Wadau hii nchi ni yetu sote kwa binaadamu yeyote aliye mtimilifu anaona au kuhisi kitu hali si hali tena, kuna ombwe la uongozi penye ukweli uongo hujitenga,
Hapa tulipo kwa sasa nikama tupo kwenye jahazi na tupo katikati ya bahari na mawimbi ni makubwa pembeni yetu kuna meli kubwa ina...
Natama siku moja serikali itangaze kubinafsisha mlima kilimanjaro tuone kitakachojiri kwa wakaazi wanaozunguka maeneo hayo , tumeona nyamongo, bulhankulu huko.shinyanga, mirerani , longido na kwingineko hembu wajaribu na huku nchi izaliwe upya.
Wanabody rejea kichwa cha habari hapo juu ,tukumbuke kile kipindi cha richmond wakati wa uwakilishi wa ripoti iliyosomwa na Ndugu Harison Mwakyembe akiwa kama mwenyekiti wa bodi au mwanakamati kuna baadhi ya watu ambao alisema katika ile ripoti asingeweza kuwataja kwa majina kutokana na madai...
Ndugu wana jamvi siku hazigandi na kama mjuavyo uchaguzi wa serikali za mitaa umekaribia na siku za kujianndikisha zilizotolewa ni chache sasa mnaweza amini kuna vijiji vingine havina taarifa ya uandikishwaji wa wapiga kura kwenye daftari ? Na sema hivi nikiwa na hakika kwa vile kipindi cha...
Naandika nikishangazwa na jinsi hii nchi viongozi wanavyofurahi kuongoza watu wenye umasikini wa fikra , nasema hivi nikiamini kuwa uvivu ama kutokujua kwa watanzania walio wengi ndio kumetufikisha hapa tulipo leo.
Mfano kwa sasa kuna hili suala linalogusa kila mtu aliye katika nchi hii...
Swali la kwanza nini maana ya tume iliyoundwa kukusanya maoni ya wananchi na kuwapa ili wayaboreshe yale yaliyohitaji la wananchi na wao kuona vifungu vilivyopo baadhi havifai na kuvitoa na kuweka vya kwao? Ina maana tume au maoni ya wananchi yalikuwa hayana maana au ni kushiba madaraka na...
Kwa wale wapenzi wa tamthilia za kiphilipino leo ile tamthilia yetu pendwa ya Be carefull with my Heart ipo hewani japo wameanzia mbali si haba kama haikuhusu we pita na zako.
Ndugu wana bodi hembu kama kuna wakurugenzi wa Tanesco mpo humu mtusaidie watu wanaoishi vijiji vya marangu sembeti, kirefure, mbae na baadhi ya maeneo ya lyamrakana umeme wake ni mdogo sana kuliko wa mshumaa na tumeshudia transifoma zilizopo ni zile za miaka ya 70 na hazijaongezwa nyingine...
Ndugu wanajamvi naandika hivi kutokana na kuibuka kwa tabia mbaya na isiyo ya kistaarabu hasa kwa watoa huduma wa mahospitali,
Kutokana na utandawazi na maadili ya kupungua imetokea tabia ya wahusika eidha kwa kujua wanavunja sheria au kwa makusudi ikitokea mgonjwa labda nitoe mfano kwa yule...
Wandugu nadhani kuna msemo usemwao mwenzio akinyolewa nywele zako tia maji
Najiuliza kwa hali duni hii tuliyokuwa nayo, usafiri wa kubanana kwenye madaladala , hizi asilimia kubwa ya wana dar wanaishi nyumba za kuchangia (za kupanga ) na jinsi ikitokea kitu cha dharura viongozi wanapo...
Ndugu wanajamvi enzi za mwaalimu kulikuwa na stesheni moja ya radio ya taifa ulikuwa ukisikiliza watangazaji wake wakisoma magazeti, salamu au kipindi chochote lafudhi zao zilikuwa nzuri na kulikuwa na maadili ya kazi , lakini kutokana na utandawazi kuwaka na media nyingi na vituo vya redio...
Ndugu leo nimesoma kwa uchungu habari za wale watoto pacha waliotenganishwa mmoja wao utumbo wake kutoka nje na kusababisha hali ya mtoto eliudi kuzorota,
Sasa jamani swali linakuja hii serikali ya chama cha mapinduzi kwanza walishasema matibabu kwa watoto chini ya miaka 5 yatakuwa bure kitu...
Ndugu hembu tuulizane kwa nini haya makanisa ya kilokole hawapendi kabisa kusikia habari za kuambiwa kutangazia waamini wao kiasi cha sadaka kilichopatikana kwa juma na fungu hili labda kwa ajili ya hiki fungu lingine kwa ajili ya kile.
Mimi ni muumini wa Kkkt na kila jumapili ibada zote ni...
Kuna ubishi ulikuwa huku uswazi kwetu watu wakibishana tofauti ya mlima kilimanjaro, mbuga za wanyama na vivutio vinginevyo wazungu ni watu wanaopenda kuamini kwa kuona kwa macho au kufanya utafiti mpaka wafanikiwe wanachokitaka , sasa kwa ujio huu wa wageni wa kizungu kuja kwa wingi nchi za...
Ndugu wanajamvi kila uchwao tumeona jinsi nchi hii kila mwananchi wa kawaida anavyohangaika kwa jasho kujipatia riziki huku wenye nacho wachache wakiendelea kutunyonya hata kile kidogo tulichokuwa nacho wanatunyanganya.
Nasema hivi kwa sababu tumeona viongozi wa dini wakishikwa na kigugumizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.