Search results

  1. MPARE KIBOGOYO

    Msaada Canon 2425i inaandika checking the data

    Habari...naomba msaada wa kutatua tatizo kwenye CANON 2325i. Inaandika ( Checking the data..... Do not turn OFF the main power. Remaining Time 1 min.
  2. MPARE KIBOGOYO

    NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

    Baraza la Mitihani la Tanzania leo terehe 15/01/2022 linatarajia kutangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne, Kidato cha Pili na Mtihani wa Kidato cha Nne 2021. Unaweza kutazama tukio hilo live kupitia youtube channel ya NECTA (Nectaonline) kuanzia Saa 4:00 asubuhi. Source FB PAGE...
  3. MPARE KIBOGOYO

    NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne 2021

    Baraza la Mitihani la Tanzania leo terehe 15/01/2022 linatarajia kutangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne, Kidato cha Pili na Mtihani wa Kidato cha Nne 2021. Unaweza kutazama tukio hilo live kupitia youtube channel ya NECTA (Nectaonline) kuanzia Saa 4:00 asubuhi. Source FB PAGE...
  4. MPARE KIBOGOYO

    Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

    Angalia tena mahojiano usikie kwa mwaka aligharamikiwa nyimbo ngapi? Halafu uje na hizo gharama zako tena
  5. MPARE KIBOGOYO

    Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Bi. Khadija awaweka ndani Wakuu wa Shule kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa vyumba vya madarasa

    Mkurugenzi alivyojua amekosea kitaratibu kuwaweka ndani..Mkuu wa Wilaya akaona aseme ni yeye ili amlinde. Ila Leo naomba niwaombe msamaha waliokuwa wanadai katiba mpya halafu nikawaona hawana hoja.
  6. MPARE KIBOGOYO

    Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Bi. Khadija awaweka ndani Wakuu wa Shule kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa vyumba vya madarasa

    Hivi walimu kazi zao nyingi...Ufundishaji, Ujenzi, Ulinzi, Uchaguzi.....!!!?
  7. MPARE KIBOGOYO

    Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Bi. Khadija awaweka ndani Wakuu wa Shule kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa vyumba vya madarasa

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga amewakamata na kuwaweka ndani wakuu wa shule 3 za sekondari kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa vyumba vya madarasa. Wamewekwa ndani kuanzia tarehe 8/11/2021. ==== UPDATES: ==== Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Bi.Khadija N. Ali, amekanusha taarifa hii...
  8. MPARE KIBOGOYO

    Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

    Tatizo ana haraka sana kuifumua serikali kama hakuwa Makamu wa Rais....Au anatuaminisha kuwa alipokuwa anasema wanashirikishana kwenye Teuzi wakati wa JPM haikuwa KWELI.
  9. MPARE KIBOGOYO

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nitalipa malimbikizo ya wafanyakazi yote kuanzia 2015 - 2020

    Sasa aya ndio tulitaka kisikia...sasa me mkulima wa kijijini unaanza niambia mambo ya risasi kiunoni.
Back
Top Bottom