Search results

  1. Charles Mkubya

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Poleni sana, ndugu, jamaa na marafiki wa Membe. R.I.P Membe
  2. Charles Mkubya

    Mh Makonda, barabara Kitunda, Kivule & Magole

    Nianze kwa kukupongeza Mh Makonda kwa juhudi zako katika kufuatilia kero za wananchi wako. Baada ya kuonekana taarifa ya Bw. Amos wa Kivule akizungumzia kero ya barabara ya Kitunda - Kivule, nimeona umetembelea na kuongea na wananchi wa eneo husika. Hii ndio ilitakiwa kufanywa na watendaji wako...
  3. Charles Mkubya

    Mawasiliano kati ya Mwanagati na Magole hakuna baada ya daraja kusombwa na maji

    Nawaza mvua zikianza tena, sababu mpaka sasa hakuna kilichofanyika[emoji3064][emoji3064]
  4. Charles Mkubya

    Barabara ya Magole-Kitunda yapata mfadhiri ndotoni

    Ni kweli mkuu, asante sana kwa wazo/ushauri wako. Wahusika nadhani watachukua
  5. Charles Mkubya

    Barabara ya Magole-Kitunda yapata mfadhiri ndotoni

    Asante sana mkuu japo imeshachukua muda mrefu sana.
  6. Charles Mkubya

    Barabara ya Magole-Kitunda yapata mfadhiri ndotoni

    Labda kuna siku Mh Waitara atatukumbuka, ngoja tuvute subira kidogo lakini hali ya barabara ni mbaya
  7. Charles Mkubya

    Barabara ya Magole-Kitunda yapata mfadhiri ndotoni

    Jana nilipokea simu toka kwa Milard Ayo wa Clouds Media akinitaarifu nimekua mshindi katika moja ya michezo ya kubahatisha....TZS bilioni 1. Akaniuliza swali moja “utaifanyia nini hii pesa??” Nikamwambia kwa adha ya barabara ninayopata, najitolea pesa yote hii itumike kwa ujenzi wa barabara ya...
  8. Charles Mkubya

    TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

    R.I.P mzee wetu!! Tunathamini sana mchango wako kwa Taifa la Tanzania. Poleni wafiwa wote, ndugu, jamaa na marafiki zake.
  9. Charles Mkubya

    Rwanda: Paul Kagame awakamata na kuwashikilia Majenerali 3 wa Jeshi

    Naanza kuelewa sasa[emoji848][emoji848] Sent from my iPhone using JamiiForums
  10. Charles Mkubya

    RC Gambo afiwa na dada yake

    Poleni sana ndugu, jamaa, marafiki na wote walioguswa na msiba huu.
  11. Charles Mkubya

    TANZIA: Rais Magufuli afiwa na dada yake (Monica Magufuli) Hospitali ya Bugando

    Apumzike kwa amani, Monika. Pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki. Sent from my iPhone using JamiiForums
  12. Charles Mkubya

    Hongera Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume

    Hongera zake, yeye na shemeji yetu.
  13. Charles Mkubya

    JamiiForums: Tumerejea baada ya kutoweka hewani kwa wiki 3

    At last!! Shukrani sana kiongozi.
  14. Charles Mkubya

    Barabara ya Kitunda-Magole Dar

    Baada ya mvua kubwa ilionyesha wiki chache zilizopita, barabara ya Kitunda kwenda Magole hasa baada ya daraja, iliharibika kwa wastani wa asilimia 30. Ikitokea mvua kubwa nyingine hata ya siku mbili tu, basi kuna uwezekano wa kukatika kwa mawasiliano kati ya Magole na upande wa pili ambapo...
  15. Charles Mkubya

    Ufafanuzi wa kina juu ya (vyeti) elimu ya Makonda

    Makonda anaweza kuwa na mapungufu yake kama binadamu lakini huwa hainiingii akilini kwamba hakuna mtanzania hata mmoja anaeona juhudi zake katika utendaji[emoji848][emoji848]. Katika watu wanaojituma na huyu jamaa ni mojawapo. Nilitegemea apewe moyo kwa juhudi anazofanya lakini kila andiko...
Back
Top Bottom