MIMI NAKUSHAURI MPIGIE SIMU MUULIZE NINI SABABU a sipo ku jibu mwambie nimelipot police
Police huwa wakichukua namba wana link na kampun ya simu Kama tigo voda wakifika voda au tigo wao wana deal na ile simu namba zilizopigwa kwingineko anakamatwa mtu mwingine anawekwa ndani then jamaa...
Big up Commando Huna makuu mama we na mume wako tu Kama kumbikumbi I like that sio wanaohongwa Magari Kama wema,shilole,wolper,uwoya wanapewa Magari Hayana KADI au diamond anapiga Picha huku anaficha plate NAMBA MWISHO wa siku kumbe gari ya CHIEF KIUMBE
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.