Search results

  1. K

    Kura mtandaoni kuamua muundo wa serikali

    serikali 3
  2. K

    Makampuni gani ya Real Estate yanafanya vizuri kwenye biashara hapa Dar?

    Knight Frank, Abla, GIMCIO Africa, Whiteknights, Majengo Estate Developers, property Market Consult, Pioneer, etc
  3. K

    Regia Mtema is No More!

    Poleni sana Chadema na familia ya dada mpiganaji. RIP Regia
  4. K

    Kikwete azungumza na wazee wa Dar; ajiandaa kwa mgongano na TUCTA

    Mimi nadhani serikali ingeogopa zaidi mgomo wa kimya kimya ambao lazima tukubali kuwa upo na umekuwa ukiendelea kwa miaka yote kufuatia mishahara na maslahi duni. Hospitali manesi hawashtuki kwa lolote; maofisi ya serikali ni story tu na kunywa chai barua ya mistari miwili inabidi usotee hata...
  5. K

    Nehemia Mchechu- Bosi Mkuu Shirika la Nyumba Tanzania [NHC]

    Nampongeza sana Kyando. Lakini najiuliza hivi kijana huyu na hao old dogs kwenye board itakuwaje? Tatizo kubwa la wazee na wazee vijana ni kuwa wanaogopa sana mambo mapya. Kyando una kazi lakini nakuaminia.
  6. K

    Eneo alipotema mate mwana-ubalozi limeanza kutengenezwa

    hahaha! tutapata wapi wa Canada wengi wa kutema mate hayo!!!
  7. K

    sumu ya ndoa ni ...

    sumu ya ndoa ni kushirikisha familia katika kuendesha maisha ya wanandoa
Back
Top Bottom