Search results

  1. D

    John Heche okoa jahazi, BAVICHA imemshinda Katambi, Inakufaa

    Nakumbuka ilisemwa kwamba uongozi waliopata kina Katambi na wengine wengi ndani ya Chadema ulikuwa na probation period,ikimaanisha kwamba ufanisi ndo utakao amua either kiongozi aendelee au laa..nadhani huu ndo wakati muafaka so kwa maana ya kutimuana lakini ktk kumsaidia ili mambo yaende.
  2. D

    Ni kijana gani wa kupigiwa mfano siasa za Tanzania?

    Jokes aside Zitto Zubery Kabwe deserve this!
  3. D

    Wasanii wa Bongo Movie na Bongo Flavour wamuaga Kikwete na kumkaribisha Magufuli

    Wanaonyesha Azam TV live,..kilichonishangaza ni kuona moja kati ya nyimbo ambazo ni kama tunu za taifa letu Wimbo wa Tanzania,Tanzania nakupenda kwa moyo wote,..umeimbwa artificually bila kuzingatia maudhui yake mbele ya raisi,..Basata mko wapi?..am so dissappointed.
  4. D

    Equity Bank Arusha imefilisika, BOT ingia kati mapema

    Ndugu yangu benki ndogo hizi ni changamoto sana,no vizuri kuwekeza kwenye benki zetu zenye financial mascles kama NMB
  5. D

    Swali kwa CHADEMA: Tuko Tayari Kumpokea Lowassa na Kumpoteza Slaa?

    Watu8..debate imeanza baada ya Dr.Slaa kutoonekana kwa high profile meeting ya Leo.
  6. D

    Swali kwa CHADEMA: Tuko Tayari Kumpokea Lowassa na Kumpoteza Slaa?

    Ninatumaini Mbowe alikaa na wenzake muhimu waliokijenga chama pamoja mpaka hapo kilipofika I.e Mzee Mtei,Dr.Slaa,Mnyika,Lisu na wengine kabla ya kufanya maamuzi hayo magumu kwa mustakabali wa chama na taifa..vinginevyo CCM wanayo option ya kumshawishi Dr.Slaa arudi Ccm aende Karatu kugombea...
  7. D

    Hotuba ya Mhe. Mbowe ina ubora kuzidi hotuba zote tangu mwaka 1995!

    Ki ukweli Mbowe na Mbatia wamefanya vizuri sana kwenye hotuba zao.
  8. D

    Habibu Mchange yupo Star TV anaichana CHADEMA

    Tatizo lipo kwa mwendeshaji wa kipindi,anaruhusu wachambuaji kutaja majina ya watu ambao hawapo kwenye mdahalo ili waweze kutolea ufafanuzi wa anayotuhumiwa..tunahitaji waandishi weledi.
  9. D

    Amina kajiharibia mwenyewe

    I can see mama kutoka Zanzibar akishinda kwa msaada wa kura za kundi la Lowasa,..strategically ccm itakuwa na mgombea weak kabisa,then Lowasa can go to any opposition party na kushinda kirahisi.
  10. D

    Beatrice Muhone

    ...Mbona watazama kibanzi ndani ya jicho la mwenzako..
  11. D

    Marafiki wa mahakama na kesi ya mgombea binafsi

    Niliposikia tu Prof.Kabudi ameteuliwa na jaji mkuu kuwa rafiki wa mahakama,nilikuwa na uhakika msimamo wake utaegemea wapi,ningekuwa upande wa utetezi katika kesi hii,ningepinga uwepo wa Prof.Kabudi. Sababu ya kumpinga ingekuwa kuwa huyu jamaa ni mkereketwa wa chama tawala ambacho ndicho...
  12. D

    Natangaza rasmi dhamira ya kugombea Ubunge 2010

    Kila la heri Mnyika,.. God of Isack will never let you alone....
  13. D

    Elimu ya Uraia Tanzania

    Kwa kuwa muda uliobaki kuelekea uchaguzi mkuu ni mchache,na kwa kuwa tume ya uchaguzi ambayo ndiyo yenye dhamana ya kutoa elimu ya uraia kwa wapiga kura imeshindwa kutimiza wajibu wake. Je waheshimiwa wajumbe hamdhani kuwa sasa ni wakati muafaka wa viongozi wa vyama hasa upinzani kuanza...
  14. D

    Tulipokwama kama Taifa; tutajinasua?

    Tanzania inahitaji kiongozi mwenye uchungu na Watanzania,viongozi kama Nyerere na Sokoine(R.I.P) ni vigumu kuwapata kwenye zama zetu hizi.
  15. D

    Rais wetu kupewa jezi ya RONALDO

    Nilipoiona hii habari kwa mara ya kwanza katika vyombo vya habari vya Tanzania,nilistuka sana,kwamba raisi amepewa zawadi ya jezi ya mchezaji wa nchi ya ulaya,..nilijiuliza uzalendo upo wapi?,ni kwa nini wasimpe zawadi ya mchezaji wa Taifa au timu yeyote ya nyumbani?,Katika hali ya namna hii...
  16. D

    Wizi huu unarudi kwa kasi.

    Asante kwa kutupa taadhari na pia poleni kwa hasara.
  17. D

    Watanzania tunapenda mepesi mepesi!

    we must bring our enemies to justice,or justice to our enemies...
  18. D

    Sumaye azungumza na waandishi; ajibu maswali masuala ya kitaifa

    I guesss,atazungumzia hali ya siasa na muelekeo wa nchi kuelekea october 2010,zidhani kama atatangaza tena kugombea uraisi...
Back
Top Bottom