Search results

  1. P

    Checkers/Draughts la kibongo bongo

    Wakuu ninilikua na enjoy sana game la “Drafti” kwenye Android Game la Checkers by Dalmax lilikua lina sheria za kibongo Sasa kwenye iOs kila game ninaloshusha nakuta halina sheria kama tunazotumia bongo Tafadhali kama unajua game la drafti kwenye ios na lina sheria za kibongo share nami hapa
  2. P

    Wajuzi wa iphone msaada tafadhali

    Nina iphone 8 nimenunua kwa jamaa yangu yupo mbele na alisahau kufuta icloud acc, naomba msaada ufuatao Iphone naitumia lakini ina Apple acc ya mshkaji.....kuna mambo siwezi fanya bila password ya icloud. Inawezekana mshkaji akaingi kwenye acc yake ya icloud online kwenye itunes au website na...
  3. P

    App ya Stotmack ina ukweli?

    Kumekua na maneno mengi sana kuhusu hii App haswa baada ya Zari kudai Mama Dangote aliiweka kwa simu yake ili kusoma sms za Zari. Wema Sepetu naye kashambuliwa na watu waliotumwa na mwanamke mmoja anayedai aliiweka hii App ya SHOTMACK na akawa anasoma sms za mumewe akiwasiliana na Wema Nikawa...
  4. P

    Kitila Mkumbo zaidi ya umjuavyo

    Na Ezekiel Kamwaga Kitila, Zitto na Ado: The Story Hii ni hadithi kuhusu wanasiasa watatu maarufu hapa nchini ambao wanatambulika kwa majina yao ya kwanza badala ya yale ya ubini. Katika siasa hii ni kete muhimu kwa sababu si wanasiasa wote hubaki kujulikana kwa majina yao ya kwanza hata...
  5. P

    Benki ya maendeleo ya kilimo

    Wadau kuna mtu humu ndani anauzoefu na hii banki Labda amewahi kuomba mkopo atupe uzoefu wake Nahisi hii inaweza kuwa fursa nzuri kama tukiitumia vizuri
  6. P

    Prof Shivji live TBC, tathimini yake toka JPM aingie ikulu

    Wadau net yangu hapa sio nzuri kuwapa updates Prof Shivji anamwaga data za tadhimini yake juu ya uongozi wa Magufuli chaneli ya TBC
  7. P

    Tafsiri sahihi ya kilichotokea Mbeya Sec

    Kilichotokea Mbeya Day sio kwamba Waalimu walimpiga mwanafunzi ila ni wanafunzi wachuo wamemchangia mwanafunzi mwenzao wa sekondari na kumpiga. Tusichafuliane majina. *Waalim hatupendi ujingaa.!* [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
  8. P

    Wapi nitapata Kioo cha Laptop, Samsung Np N100sp

    Wakuu laptop yangu Samsung Np n100sp imevunjika kioo haionyeshi kitu Mwenye kujua wapi naweza kupata mtaalamu akanibadilishia kioo tafadhali anijuze
  9. P

    Diamond Platnumz anyakua tuzo 3 AFRIMA, Vanessa Mdee aleta Moja nyumbani

    Chibu katika ubora wake!!! Tuzo alizoshinda ni... 1. Mwimbaji bora wa Afrika 2. Mwimbaji bora wa Afrika Mashariki 3. Wimbo bora Afrika (Nasema Nawe) Vanessa Mdee amenyakua tuzo ya Best Artist in African Pop
  10. P

    Msaada iphone 6 plus

    Wakuu iphone 6 plus yangu imepotea katika mazingira ya kutatanisha Rangi ya Gold na ina crack kwenye screen Ni ngumu kuitumia sababu ina password kabla hujaingia Kwa vyovyote itakua imejilock kwa icloud So please kama kuna mtu atakutana na iphone 6 plus inacrack nyingi kwenye kioo...
  11. P

    Koffi Olomide adhihirisha hana mpinzani

    Kwa wale wafuatiliaji wa muziki wa kikongo bolingo watakua wanamfahamu vizuri huyu nguli asiyechuja kila mwaka Baada ya wanamuziki chipukiza wa kizazi kipya wa bolingo kuachia nyimbo zao kwa mtindo wa kisasa bolingo rumba lenye sebene kama original ya Fally ipupa au Seben ya Ferre Gola baadhi...
  12. P

    Ni wakati wa Lowassa kuonyesha alichodhamiria kwa Watanzania

    Najaribu kuwaza kwa sauti na kujiuliza lakini sipati picha, lakini labda kwanza niseme mimi ni miongoni mwa watu nilioamini katika upinzani kupitia UKAWA kwa mara ya kwanza kabisa. Lakini nilikuja kughafirika na kusononeka sana sio kwa ujio wa Lowassa UKAWA......hapana, bali pale alipopewa...
  13. P

    Mayweather make it 49-0

    Floyd Mayweather aka May money kwa mara nyingine amethibitisha hashindiki baada ya kumshinda mpinzani wake Berto kwa ushindi wa jumla baada ya waamuzi wote kumba 117-111, 118-110 na 120-108 Mpambano huo ulioonekana rahisi zaidi kwa Maywether kwakuwa aliweza kutawala round nyingi zaidi na Berto...
  14. P

    Usain Bolt amshinda tena Gatlin m200

    Mashindano ya World Championship yanayoendelea nchi China yamedhihirisha kwa mara nyingine tena kwamba Mjamaika Usain Bolt bado hana mpinzani baada ya kushinda mbio za mita 200 wanaume Ikumbukwe kwamba katika mashindano ya awali kutafuta kufuzu mita 100 Gatlin aliongiza katika mbio zote kwa...
  15. P

    Voda internet imekua kimeo jioni

    Wakuu hivi ni kwangu tu au kwa wote tunaoishi mitaa ya Tabata Mawenzi? Kila ikifika kuanzia saa moja jioni hadi usiku wa manane net inakua kimeo yaani hata kufungua google search kwa simu ni shida........ Very slow Lakini asubuhi na mchana na stream youtube kama kawa Natumia kifurushi cha...
  16. P

    Mbona wanaijeria hawashobokei kabisa AFRIMMA?

    Nimejaribu kuangalia social media za wasanii karibu wote wakubwa wa nijeria lakini hakuna hata mmoja ameshobokea hadi sasa kupost chochote wala kuomba kura kama ilivyokua kwenye nomination za Mtv Je hazina uzito kivile ama nini?
  17. P

    Mgombea urais UKAWA na changamoto zake

    Wadau hii habari ya mgombea urais kwa tiketi ya UKAWA inaweza kuonekana nyepesi kwa jicho la juu juu lakini ukiliangalia swala hili kwa jicho la tatu unaweza kubaini ugumu wake upo wapi Labda kwanza tujadili je kura za urais zina impact gani kwa chama husika? Ambapo sasa tutajua tutajua kwanini...
  18. P

    UKAWA: Ruzuku ya kura za urais, mtihani mgumu

    Kumekuwa na sintofahamu ya ni nani atasimama kuwa mgombea urais kwa tiketi ya UKAWA, ingawaje pia kuna majimbo ya ubunge bado yanaleta shida kidogo kuamua nani wasimamishe mgombea lakini ukweli utabaki kuwa mgombea urais ndio mtihani mgumu kwa ukawa kwenda kwenye uchaguzi huu wakiwa wamoja...
Back
Top Bottom