Search results

  1. F

    Nielewesheni

    Jamani sijui nitakuwa nimeenda nje ya thread hii lakini naomba kujua kitu kimoja ambacho kimekuwa kikinitatiza sana ukienda kununua dawa katika duka la dawa hususani zile wanazoweka katika vi mfuko vya kaki au vya plastiki kama panadol unakuta baadhi ya wauzaji wameweka kijikaratasi...
  2. F

    Love - Remember, Whatever happens, Happens for a reason

    Yanatia moyo na kufariji sana safi sana mwana wa Mkulima.
  3. F

    JK asifiwa kuhusu OBAMA

    Its true Nyani Ngabu!
  4. F

    Naombeni Ushauri.

    Inaumiza sana lakini naamini iko siku atakukumbuka tu nawe utakuwa umeshasahau na bila shaka utakuwa umepata mwingine itakuwa zamu yake kuumia na kujuta ,mara nyingi inatokea hivyo kwavile yeye kaanza we maliza kabisa yaani m delete kabisa katika kumbukumbu yako kila la kheri!
  5. F

    Hongera BALILE

    Hongera BALILE kwani hakuna kazi ngumu kama kusoma na ndo maana wengine wanaishia njiani.
  6. F

    Community Airline Yamwaga Abiria "100"

    Jamani kipi bora, safari ihairishwe ili yafanyike marekebisho au safari iwepo halafu ukapate matatizo ukiwa angani?na labda ni mambo ya kiufundi. NI MAWAZO TU!
  7. F

    Unajua Kusoma Ndoto & The ability to force oneself out of a dream

    Vp pale unapo ota unafanya mapenzi na mtu ina kuwa na maana gani?
  8. F

    JK Try to be Serious.....

    Mh, jamani mmeongea mengi kuhusu Presdent JK,Lakini kumbukeni kuwa yeye ni kama mchezaji yuko uwanjani kwahiyo siyo rahisi kujua kama anakosea na hakuna kitu kigumu kama kuongoza watu ni fadhali ukalime utajua nimelima kipande cha meta ngapi leo,Anyway kwani washauri wake wako wapi na hao...
  9. F

    Should you maintain contact or friendship with Ex-partner?

    Pamoja na hayo yote lakini mi naona inategemeana na mazingira mliyoachania au kutengana.
  10. F

    Nitawezaje kuishi na mtu aliyeathirika

    shukrani kwenu Kithuku na Kasana kwa msaada wenu nimepata mwanga.keep it up!
  11. F

    Nitawezaje kuishi na mtu aliyeathirika

    Naomba kufanunuliwa namna ya kuishi na mtu aliyeathirika na virusi vya ukimwi au mgonjwa wa ukimwi bila kuonyesha kumnyayapaa,mfano namna ya kufua nguo zake,kuchangia vyombo vya kuogea na vya kulia chakula nk.
  12. F

    Natafuta Rafiki, Mchumba

    Sasa Bw.Idimi mimi sijaelewa kwani ni kujifunza tu au kuna issue nyingine kwani nimeona umeweka mpaka suala loa urefu nk.na kama ni suala la kujifunza unaweza kujifunza kwa mtu yeyote yule hata kwa mtoto mdogo any way endelea kuvuta subira tapatikana tu, kila la kheri
  13. F

    Naomba Ushauri

    Pole sana lakini cha muhimu ameshakueleza ukweli kuwa muachane sasa labda kama alivyosema mjumbe mmoja kuwa mtafute ili ujue sababu ya yeye kutaka muachane ili kwamba usije ukapata mwingine ukajikuta umerudia kosa lile, hata hivyo hujasema mlikuwa na malengo gani wakati mnaanza mahusiano yenu na...
  14. F

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Jamani tarehe 14 mwezi wa 10 ndo tarehe ambayo baba wa Taifa mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE alitutoka duniani kama agizo la Mwenyezi Mungu linavyosema na mwaka huu ni mwaka wa 8 tangu kifo chake, sijui ni watu wangapi wanamkumbuka na mambo gani hasa wanamkumbuka. Mimi najiuliza kama...
  15. F

    Buriani Amina Chifupa!

    Una maana gani hapo Sanda mbona sikuelewi?
  16. F

    Buriani Amina Chifupa!

    Jamani wanajambo nimepata tetesi kuwa Amina Chifupa amefariki dunia jana tarehe 26/6/2007 SAA TATU USIKU, Nyie mliko huko Dar es salaam tuhakikishieni jamani kama ni kweli unajua wengine pembeni kabisa ya nchi hii.
Back
Top Bottom