Hivi kama tume ya ajira/Chuo cha Ardhi mnakosea matokeo ya watu 8 tu, inakuwaje kwa watu 100-800?
Ni kweli watu wanawekewa matokeo yao kwa usahihi? Mtu wa quality assurance anafanya nini mpaka matokeo haya yanarushwa kwenye tovuti ya PSRS? Watu 8 tu?
kama ilivo kawaida nilitegemea shortlisted candidates wa nafasi za kazi UDOM iwekwe kwa website ya PSRS
. au kuna exceptions UDOM? watu wamepigiwa simu kwenda interview nini agenda ya siri hapo?
Angalieni hii post ya Assistant Librarian Trainee katika chuo cha UDOM, jamani Hivi qualification ya Librarian kwa level yoyote anaweza kuwa na qualification ya Doctor of Medicine? Pharmacy? Law ? Physics kama inavyoonekana kwenye tangazo na Portal? Hebu tuweni serious watu wanahitaji kuomba...
Sekretarieti ya Ajira, hivi hamna mtu wa quality assuarance? ili akague adverts zenu kabla ya kuwekwa kwa portal na kwenye webiste? hivi hamnuoni kwamba kuna kazi nyingi zina makosa?
Unakuta kazi ipo kwenye category yako na programme yako iko listed lakini huwezi kuomba kazi unaambiwa programe...
Tume ya ajira, tunaomba muwe mnaweka na matokeo ya written interview kwenye account zetu au website, kusudi mtu ajue amepataje na amekuwa wa ngapi na wamechaguliwa wangapi kwenye stage inayofuata.
Uzuri wote wnaofanya mtihani kuna ID bila majina. sasa kwenye portal mnaweka "not selected" tu...
Huu ni ukweli usiopingika......vodacom siku nyingi tunawaangalia tu kwenye issue ya data na vifurushi.....lakini angalau kwa kipindi hiki kigumu angalieni....baadhi ya wanafunzi wanasoma online, meetings, kazi etc... nyingi zinafanyika online ...ila data zenu zinayeyuka fasta kama mwanga wa...
I think sisi hatuko serious.......ila Mungu amempa akili kila mtu.......
Tutumie hizo akili kujikinga.....covid-19 is serious
Only one question .....nini maana ya mikusanyiko?
Juhudi binafsi ziongezeke
Ukiachilia mapungufu atakayokuwa nayo, yani Museveni anaitambua Thamani ya maisha ya wananchi wake!
Katika hili nampongeza sana, Kwetu Tanzania ni Uzembe mkubwa sana. Deal na source kwanza, fungeni mipaka na wekeni restriction kweli kweli.
Nchi nyingi zilizoathirika na virusi vya Corona (COVID-2019) tayari zimefunga mipaka yake angalu kwa siku 30 ili kukabiliana na kusambaa kwa virusi hivyo kwenye hizo nchi. Ukiacha mbali nchi za Ulaya, pia Africa ziko nchi zimeweka restrictions kwenye mipaka yake.
Sisi Tanzania tunakwama wapi...
Kweli media za Tanzania huwa mnachekesha sana , siyo kwa bembelezea hiyo!
kuomba msamaha inapewa coverage kuliko hata Xenophobia !
safari bado ndefu mno!
Christian Bwaya akiwa Singida, amepost katika ukurasa wake wa Facebook kama inavyoonesha hapa kwenye picha. Amekamatwa na Police. Tunakuombea Mungu awepo kati yako huko ulipo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.