Nahisi kama hatujamuelewa aliyeleta mada! Sidhani kama alimaanisha Tanzania tuwe kama UK, nadhani alitoa mfano wa nchi ambayo imeendelea ili kuweka msisitizo kwenye point kwamba -- ili na sisi tuweze kupiga hatua ni lazima kuwe na 'policies' and 'regulations'.
Na tukumbuke hawajakataza bunge...
You took the words right outa my mouth! Kwanza mi nimeona amekuwa rude...
Maana kama angekuwa na shida asingesubiri mwenzie aanze kusema afu ye adandie! Some people....
Kwanini wasianzishe hivo viboko huko huko wizarani...? Ovyo kabisa, waziri wa elimu uwezo wa kufikiri ni mdogo and then tutegemee watoto wawe sawa? Mxxxxxx
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.