Search results

  1. Dragoon

    Wataalamu wa kuchora hivi hii picha ni ya kuchora

    Kwani Mungu ndo kachora?
  2. Dragoon

    Mwandiko wako huweza kusema wewe ni mtu wa aina gani

    Kwenye mwandiko kuna ukweli uliojificha. Nilishawahi kuwa mfasiri wa saikolojia na muonekano wa watu kwa kuangalia miandiko yao tu pasi kuwahi kuonana au kuwafahamu watu hao. Kwa kutazama mwandiko tu niliweza kufahamu rangi ya mwandishi, namna fikra yake ilivyo, mwezi aliozaliwa, umbo lake...
  3. Dragoon

    Linalofichwa ni hili, heshima ya Ubalozi imeporomoka

    Tupatie vigezo vya kuteuliwa balozi
  4. Dragoon

    Dar: Kuna Tatizo la watu Homa na Mafua, Wizara ya Afya ipo kimyaa..

    Hahahaaaa. Mkopo wa korona mmechukua halafu mkaujengea madarasa kutafuta sifa kwa wananchi. Sijui mtawaambia nini mabwana zenu..
  5. Dragoon

    Ujumbe wa Askofu Mwamakula kwenye kongamano la Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika wagusa wengi

    Acheni mfumo wa sheria ufanye kazi stahiki. Mbowe yuko sehemu salama. Hata washtakiwa wenzake nao ni binadamu, tena wako wengine wengi wanaoshikiliwa kusubiri kesi zao. Kosa analoshtakiwa Mbowe halina dhamana, kesi bado iko mahakamani. Sasa nani avunje au apindishe sheria kisa mtu flani maarufu...
  6. Dragoon

    Namshauri Jaji Mkuu ajiuzulu

    Kabla hujaleta mada jitahidi kufahamu nani mwenye majukumu ya kupeleleza uhalifu, kufungua mashtaka, kutoa maamuzi na hata kukamata wahalifu.
  7. Dragoon

    Kumbukizi: Mwalimu Nyerere alituasa kutoyapa madaraka baadhi ya Makabila tukapuuza, Bila Shaka tumejifunza

    Daaaa! Siku huzi JF imepoteza mvuto. Huu nao uzi? Facebook imehamia huku.
  8. Dragoon

    Tujikumbushe Wachezaji wa Congo, Burundi na Rwanda waliowahi kucheza Soka Tanzania

    Mayaula Mayoni, mkongo man baadae akaacha kudaka kaanza kuimba. Ni marehemu kwa Sasa.
  9. Dragoon

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Najiweka mwenyewe enzi zileeeee
  10. Dragoon

    CHADEMA yaishinda CCM unaibu Meya Tarime

    MUNGU hajihusishi na siasa. Labda ungesema mungu
  11. Dragoon

    Karibuni lamwidebe...

    SHORT & CLEAR Hahahaaaaaaa
  12. Dragoon

    Chata kali ya jezi au viatu vya michezo

    Puma, Fubu na Fila. ndio zangu hizi
  13. Dragoon

    Masau Bwire kumrithi Dismas klabu ya Yanga

    Yametimia. Tayari Bwire yu Yanga
  14. Dragoon

    Mashine ya Ultra sound yaibwa Hospitali ya Wilaya Bariadi

    Ilitikaje hospitali? ile ni mashine kubwa huwezi iweka mfukoni
  15. Dragoon

    Viongozi wetu na staili ya kufokafoka

    Mbowe, Lipumba, Mbatia, Maalim Seif, ... Nk. Ni style ta ukawa, wengine wanaiga tu
Back
Top Bottom