Search results

  1. B

    Kuhamia Dodoma ni Utajirisho kwa Mawaziri?

    Yeyote aliye makini atakaposoma andiko langu, halafu akapitia maoni yako, haraka sana anang'amua kuwa tunaishi dunia mbili tofauti na vilevile uwezo wetu kifikra na katika kuanisha mambo unatofautiana mbali mno. Jaribu kusoma upya nilichoandika na jipe muda wa kutafakari kabla hujaandika maoni yako.
  2. B

    Kuhamia Dodoma ni Utajirisho kwa Mawaziri?

    Kwa dhati nampongeza Rais Dk. Magufuli kwa uamuzi wa Serikali yake kutimiza ndoto ya Taifa kuhamishia makao makuu Dodoma. Pamoja na pongezi hizi, kuna jambo moja nimeshtukia linakinzana na kaulimbiu na jitihada za Rais kupunguza matumizi ya taaasisi za umma hasa kwenye mambo kama posho za safari...
  3. B

    Top 10 Strategic Technology Trends for 2017

    Published: 14 October 2016 ID: G00317560 Analyst(s): David W. Cearley | Mike J. Walker | Brian Burke Order Reprints You may request paper or digital reprints on the ensuing order form. Summary Gartner's top 10 trends will drive the future of the intelligent digital mesh. Enterprise...
  4. B

    Tuty wa Pwani Tuwasiliane.....!!

    Sijapata email yoyote! Angalia na tuma upya
  5. B

    Tuty wa Pwani Tuwasiliane.....!!

    Mbona waguna, umepatwa nini Jephta2003?
  6. B

    Tuty wa Pwani Tuwasiliane.....!!

    Mpendwa Dada mwenye picha zifuatazo hapo chini, Nimeokotoa flash mobile yako ikiwa na vitu mbalimbali lakini vikiwa havionyeshi utambulisho wala njia yoyote ya mawasiliano. Nimetumia signature ya doc mojawapo ambayo imesainiwa kama "Tuty wa Pwani" kukutafuta. Usomapo au ufahamishwapo juu ya...
  7. B

    Nafasi za Kazi: Afisa Mauzo na Meneja Masoko Mikoa Mbalimbali

    Kampuni yetu inayojishughulisha na utengenezaji wa vinywaji vikali na wines inazo nafasi za kazi zilivyotajwa hapo juu katika mkoa wa Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Moshi na Shinyanga, Simiyu na Geita. Tunakaribisha maombi kutoka kwa watu wenye sifa zifuatazo: Ubunifu wa mikakati ya kutafuta...
  8. B

    Rosemary spice plant

    Wasiliana na upegra at gmail.com
  9. B

    Anahitajika Mwalimu wa Usindikaji Vyakula (Food Processing/Technology)

    Hivi mnajua kusoma kweli? Kuna mahali mie nimesema nazalisha kwa ajili ya kuuza au mnaendeshwa na hisia? Eleweni kujifunza mapishi siyo lazima uanzishe kiwanda. Wanaowapikia majumbani mwenu wamethibitishwa na TFDA au wana vyeti vya TBS? Kwani kila mwenye hobby na mpira ni mchezaji? Msiwe...
  10. B

    Anahitajika Mwalimu wa Usindikaji Vyakula (Food Processing/Technology)

    Zanzibar Spices LIFE IS HOW YOU THINK AND MAKE IT Hakuna shuruti kwa yeyote kupoteza muda na na kujaza server ya JF kwa mchango usio na tija. Umewahi kumuuliza Yaya wako au mkeo cheti kwa mapishi anayokuandalia? Wafanyakazi alioanza nao Bakheresa walikuwa na Degree ngapi? Mie nikuombe tu...
  11. B

    Anahitajika Mwalimu wa Usindikaji Vyakula (Food Processing/Technology)

    Anahitajika mtu mwenye ujuzi wa forumala/recipes zinazotumika kusindika vyakula na viungo mbalimbali kama Garlic Paste, Gindger Paste, Tomato Paste, Mango Pickles, Mayonnaise, Tea Masalla, Pilau Masalla, n.k. Sifa kuu ni ujuzi na si vyeti wala muda wa muombaji kukaa dalasani. Muombaji awe...
  12. B

    Red wine (dompo) 8500

    We Pdidy si muumini wa Gwajima? Lini umeanza kunywa divai iliyochacha?
  13. B

    ZITTO: Nilipofukuzwa nilitamani kujiunga NCCR Mageuzi

    Not really....I knew the team composition. Ilimshirikisha aliyekuwa CEO wa Smile Technologies Ltd
  14. B

    ZITTO: Nilipofukuzwa nilitamani kujiunga NCCR Mageuzi

    Pasco you are wrong. Mzee anayo PR kampani ya Digital Generation na siyo huyo front wa BCC (Born Before Computer) Tayari imefanya kazi nzuri tu kuondoa uchafu wa Mzee kwenye caches za mitandaoni. Hata leo ukimuuliza Google unamjua "Mzee wetu"? Atakuambia YEES!.....The Next President of Tanzania...
  15. B

    ZITTO: Nilipofukuzwa nilitamani kujiunga NCCR Mageuzi

    Mzee VUTA-NKUVUTE, Bandiko lako haliwezi kukamilika maana orodha ya mambo ambayo Zitto amejing'ata ulimi ni lukuki. Mie naongeza moja tu la hivi karibuni. Akihojiwa kwenye MKASI-EATV na Hotmix ya EA Radio alisema Kahama, Kawe, Ubungo na Segerea wananiomba nigombee ubunge Mtu huyu huyu mwezi...
  16. B

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Wataalam wa Magari Gsana et al naomba ushauri na msaada. Nataka kuagiza gari aina ya Toyota Passo. Ikiwa FOB quote ni US$ 1500, gari hii ya CC 1000 na YOM 2004 itanigharimu kiasi gani mpaka kuiingiza barabarani Tanzania? Natanguliza shukrani! Ref 116625 Status In-Stock Year 2004 Make...
  17. B

    David Kafulila; Huu ni mtazamo wake kuhusu sakata la kumvua unaibu katibu CHADEMA Zitto

    Yaani umempatia 100% We mwenyewe si unaona jinsi alivyo next level hata katika kuficha kichwa ardhini? Mara Mwigulu Nchemba mara Taswira, etc
  18. B

    Zitto amburuza Kilewo polisi

    Tuko tuko pamoja. Mwenzio tayari nimeanza kumuita Mh. Zitto Zuberi Kabwe, kwa cheo cha Mbunge wa Kigoma Kaskazini anayemalizia muhula wake kupitia Mahakama
  19. B

    Kilio kwa Wasaliti - Watanzania Jiandaeni Kununua Nyama!

    Kwani hujui mpaka sasa kuwa Zitto ni "Mbunge wa Mahakamani?"
Back
Top Bottom