivyotarajia sasa ni rasmi CCM maslahi wanawatumia CHADEMA kumshinikiza mama yetu mpendwa Rais Samia Suluhu Hassan kufanya mambo ambayo wanahisi watanufaika nayo.
Mfano CHADEMA wanamshurutisha Rais:
1. Ateue waziri mkuu mpya
2. Avunje Baraza...
Government Spokesperson Col. Cyrus Oguna has downplayed the ongoing public outcry over the high cost of living occasioned by increased taxation.
In a press briefing on Tuesday, Oguna asked Kenyans to stop complaining but instead “stand firm” and support the government by paying taxes.
He...
Wenda,
Corona ni mradi wa biashara za watu, ila Magufuli amechangia kufanya biashara hiyo kudhorota sababu :-
1/Alifichua siri ya vipimo vya corona vingi vilikuwa fake ndipo China ikaja na wazo la vipimo vya makalioni maana protein zilizopo kwenye makalio haziwezi kufanana na kiumbe kingine...
Confidentiality: Daktari au mtumishi yoyote anayehusika kumtibu mgonjwa anatakiwa kutunza siri ya ugonjwa aliyonayo mgonjwa huyo. Daktari haruhusiwi kutoa taarifa za huyo mgonjwa bila idhini ya mgonjwa husika.
Lakini pia mgonjwa anaweza yeye mwenyewe kutoa taarifa ya nini anaumwa kwa mtu wake...
Mbali na maombi ya siku 3., Watanzania wamesisitizwa
1. Kunawa mikono kwa maji safi na sabuni
2. Kutumia vipukusi pale ambapo hakuna maji ya kunawa
3. Kufanya mazoezi ya mwili
4. Kuwalinda wazee, watu wenye unene uliozidi, na wale wenye magonjwa kama kisukari, shinikizo la damu, saratani n.k...
Mwanamke wa miaka 57 huko Bulgaria amefariki mara tu baada ya kupewa chanjo ya astrazeneca. Serikali ya nchi hiyo imesitisha utoaji wa hiyo chanjo mpaka ipate uhakikisho wa kimaandisho kutoka shirika la kusimamia dawa ulaya kuhusu usalama wa chanjo hiyo.
=====
Bulgarian Prime Minister Boyko...
Timu ya ukaguzi maalumu kutoka Wizara ya Afya imegundundua ubadhirifu huo wa dawa na vifaa tiba kutoka hospitali hizo za rufaa za mikoa kwa kipindi cha miezi 18 kuanzia Kula 2019 hadi Desemba 2020. Hayo yametangazwa leo na Waziri wa Afya Dr Dorothy Gwajima wakati akitoa taarifa ya uchuguzi huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.