Search results

  1. rehan

    Canaan Banana:Rais wa Zimbabwe Aliyefungwa kwa Kulawiti

    Ndiyo maana nawashauri wachungaji wafunge ndoa,kutofunga ndoa ndiyo hayo yanawakuta
  2. rehan

    Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

    Hao ni virusi katika jamii,ni vyema waondolewe na kuwapa adhabu kali ili watu wakome kuwaiga
  3. rehan

    Nampenda Tatty

    Utuelezee masharti na vigezo
  4. rehan

    Wanawake, anikeni nguo za ndani nje

    Huyu ambaye anataka zianikwe nje anaonakana mchawi huyo
  5. rehan

    Wazungu ni binadamu daraja la kwanza

    Wewe mwenye hiyo uzi inaonekana akili zako hazina akili,wanasaidia kitu gani,eti wanakusaidia sh100 halafu wanaondoka na sh 1000000 zako,usiwe mjinga,baada ya kututawala na kuwaua waafrika wengi leo unasema ni watu wazuri?
  6. rehan

    TRA imekusanya zaidi ya trilioni 1 kwa mwezi Januari 2016

    Hakuna cha maana wanafanya,kabla ya kukusanya kodi watengeneze tax system ya nchi nzima,haiwezekani wakasema import duty is 10% halafu waka charge 150% ,lazima kuwe na flow of money,wafanya biashara watengeneze na serikali itengeneze,ikiwa one side basi biashara either zitakufa au bei ya vitu...
  7. rehan

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Ni contact whatsapp 0769063661 au call 0757354318
  8. rehan

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji circuit ya iphone 5 aliyenayo? Au iPhone 5 Bila kioo Chake au iphone5 nzima iliyovunjika kioo chake
  9. rehan

    Nimeoteshwa dawa inayotibu magonjwa sugu

    Kama umesikia sauti basi ujue ni ya shetani
  10. rehan

    Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

    Mwishoni tutasikia serikali itasema "na wachina waliochukua nafasi za masomo waondoke kwao ili kumpatia nafasi mtanzania
  11. rehan

    Mjukuu wa Mandela matatani kwa kuslimu

    Kwa hiyo msiokuwa waislamu muna problem nae?bado hamtaki kuukubali uislamu
  12. rehan

    Makampuni 210 ya Clearing & Forwarding yasimamishwa kutoa huduma na TPA

    Mie naona tunapoenda ni pabaya,sasa jamani watu wasipoagiza mizigo basi hizo taxes watazipata wapi serikali?
  13. rehan

    Mvua kubwa yanyesha usiku huu jijini Dar es salaam

    Maeneo ya kariakoo mvua si mwingi bali mawingu mazito
  14. rehan

    Nabii Flora Peter wa Mbezi Beach...

    Yesu hakuwa mkristo kwasababu kristo si dini,bali alkuwa muislam
  15. rehan

    Spea za boxer

    Nauza spea za boxer bm 150 na bajaji three wheeler,wasiliana kwa whatsapp 0769063661 au call 0757354318
  16. rehan

    Hawa ndiyo Wachina bhana. Akili nyingi sana, hakuna cha Vibali wala nini!!

    Wabongo msipokuwa na msimamo basi baada ya miaka 20 hata kwenye JF kutakuwa na wachina
  17. rehan

    How to bypass icloud activation?

    Icloud lock inaweza kutolewa,garama ni $250
  18. rehan

    Operesheni wahamiaji haramu kazi imeanza, vilio vyatanda, wachina wagoma

    Kwenye operesheni hiyo hakuna cha wahindi wala china wala walalahoi,bali ni kwa wale ambao and wanafanya kaZi nchini kinyume na sheria,kama wewe ni black lakini si mtanzania ,FUKUZA HUYO
  19. rehan

    Kumbe Uturuki hamna Christmas!..

    Wanaosherehekea Christmas ni sikukuu ya mapagani,na siyo siku ya kuzaliwa kwa yesu
Back
Top Bottom