Search results

  1. K

    MNYIKA: Katiba mpya 2025 tumechelewa

    Unapokuwa fundi kulaumu wapinzani Wakati mchezo wote mchafu unafanywa na ccm nakuona. Umepungua ama kwa makusudi au kwa kukosa weledi.Nyinyi ndio mnatufanya tukose umeme mpaka Karne hii
  2. K

    Familia ya Nyerere tunapinga watu kurudisha kadi za CCM

    Kwa hiyo mama Abdul ndio anaweza?Mbona naona anauza tu nchi.
  3. K

    Polisi wazuia magari Chunya kwa saa 7 kusubiri mwenge

    Polisi Wilayani Chunya wamezuia magari yote toka Chunya Makongolosi na yote toka vijijini KUSUBIRI MWENGE upite toka saa10 mpaka saa 5 hii. Mwenge haujulikani uko wapi na utapita saa ngapi. Shughuli zote zimesimama KUSUBIRI upite. Sasa tutalaumuje kwamba maendeleo hayaji Wakati watu...
  4. K

    Mwekezaji ndio anaamua awekeze Bara au Zanzibar na sio Serikali ya Tanzania

    Mawakoli hao hodari wamerudia Tena na Tena kwamba hawapingi uwekezaji wote.Wanachopinga ni mkataba wa kinyonyaji.Wenye kutaka wawe na uhuru na aridhi yeti.Usio onyesha maslahi ya nchi yatakuwa yepi.Hauonyeshi hata wanakuja na sh ngapi.Huo ufanisi mbao usema kama ndio hoja mama wataleta Nini.Kama...
  5. K

    Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

    Hata kama mapato yakiongezeka kama uhuru na mali zenu me kabishi mwarabu kunafaida gani
  6. K

    Mbeya: Wananchi wajitokeza kufuatilia kesi ya kupinga kusainiwa kwa mkataba wa bandari

    Tutashitukia baglashia na hizblaa zimejaa bandari I ndio furaha yako wala hakuna Cha weledi hapo.Mama amewapa Bure bure
  7. K

    Who is Shivji mpaka asikosolewe?

    Uko kwenye hoja kweli.Hoja hujibiwa kwa hoja.Jibu vipengele vinavyo bishaniwa.siyo kuleta vijembe hapa.Alisoma Wakati wa Nyerere au mkoloni siyo Issue.Tunajadili mkata wa kuingiza nchi Chaka kama vile wote ni mbumbumbu
  8. K

    Naona wanaopigania matumbo yao pumzi zimekata

    Urafiki iliuzwa ikowapi sasa.kiwanda Cha baiskeli Swala Kiko wapi.Ngoro ngoro mmemuuzia mwarabu wananchi wanateseka.Kupakua tu mizigo mnamwita mwarabu aje achukue kodi sisi tubaki tuna ng'aa macho.Mtaji wa sh ngapapi ana leta.Anakuja kuchuma tu
  9. K

    Naona wanaopigania matumbo yao pumzi zimekata

    Kundi la wauza nchi silioni hapa umelisahau.Maana limepanga ikiisha Lita hamia Dubai
  10. K

    LATRA wa Makambako hawana huruma na Wafanyabiashara kabisa

    Nisheria gani inayo waruhusu kufuata gari garage na kuandika faini kama siyo njaa zao
  11. K

    LATRA wa Makambako hawana huruma na Wafanyabiashara kabisa

    Kufunga mkanda ni police offense ambalo ni elfu theratbini lakini wao huandika 250000.Nafikiri wanapercent kubwa maana wanatafutiza hata kosa lisilo stahili
  12. K

    LATRA wa Makambako hawana huruma na Wafanyabiashara kabisa

    Hawa jamaa wamejipa jukumu ambalo ni la TRA.Maana Hawa jamaa at the end gari Ina lipa zaidi hata ya TRA.Gari ikiwa na vyote Wana Anza kucheki kama mikanda imelegea ili waandike 250000
  13. K

    LATRA wa Makambako hawana huruma na Wafanyabiashara kabisa

    Unaongea kama mbumbu wa biashara kabisa.Ungekaa kimya inge kusaidia.Wengi hawaagizi mabasi kama zamani.Hujui athari zake hata mapato ya bandari yana a athirika Nani alete gari ambalo m nufaika ni LATRA?
  14. K

    LATRA wa Makambako hawana huruma na Wafanyabiashara kabisa

    Mtandao ulisumbua baadhi ya abiria walikuwa hawana ticket za electronics
Back
Top Bottom