Search results

  1. M

    Kuna mtu kaniuliza hili swali jamani, anataka msaada wa Mawazo yenu. Maji yamemfika shingon

    mie nampeleka kwa babu Loliondo maana atakuwa kaugua kaugonjwa sugu
  2. M

    Elections 2010 Dr. Slaa alazwa kwa matibabu

    Pole sana Dokta, upone haraka saana!
  3. M

    Wapwazz na Binamuz duniani kote!

    Hongera Mr G and Mrs. Mungu awatangulie katika familia yenu
  4. M

    Mheshimiwa Zitto Kabwe

    Okay, Mmakonde kumbe ishu yako ni ubora wa chuo anachosoma na sio walakini juu ya uwezo wake kulipia hiyo gharama? kama ndivo basi yaonyesha unamwonea huruma na hilo ni jema nsa bila shaka una data kamili za ubora wa chuo hicho maana upo huko pia. lakini pia sio lazima serikali imlipie kuna...
  5. M

    Mheshimiwa Zitto Kabwe

    DAta zako hazina uzito ku justfy ufisadi wake, ww unaona hiyo ada ni sababu ya kuwa fisadi? watanzania wengi wanasoma ughaibuni lakini sio kuwa wanajilipia! bring more data to justfy your statemnt, otherwise una yako binafsi
  6. M

    Natafuta Mchumba/mume

    [/B][/COLOR] Na hii imekaaje wajameni? inawezekana tunazugana kumbe watu wana update data zao? na huenda sasa data zipo based kwenye hizo sifa, mweeee! hivo wameona wanaume ni target kwa sasa. Fidel weka angalizo juu ya hilo. Abdul katahadharisha hapa you never know!:rolleyes:
  7. M

    waziri Mpenda ngono

    Jitu, hizo ninyumba ndogo , na kama unavoona wengi wetu hapa JF wanasupport nyumba ndogo kwa hiyo huyo waziri unaye msema hana tofauti na wengi.
  8. M

    waziri Mpenda ngono

    kwa hiyo? unataka wanajamii tufanye nn? mbona kule Bondeni ni halali?
  9. M

    Katiba ibadilishwe? Kikwete awe Rais wa Maisha!

    the red one sinks deep! good point Juma!
  10. M

    Hivi ni kwanini ina kuwa hivyo??

    Huenda hii ni kati ya sababu zake: kuna kitu inaitwa kanuni ya mvutano ( law of attraction) katika hii sheria ni kwamba kila unachokiwaza ndio hutokea, maana unapowaza unatoa signal ambazo huenda katika dunia ambayo kutokana na sheria hiyo, dunia hujiadjust ili kutekeleza zile siginal...
  11. M

    UNSERIOUSNESS IN RELATIONS!....i hate it lots

    katika ile 30% mimi nipo pia, one of the most serious MAN come sun come rain. my wife is a place where I will always get relief and not otherwise. UPENDO tuu ndio Dawa yake, Kila la kheri G!, ningekuwa mitaa hiyo ningehudhuria tukio lako la kupata mweza, Mungu akutangulie bro1
  12. M

    Habari za Kusikitisha

    Poleni saana wafiwa, RIP
  13. M

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Mkuu unajuaje hiyo wanayodai kumkuta nayo ndiyo hiyo unayojua anamiliki kihalali? Mh! watakuwa wamembambikiza tuuuu! Lol!
  14. M

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Mkuu unajuaje hiyo wanayodai kumkuta nayo ndiyo hiyo unayojua anamiliki kihalali? Mh! watakuwa wamembambikiza tuuuu! Lol!
  15. M

    Video: Kova azungumzia sakata la Jerry Muro

    Mkuu unajuaje hiyo wanayodai kumkuta nayo ndiyo hiyo unayojua anamiliki kihalali? Mh! watakuwa wamembambikiza tuuuu! Lol!
Back
Top Bottom