The writer, whom I presume is Kenyan, has made a very honest observation as to why Tanzania should be very carefull in moving towards EAC "federation". As it is, Tanzania was the main player when the first EAC was formed and we burnt our fingers in the process. They say, "once bitted, twice...
Mzee Dogo, If you do not know who is Right and who is Wrong, then on what base do you judge ZZK "Msaliti"??? Is it that you go by anything Mbowe says??
Character X, What really makes this decision right while one is being accused of "treason" for being impliedly involved in a campaign strategy. Very ridiculous!!
Ndugu yangu nadhani inabidi ujielimishe juu ya majukumu ya msingi ya Rais na viongozi wa ngazi mbali mbali. Siwezi kukulaumu kwa mtazamo wako lakini napenda ujue tu kwamba mtazamo wako ni potofu sana.
Jambo alilolifanya Rais hapo ni jambo la kujivunia sana. Sielewi watu wanapozungumzia kukuza...
Zitto ni bora sana kuliko wanasiasa wengi na hata wachangiaji wengi sana humu JF.
Propaganda hizi naona zinatokana na wanasiasa wasiokuwa na vision na wanamuona Zitto kama threat kwa future dreamz zao ndio maana wanaamua kumpaka matope. waingereze wanasema, "You can not strengthen the weak by...
Mbatia haonekani kama mwanasiasa bali mganga njaa tu, hivyo akiondolewa kwa maslahi ya growth ya chama sioni tatizo hata kidogo. Na hata kama Zitto anataka kugombea Urais sioni tatizo pia. Tatizo ni wale wenye mawazo mgando ambao hawaijui demokrasia vizuri bali wanaendekeza ushabiki wa siasa tu.
Kwa Mwanakijiji na wengine wenye mawazo kama yake.
Kwanza ni vizuri kutofautisha habari za kisiasa na za kibiashara. Hii thread ni ya kibiashara zaidi na sio siasa.
Pili; Suala la kukusanya kosi linasimamiwa na TRA lakini benki ndizo zenye miundombinu ya kukusanyia pesa na sio TRA, ni vizuri...
Mimi naona kuna watu wanataka kutumia historia kuendeleza ajenda zao za siri hapa. Naamini kabisa hawa WAISLAMU kama akina Abdulwahid Sykes na wenzake wengi walikuwa na uchungu wa kweli wa kutaka UHURU, na hawakuwa wakipigania uhuru wa WAISLAMU bali uhuru wa TAnganyika yote. Ndio maana hata...
Mh. Zitto pole sana kwa kuuguliwa na Mama yako. Natumai Mungu atampa afya njema karibuni.
Nasikitika tu kuona watu wengine wanachukulia suala la kuuguza kama mzaha tu la kini wanasahau huwezi kuwa kiongozi bora unayewajali watu wako kama unashindwa kuwajali watu wa karibu na wewe kama mama yako...
Kenya ni mfano halisi kuwa Katiba mpya bila Maadili haina maana yoyote.!!! Kenya imeshindwa kabisa kujivua gamba la ukabila...kila kitu kwao kinaanza na kabila na kinaisha na kabila....inasikitisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.