Search results

  1. A

    Mtanzania mwenye Umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Umesahau kupanuliwa njia ili mzigo upite vizuri
  2. A

    Mtanzania mwenye Umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Msilete dini kwenye madawa, america huko drug mules wote ni wakatoliki, gangs zinazosumbua serikali zao huko wamevaa hadi rozari
  3. A

    Mtanzania mwenye Umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Huyo jamaa yenu kosa kosa ni miaka kumi na wengi jela za ethiopia hasa watu wa madawa hufia huko huko
  4. A

    Mtanzania mwenye Umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Chakula mnauziwa hamna kupewa bure, unatoka saopaul unatua bole, lazima wakudake mapema sana
  5. A

    Benki ya Dunia yasitisha kufadhili mradi wa REGROW. Mradi huo unahusishwa na ukiukaji wa Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Kule ngorongoro wao sio kuvunja haki za binadamu? Kwa nini watu wakalazimishwe kuishi wasikokupenda
  6. A

    Mkuu wa Idara ya Ujasusi ya Jeshi la Israel ajiuzulu

    Mbona wanasema ile drone ilikua zile za picha za Millard Ayo
  7. A

    Mtazamo wangu kwa kinachoendelea huko (Ukraine vs Russia) pia (islael vs parestina,Iran etc). Pamoja na NATO

    Na unafanya uchambuzi ukiwa zako pangani umetulia kimya huna habari, ukitoka hapo unatafuta chai na chapati, unashiba unaweka tena bando unalala kitandani unaanza uchambuzi wa vita,
  8. A

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Wewe ni kesho mkuu utawahi pia,
  9. A

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Mtu una miaka 46 , unakaribia kustaafu unajiita kijana
  10. A

    Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

    Je mwenezi anaeongea kama kajaza mate mdomoni
  11. A

    Dkt. Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali

    Vijana wa ccm wengi wao ni wapuuzi, anaekupinga sio adui mnatofautiana tu mitazamo
  12. A

    Nape, Polepole na Makonda watabaki kuwa Wenezi Bora Kwa miaka mingi

    Wakuu, Hivi mliwahi kushuhudia uenezi wa hao jamaa? Hao alikua akiwa sehemu akiropoka au kuongea la maana mitandao na vyombo vya habari vyote inakua ndio taarifa muhimu. Sasa mwenezi kama makala kweli yaani hata vyombo kureport habari zake wanaona uvivu tu. Hao wenezi Kwa mfano Nape...
  13. A

    Ukimtoa Mzee Kinana Safu ya Sekretariet haikubaliki na hawaijui siasa za wakati huu

    Siasa ni sayansi inayobadilikabadilika kulingana na wakati
  14. A

    Ukimtoa Mzee Kinana Safu ya Sekretariet haikubaliki na hawaijui siasa za wakati huu

    Kweli nchimbi, makala, mongers hawa ndio waijenge ccm!
  15. A

    Ukimtoa Mzee Kinana Safu ya Sekretariet haikubaliki na hawaijui siasa za wakati huu

    Ukweli usemwe, Kuanzia katibu mkuu, Naibu, Mwenezi wanaweza kuwa walifanya vizuri kwenye siasa nyakati zao lakini kwa sasa hapana. Historia inajirudia inanikumbusha Sekretarieti ya Katibu Mkuu Mzee Mkama na hii ya sasa wanafanana sana na hawana tofauti. Hadi sasa CCM imeingia choo cha...
  16. A

    Wanaume wakiacha usaliti kwenye mahusiano, wanawake pia wataacha

    Chanzo cha usaliti ni mwanamke, toka enzi na enzi jaribu kukumbuka mbegu ya usaliti iliopandwa na eva dhidi ya adam na delila dhidi ya samson, ndio maana mwanaume akaaswa aishi na hawa watu Kwa akili sana
Back
Top Bottom