Search results

  1. PETER TEMU

    Kauli za watu mtaani juu ya CCM

    Ndio mwisho wa matope ya chadomos
  2. PETER TEMU

    Pole January Makamba

    Haya ni yaleyale.50 umechukua, hotel, chakula, usafiri umeshiriki na kukaa na January akaeleza yake ukasikiliza na hukumuuluza maswali.umemaliza 50 maswali unakuja uliza kwenye Jf wengine hata 10 hatujaona.wewe koma bana hukohuko.
  3. PETER TEMU

    wachaga mbona mnawalazimisha dada zetu mliowaoa kunywa damu

    Kumbe wewe ni taarifa ya kusikia kutoka kwa dadio? Je na ile habari ingine ya yeye na shemeji yako ashawahi kukusimulia mapigo? Na sio kweli kwamba amekunywa damu, alichokunywa yeye ni KISUSIO ambacho ni mchanganyiko wa SUPU YA NYAMA na DAMU.Mchele ulipikwa unaitwa je?
  4. PETER TEMU

    Natafuta mume

    Wasiiliana na 0784 364966
  5. PETER TEMU

    Kaseja alisababisha Yanga waingie mitini 2008

    Batalokota benyewe ku nyavu
  6. PETER TEMU

    Manji nilaumiwe mimi "kwa kutonunua mechi na hivyo kufungwa na Simba"

    Juma Kaseja anapokuwa na ubora na heshima kubwa kuliko Mzee Akilimali baba umeliona hilo.wewe baba piga kelele tu lakini ikishakubali kuwa kibaraka wa tajiri Manji hayo ndio matokeo. Wasalam Mzee Akilimali
  7. PETER TEMU

    Wafuasi wa Zitto Kabwe v/s wafuasi wa Godbless Lema

    Huwezi linganisha ZZK NA LEMA hizo takwimu za matokeo ya kura hazina mashiko.Waligombea sehemu tofauti.
  8. PETER TEMU

    James Kisaka Hatunaye

    R.I.P.rafiki yangu JAMES KISAKA nitakukumbuka daima kwa ushauri wa hekima wakati tulipofanya kazi wote AFC (NDOVU), DULUTI S.CLUB.Mungu aipumzishe roho yako mahali pa amani.Amen!
  9. PETER TEMU

    Chama kipi unakipenda zaidi Kati ya CCM na CHADEMA?

    Tanzania bila CCM Haiwezekani
  10. PETER TEMU

    Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

    Kabila lako.eeh sasa imekusaidia nini?
  11. PETER TEMU

    Yanga yamtimua kocha wake Ernie Brandts

    Hundi ya 100 M.Aliyokabidhiwa Joseph Itangare ilikuwa ni ya nini? Kama SIMBA hakupata hizo M.100?
  12. PETER TEMU

    EL katika Mkakati mzito wa Kuidhofisha CHADEMA

    Binadamu anazungumzia afya ya binadamu mwenzake wakati yake haijui.unamnyoshea EL kidole kimoja vinne vimekugeukia wewe.
  13. PETER TEMU

    Dr.Slaa: Zitto anaweza kufukuzwa kabisa

    BABU wewe tulia tu hio ya ZZK ni trela Subiri picha kamili hio ndio habari ya mujini! Jiandae kurudi KARATU huo UKATIBU MKUU Unauachia siku si nyingi.
  14. PETER TEMU

    Lowassa afunika dar

    Akili ni nywele kila mtu anazake.hayo ndio mawazo yako.
  15. PETER TEMU

    Mikutano ya Zitto na Dr Slaa - Zitto apata mamia, Slaa apata makumi

    ZZK usikubali mpaka kieleweke CDM ni taasii ya watu sio ya mtu na demokrasia lazima ipatikane ndani ya CDM na wewe ndie utakaeeletea democracy ya kweli CDM
  16. PETER TEMU

    Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

    Kama unashauri Lowasa apewe Wizara ni bora arudishwe kwenye UWAZIRI MKUU serikali itasimama.
  17. PETER TEMU

    Juma Kaseja leo taifa!

    Hizo ndio faida za kukimbilia kusajili wachezaji kutoka Simba. Viongozi wa YANGA wabadilike aina ya usajili wanaofanya wanafikiri wanaikomoa SIMBA kumbe wanajikomoa.na bado!
  18. PETER TEMU

    Poleni sana yanga kwani hamuijui ccm!!!!

    Ilikuwa ni Wabunge wote wapenzi wa YANGA haikuwa wa CCM pekee yao.ina maana huko CDM, CUF, NCCR, TLP hakuna Wabunge ambao ni Yanga?
Back
Top Bottom