Search results

  1. analysti

    TTCL Dodoma mnaihujumu Serikali na kukwamisha maendeleo ya wananchi

    Habari ya leo wadau. Leo nina kilio juu ya kampuni yetu ya TTCL. Kwa kipindi kirefu kampuni hii imeshindwa kabisa kushindana na makampuni binafsi yanayotoa huduma ya mawasiliano. Kushindwa huku binafsi nilitarajia waliopewa wajibu wa kuliongoza na kusimamia uendeshaji wake wangekuwa wabunifu na...
  2. analysti

    Open University of Tanzania (OUT): Tangazo lenu kwa ajili ya wanafunzi wapya, halifunguki

    Naomba ujumbe huu uwafikie Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ambao wameweka Tangazo kwenye tovuti yao kwa ajili ya wanafunzi wapya, lakini tangazo hilo halipakuliki (Undownloadable). Hii ni hata baada ya kutumia browsers tofauti tofauti. Tunaomba wafanyie kazi ili wanafunzi wapya wapate kujua ni...
  3. analysti

    Admission Letters + Joining Instructions - UDSM

    Wakuu, habari za majukumu. Naomba kujuzwa, UDSM wanatoa lini admission letters na Joining Instructions, maana siku zinazidi kusonga wazazi hatujui ni nini kinahitajika mpaka sasa.
  4. analysti

    Gharama za SIMBanking CRDB

    Habari wakuu, Mimi ni mteja wa CRDB wa kipindi kirefu na nimekuwa nikitumia huduma za SimBanking kama zinavyotangazwa kwenye vyombo mbali mbali vya habari. Lakini, kwa bahati mbaya au kwa makusudi CRDB wamekuwa wazito kuweka wazi gharama ziambatanazo na hizi huduma na imekuwa vigumu kuzipata...
  5. analysti

    Rais, wana Dodoma tunaomba utuletee mkuu wa mkoa kijana

    Mheshimiwa Raisi, kwa heshima na taadhima sikupangii bali ninakuomba utuletee mkuu wa mkoa kijana hapa Dodoma ili aweze kuendana na kasi ya kuubadilisha mkoa wa Dodoma kuwa makao makuu. Mheshimiwa Rais, ni dhahiri kabisa kwamba kwa mkoa kama Dodoma ambao ndio unatakiwa kubadilika kimuonekano na...
  6. analysti

    Mkurugenzi Jiji Dodoma, mdhibiti ndugu Maneno kwa uharibifu wa barabara ya kutoka CBE

    Kwa kipindi kirefu mfanya biashara huyu anaejihusisha na biashara ya usafirishaji amekuwa ndio chanzo cha kuiharibu barabara inayotokea CBE kuja kuzunguka nyuma ya chuo cha veta. Malori ya huyu ndugu, yakiwa na mizigo mizigo yamekuwa ni chanzo kikuu cha kuharibu barabara hii kwa kipindi kirefu...
  7. analysti

    Ushauri juu ya Toyota Prado

    Habari wakuu, Nafikiria kuchukua Toyota landcr prado kama aina inayoonekana kwenye picha hapo chini. Naomba mnipe taarifa zake juu ya ulaji wa mafuta na uimara kwake kwa ujumla.
  8. analysti

    Baadhi ya Viongozi wa ACT Wazalendo wahamia CCM

    Yumo katibu wa ACT wazalendo mkoa wa Dar es salaam. -> Wanawatangazia uma juu ya hali mbaya ya chama chao kilichoibuka na matumaini mapya kama chama mbadala wakati wa kuanzishwa kwake. -> Watu wengi walisema hiki ndicho kitakachokuja kuwa chama bora cha siasa -> Chama kilijinasibu kwa misingi...
  9. analysti

    TCRA Mtandao wa Vodacom unamawasiliano mabovu, tunaomba muingilie kati.

    Nimekuwa ni mteja na mtumiaji wa mtandao wa Vodacom (Data na Simu) kwa miaka mingi sasa. Kwa kipindi cha kuanzia mwishoni mwa mwaka jana mpaka hivi sasa mawasiliano kupitia mtandao wa vodacom limekuwa ni suala la kubahatisha. Ni jambo la kawaida ukampigia mtu ukaambiwa hapatikani ilhali yupo...
  10. analysti

    Gazeti la Upendo lapotosha juu ya taarifa ya mkemia mkuu kuhusu matokeo ya vipimo vya DNA

    Habari wanajukwaa, Mimi ni msomaji wa gazeti la kila jumapili la upendo. Kimsingi ni shuhuda wa uwelewa mdogo sana juu ya mambo mbali mbali ya kwenye jamii ulio ndani ya waandishi wa hili gazeti. Kimsingi nimekuwa nikinunua hili gazeti kama sehemu ya sadaka tuu kwakuwa hakuna kitu cha maana...
  11. analysti

    Wazazi/Walezi/Wanafunzi, zingatia hili unapochagua/confirm chuo cha kwenda kusoma

