Search results

  1. Ndombwindo

    Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

    Exactly, sisi zetu bisi tu kwa kizungu wanaiita popcorn… mjomba washa kideo…
  2. Ndombwindo

    Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

    RIP membe, nilipoona tu msamaha wa pengo na malasusa umewekwa hadharani nikajua kijana amekwisha…
  3. Ndombwindo

    Leo tuwakumbuke wanamuziki wa mamtoni waliotamba miaka ya nyuma

    Umemleta huyu mwamba tegemea na BIG kufuatia, hawa jamaa inawezekana battle lao liliendelea pema peponi ndio maana mashabiki hawataki kuelewana nani mkali zaidi ya…
  4. Ndombwindo

    Masanja Mkandamizaji, Mrithi wa Kitenge na Hando EFM

    Weka kigingi niweke chuma, tega ugoko niweke jiwe… big up Majizzo for Shizzo Manizzo…
  5. Ndombwindo

    CCM v/s Maandazi: Ukosoaji na ukosaji katika ukosoaji wetu

    Maandazi yanatuliza njaa, fisiemu wanasababisha njaa…chagua moja.
  6. Ndombwindo

    Miaka 20 ya Maranatha: DC Jokate ashiriki ibada, aomba viongozi wa dini kuombea serikali

    Yesu mwenyewe alisema jililieni wenyewe na watoto zenu, unaanzaje kuwalilia wazee wa mavi8! hata mimi sina upuuzi huo, hivi kwanza bado wanamatumaini kuwa wataionja pepo! Labda pepopunda…
  7. Ndombwindo

    Hivi Mama Janeth Magufuli amestaafu kazi katika utumishi wa umma? Kwa sasa anafanya kazi gani?

    Popote alipo mke wa raisi na msafara wa polisi na usalama wa aina zote upo nae, sasa pata picha ndio anaingia darasani kila siku, kutakuwa na shule kweli hapo? Vp … mwalimu mkuu wa hiyo shule anatoa wapi kauli yoyote mbele yake mke wa mkuu wa nchi! Achilia mbali maafisa elimu ngazi zote anzia...
  8. Ndombwindo

    Marehemu Magufuli na ujenzi wa Chato Airport Jakaya na Kambi ya jeshi ilinde wazaramo! Kibanda na wenzako mlikuwa wapi?

    Umejenga hoja zako vizuri sana, nitasimama na yule mzee wa Chato mpaka siku tunaungana tena upande mwingine.
  9. Ndombwindo

    Tunaposema "Mungu Wabariki Wazungu" muwe mnaelewa tunachomaanisha

    CCM haina tumbo la uzazi bwashee!! Ntake radhi haraka sana.
  10. Ndombwindo

    Tunaposema "Mungu Wabariki Wazungu" muwe mnaelewa tunachomaanisha

    Sijawahi muelewa huyo mwamba aiseee…
  11. Ndombwindo

    Bei ya maharage Kenya ni 2861 Tsh/Kg huku Tz ni 4,200Tsh/Kg lakini wakenya wapo Barabarani huku watanzania tukipongezana miaka 2

    Nilitaka kumuambia hivyo hivyo. Maharage bei ya leo unapata mpaka kwa sh. 2500. quality imezingatiwa. Kwanza walioandamana Kenya ni wafuasi wa chama fulani, sio wakenya wote… hapo kuna siasa as kule asali haitolewi hovyo.
  12. Ndombwindo

    Kama iko haki ya mtu kuamua kujitenga na Tanzania na kuundwa nchi ya watu wa Jamhuri ya JPM, Mimi namba moja

    Hiyo nchi babu zako wapo huko tayari, una laana ya ukoo Dewji wa mitandaoni..
  13. Ndombwindo

    Lissu alitishiwa na nani Safari Hii mpaka akatimka upya?Au aliwakumbuka Wazee wa Ulaya!

    Magufuli wa watu nae alikuwa kwenye target ya kunyakuliwa na super eagles.
  14. Ndombwindo

    Mbowe, Zitto, Lissu na Peter Msigwa wanakubaliana Magufuli alijenga Nidhamu Serikalini. Wakumbuke nidhamu haiji kwa kuchekeana!

    Yaani hawa ni kama Ulimboka alinyofolewa kucha enzi ya Magu, achana na utumbo wa Mwangosi alale mahali pema na hao kina Chacha Wangwe, Filikunjombe…. Mi naamini kuna watu hulipwa kuharibu image za wengine…
  15. Ndombwindo

    Lissu alitishiwa na nani Safari Hii mpaka akatimka upya?Au aliwakumbuka Wazee wa Ulaya!

    Aliyonayo Lisu moyoni ni zaidi ya tunavyofikiria sema tu alijiingiza mwenyewe kwenye road of no turn…anavuna sasa…
Back
Top Bottom