Search results

  1. analysti

    TTCL Dodoma mnaihujumu Serikali na kukwamisha maendeleo ya wananchi

    Habari ya leo wadau. Leo nina kilio juu ya kampuni yetu ya TTCL. Kwa kipindi kirefu kampuni hii imeshindwa kabisa kushindana na makampuni binafsi yanayotoa huduma ya mawasiliano. Kushindwa huku binafsi nilitarajia waliopewa wajibu wa kuliongoza na kusimamia uendeshaji wake wangekuwa wabunifu na...
  2. analysti

    Wafanyabiashara wengi siku hizi hawatoi risiti

    Acha umbea, fanya biashara nawewe unufaike na hiyo Laissez-faire.....
  3. analysti

    Barua ya kuappeal matokeo chuo kikuu inaandikwaje?

    Kama hufahamu hilo, jua kwamba umefeli kweli na huna sababu ya kuappeal, utaumbuka!
  4. analysti

    Open University of Tanzania (OUT): Tangazo lenu kwa ajili ya wanafunzi wapya, halifunguki

    Naomba ujumbe huu uwafikie Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ambao wameweka Tangazo kwenye tovuti yao kwa ajili ya wanafunzi wapya, lakini tangazo hilo halipakuliki (Undownloadable). Hii ni hata baada ya kutumia browsers tofauti tofauti. Tunaomba wafanyie kazi ili wanafunzi wapya wapate kujua ni...
  5. analysti

    Admission Letters + Joining Instructions - UDSM

    Wakuu, habari za majukumu. Naomba kujuzwa, UDSM wanatoa lini admission letters na Joining Instructions, maana siku zinazidi kusonga wazazi hatujui ni nini kinahitajika mpaka sasa.
  6. analysti

    Gharama za SIMBanking CRDB

    Nashukuru sana wakuu, nimepata muongozo na nimegundua ni kwa nini CRDB wanapigia chapuo sana SIMBanking na ikifika mwisho wa mwezi wanahakikisha ATM nyingi hazina pesa ili watu watumie simu na hivyo kukusanya mavuno ya kutosha.
  7. analysti

    Gharama za SIMBanking CRDB

    Habari wakuu, Mimi ni mteja wa CRDB wa kipindi kirefu na nimekuwa nikitumia huduma za SimBanking kama zinavyotangazwa kwenye vyombo mbali mbali vya habari. Lakini, kwa bahati mbaya au kwa makusudi CRDB wamekuwa wazito kuweka wazi gharama ziambatanazo na hizi huduma na imekuwa vigumu kuzipata...
  8. analysti

    Rais, wana Dodoma tunaomba utuletee mkuu wa mkoa kijana

    Mheshimiwa Raisi, kwa heshima na taadhima sikupangii bali ninakuomba utuletee mkuu wa mkoa kijana hapa Dodoma ili aweze kuendana na kasi ya kuubadilisha mkoa wa Dodoma kuwa makao makuu. Mheshimiwa Rais, ni dhahiri kabisa kwamba kwa mkoa kama Dodoma ambao ndio unatakiwa kubadilika kimuonekano na...
  9. analysti

    UDOM: Watumishi wengine 50 wahamishwa

    Mwandishi wa habari hii ni mpika majungu mkubwa! Suala la reshuffle UDOM siyo geni hapa UDOM, ni karibu kila mwaka mmoja huwa kunafanyika reshuffle! Shida ni kwamba kuna watu mlikuwa mmeshajiaminisha kwamba hamuwezi kuhamishwa kutoka central administration kwenda knye colleges!. Ushauri wangu...
  10. analysti

    TANZIA: Wakili Shukuru Mlwafu afariki dunia. Alikuwa Mkufunzi UDOM

    Wakili Mlwafu, alikuwa ni miongoni mwamawakili waliofungua kesi kupinga serikali kutaka Jamii media itoe taarifa za wanachama wake Jamii forums
  11. analysti

    TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Fanyieni kazimasuala ya msingi ambayo yamekwishazungumzwa na watu. Lakini kusisitizia tuu, jitahidini kuwapangia shughuli nyingine hao watangazaji wazee. Watangazaji hawana mvuto kabisa kuwaangalia, mwingine unakuta anaongea huku povu likimtoka kwa sababu ya utu uzima!!. Kama walivyozungumza...
  12. analysti

    Mkurugenzi Jiji Dodoma, mdhibiti ndugu Maneno kwa uharibifu wa barabara ya kutoka CBE

    Kwa kipindi kirefu mfanya biashara huyu anaejihusisha na biashara ya usafirishaji amekuwa ndio chanzo cha kuiharibu barabara inayotokea CBE kuja kuzunguka nyuma ya chuo cha veta. Malori ya huyu ndugu, yakiwa na mizigo mizigo yamekuwa ni chanzo kikuu cha kuharibu barabara hii kwa kipindi kirefu...
  13. analysti

    Ushauri juu ya Toyota Prado

    Habari wakuu, Nafikiria kuchukua Toyota landcr prado kama aina inayoonekana kwenye picha hapo chini. Naomba mnipe taarifa zake juu ya ulaji wa mafuta na uimara kwake kwa ujumla.
  14. analysti

    Mkurugenzi Dodoma mji umemshinda kweupe

    Nyie Makondakta acheni fitna zisizokuwa na maana! Miongoni mwa Wakurugenzi ambao wanafanya Kazi nzuri ni pamoja na ndugu Kunambi. Kunambi kwa kiasi kikubwa ameweza kuficha mapungufu na udhaifu mkubwa walionao Mkuu wa mkoa wa Dodoma na Mkuu wa wilaya. Kijana ni mchapa kazi na ni mbunifu, japo...
  15. analysti

    Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    ni haki zipi ambazo jamii imenyimwa? you as an individual umenyimwa nini na serikali hii au una parrot tuu!!
  16. analysti

    Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Msitake kutuharibia nchi! hamjui ni kina nani walionyuma ya hicho mnachokiita maandamano ya wananchi. Kuna watu wanataka kuwatanguliza wananchi kwa interests zao wao wenyewe!. Huu ni upuuzi mkubwa... Hakika serikali inakila sababu ya kuilinda amani na utulivu tulionao kwa gharama yoyote ile...
  17. analysti

    Wakenya na program yao ya chuchilshow.

    Fanya utafiti wa kutosha kabla hujaamdika kitunchochote chenye reference. Bandiko lako linaku expose kuwa hukifahamu vozuri hicho kipindi na pengine umeona leo kwa mara ya kwanza. Hiyo ni show ya stand up comedy inayofanywa chini ya uongozi wa churchil ambae nae ni comedian. Kipindi hicho...
  18. analysti

    Msaada: Namna ya kuepuka SMS hizi toka tigo, TCRA mpo kimya

    Inasikitisha sana, TCRA imekaa kimya wakati watu tunanyanyaswa na hii mitandao, binafsi sijawahi kucheza biko wala tatu mzuka hata siku moja, lakini kutwa natumiwa mimeseji inayonihamasisha kucheza biko, kweli huwa nakerwa sana, tena sana. Nakumbuka TCRA walitoa agizo mitandao ya simu kutotumia...
  19. analysti

    Baadhi ya Viongozi wa ACT Wazalendo wahamia CCM

    Yumo katibu wa ACT wazalendo mkoa wa Dar es salaam. -> Wanawatangazia uma juu ya hali mbaya ya chama chao kilichoibuka na matumaini mapya kama chama mbadala wakati wa kuanzishwa kwake. -> Watu wengi walisema hiki ndicho kitakachokuja kuwa chama bora cha siasa -> Chama kilijinasibu kwa misingi...
  20. analysti

    Maelezo muhimu kuhusu chanjo ya mdondo/kideri (Newcastle)

    Mdondo ndio kideri na ndio New castle d'se
Back
Top Bottom