Search results

  1. M

    Jamani naomba msaada wenu wa sheria dhidi ya madai

    Saw a mkuu, kwa maana hiyo hata nikipeleka kesi mahakamani, mdaiwa akakaidi kulipa sitakuwa na msaada zaidi. Naomba unisaidie zaidi nini kifanyike tofauti na hilo?
  2. M

    Jamani naomba msaada wenu wa sheria dhidi ya madai

    Nimekusoma sana, nashukru sana kwa ushauri huo. Barua ya makubaliano inaonesha kuwa nilimuazima kiasi hicho cha cha fedha na sio kumkopesha, vipi unanishauri nini kuhusu kauri hii bado sina haki kisheria au nifanye nini badala yake?
  3. M

    Jamani naomba msaada wenu wa sheria dhidi ya madai

    Nashukru kwa mchango wako. Kama nitasimama mwenyewe kuna uwezekano wa kunishinda ikiwa nina hati ya makubaliano iliyothibitishwa na serikali za mitaa na familia ya mdaiwa, kuna sababu zipi? na nizikabili vipi?
  4. M

    Jamani naomba msaada wenu wa sheria dhidi ya madai

    Asante chief kwa mchango wako wa mawazo, maana yangu nataka kuepuka ahadi za malipo madogo madogo. Mimi sheria sijui, stori za mitaani ni kwamba mdaiwa anahaki ya kuahidi mahakamani kuwa ana uwezo wa kulipa hata elfu mbili mbili hasa mahakama inapogundua kuwa alishaanza kulipo malipo ya awali...
  5. M

    Jamani naomba msaada wenu wa sheria dhidi ya madai

    Asante mkuu, in kweli kabisa unalolisema Mimi nimekosana na watu wengi kupitia mkopo.
  6. M

    Jamani naomba msaada wenu wa sheria dhidi ya madai

    Kuna mtu nilimwazima pesa kiasi cha mil 1.5 na kuweka dhamana ya nyumba kwa maandishi mbele mtendaji wa kijiji kwa makubaliano ya kulipa ndani ya kipindi cha miezi mitano, alifanikiwa kulipa laki mbili tu hadi muda wa ahadi kuisha na zaidi, hajalipa tena ili kumaliza deni hilo lililobaki. Nina...
  7. M

    Nina haki ya kwenda mahakamani kudai haki yangu na kukabidhiwa nyumba endapo mtuhumiwa atashindwa kulipa fedha zote?

    JAMANI NAOMBENI MSAADA WA KISHERIA THIDI YA MADAI. Kuna mtu nilimwazima pesa kiasi cha mil 1.5 na kuweka dhamana ya nyumba kwa maandishi mbele mtendaji wa kijiji kwa makubaliano ya kulipa ndani ya kipindi cha miezi mitano, alifanikiwa kulipa laki mbili tu hadi muda wa ahadi kuisha na zaidi...
Back
Top Bottom