Search results

  1. Chakaza

    Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

    Hakuna! Kwa lipi Pasco? Utaacha watu wafikiri kuwa mateso ya siku tano yanakusafisha kupata raha ya milele!
  2. Chakaza

    KWANINI BUNGE LILOPITISHWA MUSWAADA WA WENZA KILIPWA ILI HALI WAUME/WAKE ZAO WANALIPWA MAMILIONI NA KWANINI HAWAJULIPWA KABLA YA KUSTAAFU?

    Dawa ni kuja kuwafilisi hapo baadae kama wezi tuu wa rasilimali za wananchi. Unajiuliza hata hao waitwao wabunge jee hawalioni hili kuwa sio sawa? Au shida ni kuwa sio walio chaguliwa na wananchi bali walichomekwa tuu Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  3. Chakaza

    Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

    Jee ni malipo ya maumivu kwa wengine? Ndio yale tunayosikia katika maombi kuwa " Ee Mungu tujalie tupate kifo chenye kheri". Kumbe maana yake ni hii, kwamba tuepushiwe kifo cha mateso. Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  4. Chakaza

    Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

    Kwa maana hiyo #2 was aware of what's going on? Au hilo lilikuwa sharti na kukaa kwenye kigoda? Bado nayakumbuka sana maneno ya namba one wa mabakamabaka aliposema " nitakuja kukuona ofisi kuna ya kuongea" Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  5. Chakaza

    Kwanini Mawakili wengi binafsi wanashangilia na kukimbilia kusimamia kesi za wanaodaiwa kutukana au kuikosoa Serikali?

    Acha kuongea upuuzi, mbona hatujaona ukilalamikia kuwa viongozi wanapofanya matukio mabaya kama kuwatumbukizia vijana chupa za soda makalioni na kuachiwa ni matumizi mabaya ya uhuru? Au unasubiri mtu aandike matusi kwa huyo atendaye hivyo ili useme anatukana kiongozi? Hatutengenezi kizazi cha...
  6. Chakaza

    Tanga: Mbunge wa Lushoto na Mwenyekiti wa Halmashauri wadaiwa kuwindana kwa Risasi

    Umesema kweli kabisa Zumbemkuu, Lushoto kuna tatizo hilo na kuna kukumbatia uccm! Wameipotezea ile hadhi ya Swiss of Africa Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  7. Chakaza

    Tanga: Mbunge wa Lushoto na Mwenyekiti wa Halmashauri wadaiwa kuwindana kwa Risasi

    Lushoto shida ni wananchi wenyewe! Wanaikumbatia CCM utadhani Luba na maendeleo hakuna. Unafiki umejaa hadi inashangaza Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  8. Chakaza

    Kama CHADEMA imechukua miaka zaidi ya 30 kujenga ofisi ya makao makuu, SGR au bwawa la Mwalimu Nyerere ingewachukua miaka 300 au 500

    Kama kungekuwa na chuo kinatoa shahada ya ujinga basi chiembe ungetunukiwa; Masters in Stupidity, 1st class. Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  9. Chakaza

    Martha Mlata na Mwigulu wamkwamisha RC Serukamba kufanya kazi Singida, nani ataweza sasa?

    Ushavimbiwa futari tayari! Hueleweki unakusudia nini. Nguvu ya kikatiba haiwezi kumn'goa mwenyekiti wa CCM wa kuchaguliwa au mbunge unless afanye faulo za kimizengwe. Alichofanya ndicho amestahili kufanya kwa madaraka yake, wewe ulitakaje? Amuue mmoja wapo? Sent from my SM-A125F using...
  10. Chakaza

    Martha Mlata na Mwigulu wamkwamisha RC Serukamba kufanya kazi Singida, nani ataweza sasa?

    Nguvu ipi unataka kuzungumzia bibie?
  11. Chakaza

    Martha Mlata na Mwigulu wamkwamisha RC Serukamba kufanya kazi Singida, nani ataweza sasa?

    Akimuondoa uwaziri ubunge wake wa Singida upo palepale! Hujaelewa? Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  12. Chakaza

    Wengi wanakimbilia ACT Wazalendo kwa sababu ni chama huru baada ya Zitto Kabwe kustaafu. Mwabukusi na Mbatia watajwa kuhamia!

    Wewe ni mfalme njozi? Mbona mnamvunjia heshima Lissu na kumfanya kuwa naye ni mwanasiasa malaya malaya? Hebu omba radhi mbatizaji! Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  13. Chakaza

    Martha Mlata na Mwigulu wamkwamisha RC Serukamba kufanya kazi Singida, nani ataweza sasa?

    Siasa za uswahiba na kupigana majungu zimemfanya Rais amuondoe mkuu wa mkoa Singida Peter Serukamba baada ya kukwama kutimiza majukumu yake huku Rais akitamka hadharani kuwa Serukamba ni mchapa kazi. Wapishi wakuu wa majungu hayo ambayo yametafsiriwa huenda yakawapa wakati mgumu CCM ni...
  14. Chakaza

    Lazaro Nyalandu, Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa awamu ya 5 kwa vitendo

    We jamaa kila nikisoma maandiko yako natetemeka sijui kwa nini? Ila kuna wakati inanijia picha ya Thadei Ole Mushi sijui kwa nini! Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  15. Chakaza

    Ni nani ameruhusu maigizo kama haya Ikulu?

    Ramadhan Kareem plus uongo na utapeli from ofisi kuu! Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  16. Chakaza

    Godbless Lema: Rais Samia na Makamba wanatafuta mbinu za kumbebesha lawama hayati Magufuli

    Kwenye hili naona umekubali. Maana hii thread ni ya muda mrefu, lakini mwisho umeona kuwa Lema ni nabii maana yote haya kayatabiri Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  17. Chakaza

    Kama anakubalika huko ndani, mbona mnatumia nguvu kubwa kabla ya wakati?

    Halafu kweli ulevi sio beer na Konyagi tuu, hata madaraka! Yaani pamoja na vilio vya huku na kule mtu haoni hadi kufikia watu wanakukebehi na kuliita majina yote "mama wa shoka" , "jemedari" na sasa wamempa jina lingine "Championi" anachekelea na kuona yuko juu badala ya kushtuka! Nimekumbuka...
  18. Chakaza

    Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, Mzee Maganda ametoweka, haijulikani aliko

    Usikute bw. 7ya ndio amepewa kuongoza hiyo idara na karudi Hai kwa waliokuwa wamemtenga kuanza nao Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  19. Chakaza

    Tazama video hii uone Dkt. Tulia anavyomimina maelfu ya vitabu kwa wanafunzi jijini Mbeya

    Nilichogundua huna kazi ya kufanya ndio maana unao muda wa kuandika magazeti marefu ya sifa tuu. Kisha kwa vile unaweka namba ya simu unatumiwa vijisenti vya kujikimu. Njia ya hovyo sana kijana kujikimu maana inapelekea wengi katika kundi la [emoji304]
  20. Chakaza

    Mahojiano ya Godbless Lema na Clouds FM yamehairishwa

    Lakini dharula jambo la kawaida ila somo limeeleweka kwamba Watanzania huwa wana hamu kubwa kuwasikiliza hawa wasio ogopa kuikosoa serikali. Leo kuanzia saa 12 asubuhi watu wengi wali tune Clouds FM ili wamsikie Lema, kuliko hata ingetangazwa Majaliwa au Makamba atakuwepo hapo. Sent from my...
Back
Top Bottom