    Wanabodi poleni na majukumu. Nafahamu kipindi hiki ni kipindi ambacho udahili ktk vyuo mbali mbali unafanyika. Kutokana na mchakato wa udahili kuwa tofauti mwaka huu, kumekuwa na matukio ya mtu kudahiliwa zaidi ya chuo kimoja na kutakiwa kuthibitisha kukubali admission ya chuo atakachopenda...
  12. analysti

    Wazazi/Walezi/Wanafunzi, zingatia hili unapochagua/confirm chuo cha kwenda kusoma

    Wanabodi poleni na majukumu. Nafahamu kipindi hiki ni kipindi ambacho udahili ktk vyuo mbali mbali unafanyika. Kutokana na mchakato wa udahili kuwa tofauti mwaka huu, kumekuwa na matukio ya mtu kudahiliwa zaidi ya chuo kimoja na kutakiwa kuthibitisha kukubali admission ya chuo atakachopenda...
  13. analysti

    Kimini hiki msoma magezi star tv leo, ni hatari sana

    Naangalia kipindi cha habari kutoka magazetini star Tv, kuna huyu dada anaesoma hizo habari hicho kimini alichokivaa na huo mguu slionao vinatufanya tushindwe kuzingatia habari. Mguu ni hatari kabisa, sidhani kama umewahi kumuacha mtu salama ule!!!
  14. analysti

    Tahadhari:Watanzania mjihadhari na huyu bwana anaejitangaza kuunganisha watu kusoma Ulaya na Amerika

    Kuna huyu bwana alikuwa akihojiwa na ITV asubuhi ya leo tar 23 July akijitangaza kuwa ana taasisi inayojihusisha na kuunganisha watu kusoma katika nchi za ulaya na amerika. Nimemsikiliza kwa umakini jinsi anavyoongea na taarifa anazozitoa nimebaini kuwa huyu mtu ni tapeli. Anadai anakaribisha...
  15. analysti

    Huyu ofisa wa udahili TCU, Fabian Mahundu anapotosha umma kwa maslahi ya nani?

    Jana nilimsikiliza ofisa mwingine wa TCU akiongea ITV, na leo yupo huyu anaitwa Fabian Mahundu. Ukiwasikiliza hawa maofisa maongezi yao yanaonesha kuwa, tunahama kwenye mfumo wa udahili uliokuwa bora, wenye ufanisi mkubwa na madhubuti, na tunahamia kwenye mfumo ambao ni crude, inefficient na...
  16. analysti

    Selection za wanafunzi Law school of TZ-2017

    Habari zenu wakuu, nimeona kwenye website ya Law school of Tanzania kuwa wameshaselect wanafunzi kwa ajili ya intake za April na August 2017. Lakini nafikiri kutokana na heavy traffic muda huu kwenye website yao, imekuwa ni ngumu kuweza kuzipakua hizo documents. Naomba kwa yeyote aliyeweza...
  17. analysti

    CRDB, ni lini mtaanza tena kutoa mikopo?

    Mimi ni mdau wa bank ya CRDB, ni kwa kipindi cha zaidi ya miezi mitatu (3) sasa hii bank ilisitisha utoaji wa huduma ya mikopo binafsi kwa kipindi kisichojulikana. Hii imeleta kero kubwa kwetu sisi wateja tunaofanya biashara na bank hii iliyokuwa bank bora kabisa hapa Tanzania. Mbaya zaidi hata...
  18. analysti

    Mali za watumishi wa umma zikaguliwe kubaini wahujumu wa mali ya umma

    Kwa kipindi kirefu tumeshuhudia namna baadhi ya watu waliokuwa wamepewa dhamana ya kusimamia mali za umma/Sheria walivyokuwa wakitumia nafasi zao kujilimbikizia mali bila kushiba. Tumeshuhudia watumishi kama traffic police baadhi yao wakiwa na mali ambazo hazilingani na mishahara yao huku...
  19. analysti

    Nawezaje Kununua gazeti kupitia M-Paper Android app?

    Habari wadau, nimekuwa nikijaribu kununua gazeti kupitia android app ya M-paper bila mafanikio. Nilitop up account yangu na ku subscribe kwa daily bundle lakini bado napata meseji ya kwamba sina pesa ya kutosha kwenye account yangu. Naomba msaada kwa mwenye ufahamu
  20. analysti

    Mamlaka ya Maji Safi na Taka Dodoma (DUWASA) Itakwamisha Uhamishiaji wa serikali Dodoma

    Kwa kipindi kirefu Mamlaka ya Maji safi na Maji Taka Dodoma(DUWASA) wamekuwa wakifanya kazi bila kuzingatia kuwa mteja anaepata huduma ya maji ndio chanzo chao cha mapato. Hii ni kutokana na ukweli kuwa limekuwa ni jambo la kawaida Dodoma, maji kukatika either kila inapofika asubuhi, au jioni...
Back
Top Bottom