Search results

  1. lyinga

    Mwanafunzi wa Chuo afariki katika mazingira tata!

    Kuna sheria nyingi tu mbovumbovu na hii ikiwa moja wapo.
  2. lyinga

    Mwanafunzi wa Chuo afariki katika mazingira tata!

    Nimenukuu kutoka katika Biblia si maneno yangu siku hizi kuna kamtindo kamezuka mzazi kumpenda mtoto mpaka mtoto badala ya kwenda vizuri ndio anaharibikaa hata ile kumsema mtoto anaogopa eti asijemuuzi sasa hapo kumbe ndio tunatengeneza bomu .
  3. lyinga

    Natamani mlima Kilimanjaro ubinafsishwe

    Tumelala sana aisee mpaka hapa tulipo tushauzwa sema.hatujashtukia tu .
  4. lyinga

    Global Publishers muwe makini

    Katika magazeti ambayo yanatakiwa kufungiwa basi hili ni moja wapo sijui serikali na wenyewe ni wabia wa haya makitu.
  5. lyinga

    La family

    Huyu jamaa nikikutana nae njiani nahisi mbavu zangu zitatenguka kwa kicheko.
  6. lyinga

    Natamani mlima Kilimanjaro ubinafsishwe

    Nimetoa hii kwa vile ninaona rasilimali za maeneo mengi zimebinafsishwa huku wenyeji wakiwa hohehahe na hawajui wafanye nini wakuwatetea hayupo mfano hapo nyamongo tumeona mwekezaji yupo lakini mauwaji ya kutisha na watu mifugo kudhurika na sumu za dawa au madini lakini wapo wapo tu sasa...
  7. lyinga

    Mwanafunzi wa Chuo afariki katika mazingira tata!

    Mdau hakuna mzazi kuonewa ila mtoto ukimlea katika maadili na misingi iliyo imara hakika Malaika watamlinda mpaka siku za uzee wake, na hiyo ya wazazi kulea watoto imeandikwa ndani ya Biblia na imeandikwa mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako kabla hazijakaribia siku zilizokuwa mbaya .
  8. lyinga

    Mwenyekiti wa CCM taifa anaua chama

    Kife mara ngapi?
  9. lyinga

    Natamani mlima Kilimanjaro ubinafsishwe

    Natamani tu halafu nione watu wahuko watachukua hatua gani watakubali au watakataa manake huwa wenyewe wanajiona wanajua sana.
  10. lyinga

    Mwanafunzi wa Chuo afariki katika mazingira tata!

    Ms neddy sawa hakichagui lakini Mungu hapendi watu wake waangamie sio vifo vyoote Mungu ana husika shetani nae anataka wafuasi wake wawe wengi na ndio maana kama wewe ni mkristo Biblia imeandikwa maisha ya binaadamu ya kuishi ni miaka 70 zaidi ya hapo ni shida na mateso meengi , na dhambi ndio...
  11. lyinga

    Mwanafunzi wa Chuo afariki katika mazingira tata!

    Daah kifo bana alikuwa katoka kunywa pombe poleni waf iwa lakini wazazi simamieni hapa enyi wazazi waleeni watoto wenu katika njia ipasayo nao hawataiacha mpaka uzeeni.
  12. lyinga

    Nchi ni yetu sote hembu tusaidiane mawazo kuitoa kwenye hili ombwe.

    Wadau hii nchi ni yetu sote kwa binaadamu yeyote aliye mtimilifu anaona au kuhisi kitu hali si hali tena, kuna ombwe la uongozi penye ukweli uongo hujitenga, Hapa tulipo kwa sasa nikama tupo kwenye jahazi na tupo katikati ya bahari na mawimbi ni makubwa pembeni yetu kuna meli kubwa ina...
  13. lyinga

    Miss Chagga Hebu Kuja Pande Hii Haraka

    Kuolewa bongo atachepuka kidogo kulingana na ngawira za huyo baadae atarudi njia kuu mradi asivunje sheria za nchi lol.
  14. lyinga

    Miss Chagga Hebu Kuja Pande Hii Haraka

    We nawe sasa hii makitu ya pesa yametoka wapi wivu bana mbaya sana.
  15. lyinga

    Natamani mlima Kilimanjaro ubinafsishwe

    Natama siku moja serikali itangaze kubinafsisha mlima kilimanjaro tuone kitakachojiri kwa wakaazi wanaozunguka maeneo hayo , tumeona nyamongo, bulhankulu huko.shinyanga, mirerani , longido na kwingineko hembu wajaribu na huku nchi izaliwe upya.
  16. lyinga

    Miss Chagga Hebu Kuja Pande Hii Haraka

    Na leo mvua inanyesha huko balaa atakuwa kajifungia ndani ngoja atoke atamjibu soon.
  17. lyinga

    Mtoko wa X-Mass

    Kama sio wakigoma basi pande za malawi wanyasa manake ndio zao.
  18. lyinga

    Msaada: Mabilioni ya DECI

    Umenitonyesha kidonda mwenzio nina hela zangu huko namwachia Mungu sijui kama nitazipata kuna wapo wengi tu na wengine ni marehemu kwa sasa hii nchi ina wadhulumati kweli.
Back
Top Bottom