Search results

  1. D

    Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

    wewe acha ubaguzi,huo ndo nyerere aliita ukaburu,na sidhan kama kila ulichosema na sahihi,ni utashi wako,hata hivyo hao wanajua mitaa ya kariokoo wamefanya nini hadi sasa(unawajua)
  2. D

    Dodoma: Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dodoma - Nov 4, 2014

    sasa mbona anapoteza Muda haongei mambo muhimu
  3. D

    Picha: Mwanasheria mkuu atoa taarifa kwenye vyombo vya habari

    sasa wao ccm si walikuwa wanaendelea kana kwamba wataweza bila ukawa..zege wamelikoroga lazima walinywe
  4. D

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    :lying: :smile-big: :lying:
  5. D

    Tuhuma za Ughaidi, CCM tusipuuzie

    video ipi nape anayo wadau?
  6. D

    Pinda: Bomu lilikuwa la Kijeshi na lilitengenezwa China

    Waziri mkuu Mizengo Pinda amesema bomu lililolipuka katika mkutano wa kufunga kampeni za udiwani za CHADEMA tarehe 15 june lilitengenezwa China na ni bomu linalotumiwa kijeshi.Aliyasema hayo kwenye hospitali ya Sellian baada ya kuwajulia hali majeruhi.
  7. D

    Pinda: Bomu lilikuwa la Kijeshi na lilitengenezwa China

    sidhani kama ni kukurupuka,alichosema pinda ni uchunguzi wa bomu hilo,naomba niseme nilikuwa mmoja wa wanainchi tuliopata nafasi ya kuhudhuria mkutano huo,hizi ni habari za kweli na nimesikia kwa masikio yangu,kama bado uamini subiri vyombo vingine vya habari vitaripoti tuu
  8. D

    Pinda: Bomu lilikuwa la Kijeshi na lilitengenezwa China

    waziri mkuu mizengo pinda amesema uchunguzi wa awali wa bomu lililoripuka kwenye mkutano wa chadema juni 15 limetengenezwa China na ni la kijeshi,vyombo vya usalama vinaendelea na uchunguzi.ameyasema hayo kwenye hospital ya sellian baada ya kuonana na majeruhi
  9. D

    Benjamin Mkapa: Nashuhudia mambo ya ajabu baada ya uongozi wangu!

    ni kauli gan,tujuze na wengine tuweze kuichambua
  10. D

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa,sharti miili hii iliyojaa uharibifu ife alufu tuvae miili ya roho..kwa hiyo miili ya roho hakuna kuoa wala kuolewa
  11. D

    Police ndio wanaoanzisha Vurugu kariakoo.

    Yesu akajibu,akamwambia amin amin,nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili hawezi kuuona ufalme wa Mungu..(yohana 3:3),..Yesu akajibu amin amin nakuambia,Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho hawezi kuingia ufalme wa Mungu,(yohana 3:5)
  12. D

    Shule za Waislam Dar kufungwa wanafunzi waende kusikiliza kesi ya Sheikh Ponda!

    pole,tofauti ni hii.... Basi tuseme nini juu ya hayo?Mungu akiwapo upande wetu ni nani aliye juu yetu,yeye asiyemwachilia Mwana wake mwenyewe bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote,atakosaje kutukirimia na mambo yote pamoja naye. (warumi 8:31-32,)....na warumi 8:37 inasema,Lakini katika mambo...
  13. D

    Shule za Waislam Dar kufungwa wanafunzi waende kusikiliza kesi ya Sheikh Ponda!

    nakuonea huruma,i fil sorry for u and people like u,baada ya hayo unayoyasema kufanya utaenda peponi?pepo ipi?so sorry for u
  14. D

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    mtanzania mwenzangu chama,hata mod ikifutwa mtakuja na mengine waislam wa aina yako..serikali kwa sasa haiwez kukubal mod ivunje kwani kuna vijiji vnategemea hizo za mod,ila kwa ushauri kwani waislam wa aina yako wanaolalamikia mod ya serikali na kanisa wao wameshindwa kuwa na mod na...
  15. D

    Gwajima aishauri Serikali kumkamata Ahmed Msangi

    Things fall apart...the centre can't hold anymore.
  16. D

    Gwajima aishauri Serikali kumkamata Ahmed Msangi

    Duuh,na hii movie ndo kwanza ni trela,bado haijaanza...lol.!
  17. D

    Waliotumwa kumuua Dr. Ulimboka wapata PIGO Afrika Kusini

    silly you,unafikiri hizo tacticts za ku terrorize watu zitafanya kazi,historia inatumbia time and time again hizo mbinu zinashindwa..mtu akiamua kutetea haki,hasa msomi anajua gharama yake.silly,mandela had many chances 2 accept defeat by accepting money kutoka kwa makaburu lakini hakufanya...
Back
Top Bottom