Search results

  1. Z

    Elections 2010 Kapi la CCM (Dr Slaa) lilivyobadili siasa za upinzani Tanzania

    nimeamini kuna watu hawanazo na wanadhani wanazo, bro au mama au shemeji , kuwa uyaone, we m2 gani usiyependa mabadiliko? ccm imechakaa 2nataka vifaa vipya , kama una dau kutoka huko kipindi hiki mtatutambua¨! kula hamtatuibia kama vipi mfano wa Kenya tunao. mwelezeni wazi huyo jamaa wenu that...
  2. Z

    Sio kila ombaomba anahitaji msaada- be careful

    Usalama ni kuwa na Mwokozi ndani ya mioyo yetu, yeye yuko juu ya mashetani. Ukimwamini Kristo Yesu, shetani hawezi kukufanya chochote, na kama Mungu akiruhusu shetani akuguse basi ujue ni kwa ajili ya maepenzi yake, ila mwisho wa yote kuna uzima wa milele. Huyo dada kupotea, ni sawa na vile...
  3. Z

    Engineers wa St. Joseph College na GPA kubwa kubwa

    GPA kubwa ina maana kwa sehemu, kama ningepata GPA ndogo sana wakati niko SUA, ingekuwa vigumu kupata Scholarship,lakini pia kabla ya kupata scholarship nilipimwa katika vigezo vingi(nilikuwa na GPA3.7/5). Kuna watu hawawezi kujieleza vizuri, lakini ukimpa kazi, atafanya kwa bidii na kwa...
  4. Z

    Siku hizi ndoa hadi mimba, mimba ndo kigezo cha kuoana?

    Ndugu zangu, Katika bibilia, Mathayo 5:27-28 Yesu mwenyewe anasema, ,Mmesikia walivyowafundisha watu wa zamani kwamba, `Usi zini'. Lakini mimi nawaambia: ye yote atakayemwangalia mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. Pia ukisoma Wakorintho 6:16 (Hamjui kwamba mtu...
  5. Z

    Church burned in Algeria

    Ndugu zangu, Huu sio wakati wa kuwalaumu waislamu au mtu yeyote,(Yesu anasema muwapende adui zenu na muwaombee, Mungu ndie mwenye hukumu ya haki) mwenye macho na atambue ya kuwa, Mwana wa Adamu yu karibu kurudi, huu ni muda wa kutubu, kusali, na kuomba neema kwa Mungu. Na yeyote atakaeliitia...
  6. Z

    Watanzania uuuwi! uuuwi! uuwi!

    Mimi naiombea nchi yangu kila siku, I hope One day God will have mercy on us. Wapo walioandaliwa kuyatoa maisha yao kwa ajili ya wengi kama akina hayati Sokoine, na wengine, lakini wengine tutaendelea kumuomba Mungu, iko siku pande zote zitasimama, watoto kwa wakubwa,masikini, wajane...
  7. Z

    Nini Cha kujifunza toka kwenye Picha hii?

    I like this comment, tumuombee rais wetu, tuiombee nchi yetu, tuwapende viongozi wetu, na kila mtu ajiangalie yeye mwenyewe kabla ya kumnyoshea kidole mwenzake.
  8. Z

    Mchumba wangu kaniambukiza kisonono

    All human beings are weak, not even one is perfect, a good example is from our friend here, before even marriage, already they are in a sexual relationship, it shows how weak and impatient we are(all).Kuhusu matibabu, tayari umepokea msaada na ushauri wa kutosha, mimi niongelee, upande wa pili...
  9. Z

    ITV na kuisafisha Barick-North Mara

    Watanzania wenzangu, Madhara yanayosababishwa na Barrick (chemical seepage), yanaathiri mazingira (maji, viumbe na mimiea) na afya za watu (human health), na yatakuwa ni vizazi na vizazi, hapa swala ni uwajibikaji ili kupunguza athari maana tayari zipo, na sio baadhi ya watu kuja hapa na...
  10. Z

    CCM: Kamati Kuu Kulikoni Tena?

    Dear brothers and sisters, I urge you not to use your precious time to react on a foolish comments, it will tend to demoralize your enthusiasms and motivation to fight against corruption and enemies of our good country. Try to be patient, kuna watu wengine hapa JF kwa makusudi kabisa wanataka...
  11. Z

    Naomba ushauri, Huyu dada ananikosesha usingizi!

    Kituko, inabidi tu nikubali comments zozote ingawa zingine zinakukwa na ukali wa maneno, na pia wakati mwingine unaweza fikiria kuwa ni maswala ya kipumbavu kwako kumbe kwa ndugu yako, anakuwa ameshindwa kabisa anahitaji msaada, hasa katika hili, nilikuwa nimezidiwa sana, lakini kupitia hili...
  12. Z

    Naomba ushauri, Huyu dada ananikosesha usingizi!

    Wow what a wonderful and encouraging words! I'm so grateful! Yes!, kuna mtu alinishauri pia nilinde ujirani mwema, na nimezingatia, unajua wakati mwingie dawa ya moto sio moto, inaweza ikawa kuacha kuchochea kuni, kwa maana ya kuwa sio vizuri kufight against but just by being patient and...
  13. Z

    Naomba ushauri, Huyu dada ananikosesha usingizi!

    Nitajitahidi mkuu, haya yote naamini nitayashinda.
  14. Z

    Naomba ushauri, Huyu dada ananikosesha usingizi!

    Bluray, nashukuru pia, ila nafikiri kutakuwa na alternatives zingine zaidi ya kumkwangua, asante!
  15. Z

    Naomba ushauri, Huyu dada ananikosesha usingizi!

    Mvina, nitajitahidi kulinda ujirani mwema na pia kulinda maadili mema ya Tanzania katika nchi hii huku ugenini, unajua labda nikuambie kuwa, nilipofika hapa chuoni nilipata mapokezi mazuri sana, karibia kila mtu anayehusika na masomo yangu( kuanzia administrators and hata supervisor wangu)...
  16. Z

    Naomba ushauri, Huyu dada ananikosesha usingizi!

    Nashukuru kwa ushauri, ila nilipata nafasi ya kuongea na huyu dada, naamini kutakuwa na amani sasa, na tutaishi vizuri na mwisho kila mtu atapata kile kilichomleta hapa. Tuzidi kuwasiliana ndugu mhache Ni kweli mkuu, ila kiafya niko vizuri tu, ingawa nitajitahidi kusubiri mpaka nitakapo mpata...
  17. Z

    Naomba ushauri, Huyu dada ananikosesha usingizi!

    Kaka hapa nazidi kukuheshimu, asante sana mkuu, nimepata nguvu na moyo wa kuyapitia haya, kwa maneno yako, yameniongezea ujasiri. Miaka miwili sio mingi yatapita haya na mimi nitakuwa nimepata kilichonileta huku. Abdulhalim heshima mkuu.
  18. Z

    Naomba ushauri, Huyu dada ananikosesha usingizi!

    Bwana Abdulhalim Nashukuru sana, ila pia muda si mrefu nimetoka kuongea na huyu dada, na ameahidi kutorudia, na kama hii hali ikiendelea, nitatoa ripoti kwa mwenye nyumba.
  19. Z

    Naomba ushauri, Huyu dada ananikosesha usingizi!

    Nemesis, nimekupata mkuu heshima!
  20. Z

    Naomba ushauri, Huyu dada ananikosesha usingizi!

    Ila sitaki kuchanganya mapenzi ma masomo, nataka kukamilisha lengo ili baadae nirudi kuongeza nguvu katika nchi yangu.
Back
Top Bottom