Search results

  1. BRN

    Alikuwa na mtaalamu wake wa kufungua mifuko yote na kupunguza kiasi cha saruji kati ya kg 5 hadi 10

    Salaam, Re bagging kwa tafsiri ya kiingereza…to unbag an item and put it in another bag, or to put an item back into its bag na kwa tafsiri isiyo rasmi ya lugha ya kiswahili ni kutoa kitu kwenye mfuko wake wa awali na kuweka kwenye mfuko mwingine, au kurudisha kwenye mfuko wake wa awali...
  2. BRN

    Pre Season 2024/2025 Simba inaweza kuileta klabu kubwa ya soka kutoka EPL

    Leo tarehe 31 Octoba, 2023 Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar amefanya ziara ya kutembelea timu ya Simba na kufanya mazungumzo na viongozi na watendaji wa timu ya Simba. Kwa namna Simba walivyo na mikakati naona moja ya mazungumzo/maombi ya Simba kwa Mhe. Balozi itakuwa...
  3. BRN

    Mechi ya Kirafiki; Simba 5 vs Cosmopolitan Fc 1

    Timu ya mpira wa miguu ya Simba leo tarehe 05/09/2023 imeendelea na kucheza mechi za kirafiki za ndani kwa ajili ya mazoezi ambapo imecheza na timu ya Cosmopolitan. Simba imepata goli 5 dhidi ya goli moja la Cosmopolitan Fc na magoli ya Simba yamefungwa na Phiri, Baleke,Onana, Kramo na...
  4. BRN

    African Super League

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika(CAF) limetangaza rasmi tarehe za kuanza kwa mashindano mpira wa miguu maarufu kama African Super League. Mashindano hayo yataanza tarehe 20 Octoba na kumalizika tarehe 11 November,2023 na sasa mashindano hayo yataitwa African Football League na kushirikisha...
  5. BRN

    Uzi maalumu wa Misemo ya Yanga baada ya kufungwa na Simba na kupoteza Ngao ya Hisani

    Tarehe 13/08/2023 timu za mpira wa miguu za Tanzania Bara za Simba na Yanga zilipambana kwenye fainali ya kugombea Ngao ya Hisani. Mechi hiyo ambayo timu ya Yanga ilifungwa goli tatu na kujifanya Simba kutawazwa kuwa Mabingwa wa Ngao hiyo ambayo hufungua msimu wa Ligi Kuu ya msimu 2023/2024...
  6. BRN

    Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/2024

    Kesho tarehe 15 /08/2023 ligi Kuu ya mpira wa miguu Tanzania Bara inaanza rasmi msimu wake wa 2023/2024. Ligi hii ilizinduliwa rasmi kwa mechi ya kilele kati ya Simba na Yanga tarehe 12/08/2023 ambapo timu ya mpira ya Simba ilishinda na kubeba Ngao ya jamii. Huu hapo ni msimamo wa ligi hiyo...
  7. BRN

    FT: Mechi ya kujipima nguvu Simba 1-1 Zira

    Timu ya Simba ambayo iko kwenye Kambi ya maandalizi nchini Uturuki leo tarehe 24 Julai inacheza mechi yake ya kwanza ya majaribio. Mechi hiyo itaanza saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki na kati na inapambana na timu ya Zira ya Azebaiajan..timu ya Zira iliyoko pia kwenye daraja la kwanza...
  8. BRN

    Mzigo wa Jezi za Simba umeshafika

    Timu ya Simba kupitia ukurasa wake wa Twitter imetoa taarifa ya kuwasili mzigo wa jezi za timu hiyo kwa msimu 2023/24. "Mzigo wa Jezi Mpya za msimu wa ligi 2023/24 tayari umewasili Tanzania tena wa kutosha na zitaanzwa kuuzwa mara tu baada ya kutambulishwa rasmi mwanzoni mwa Julai" Mwisho wa...
  9. BRN

    Movie zenye Maudhui ya Kula/Kuliwa Tunda Kimasihara

    Kama kichwa cha Uzi hapo juu na wale waliowahi kupitia Uzi wa kula Tunda Kimasihara wa rikiboy watakuwa wanaelewa ninachomaanisha. Hizi ni movie ambazo Maudhui yake yamehusisha washiriki wake kufanya ngono au kuwa wapenzi bila kutarajia kwa sababu mbali mbali,nitazitaja hapa na maelezo kidogo...
  10. BRN

    Takwimu: Baleke vs Musonda

    Haya wadau, hivi karibuni kupitia usajili wa dirisha dogo tumeshuhudia timu za Simba na Yanga zikifanya usajili wa kuboresha timu zao. Hapa nawaleta kwenu Baleke mchezaji wa Simba na Musonda wa Yanga ili tuwafananishe kwa takwimu na namna wanavyozutumikia timu zao. Yalisemwa mengi na wahasimu...
  11. BRN

    Huyu Kazadi ni hatari! Singida Big Stars hapa mmelamba dume

    Huyu jamaa hatari leo kwenye nusu fainali za Kombe la Mapinduzi amefunga goli nne za akili kubwa sana na kufanya jumla ya magoli aliyofunga kuwa tano. Singida Big Stars hapa mmelamba dume. Ngoja sisi tuwasubiri akina Musonda, Bobosi na Manzoki.
  12. BRN

    Viongozi wa Simba mmemkosea Mgunda

    Kwa kilichotokea na kufanywa na viongozi wa Simba dhidi ya kocha mzawa Mgunda ni ukosefu wa fadhila na shukrani. Mgunda aliichukua timu wakati mgumu sana na kwa kipindi chote alichokuwa na timu morali ya wachezaji iliimarika na timu ilibadilika sana. Hivi nyie viongozi mmetumia kipimo gani...
  13. BRN

    Zabron singers kwenye sherehe za kumuapisha Ruto

    Hawa jamaa jana tarehe 13/09/2022 kwenye sherehe za kumuapisha Rais mteule wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Kenya Mhe.Ruto walifanya makubwa sana walipowainua na kuwachezesha maelfu kwa mamia ya Wakenya pale Kasarani. Hakika mmetuwakilisha vema..huu wimbo wao wa Nimeuona Mkono wa Bwana hakika una...
  14. BRN

    The Huricane

    Oohh..leo nimepata muda kidogo asubuhi hii. Nimeutumia muda wangu wa masaa mawili kutazama movie ya The Huricane iliyoigizwa na mwigizaji maarufu Denzel W..Hii ni movie ya maisha ya aliyekuwa mwanamasumbwi wa uzito wa kati maarufu Huricane Carter miaka ya 1960s. Inaelezea maisha ya ubaguzi wa...
  15. BRN

    Kutembea kwa miguu au baiskeli kwenda Kigoma

    Wadau habari ya jioni,hivi karibuni tumeshuhudia wanaume wa mkoani Kigoma kutembea kwa miguu au kutumia baiskeli kwenda Dar kutazama mechi za Simba na Yanga. Je, wanaume wa Dar hamuoni kwamba sasa ni zamu yenu na nyie kurevenge.?!
  16. BRN

    Judah x Barnabas 'Nibebe'

    Aisee! Huu wimbo Nibebe wa Kusah x Barnaba una mwaka sasa ila mimi ndio kwanza nimeusikia leo. Kuna wasanii wanajua kuimba ila hawana nyota. Mashairi mazuri, ujumbe mzuri wa mapenzi, sauti tamu, mdundo mzuri. Nibebe nibebee, nibebeeeeee. Kwa kila Hali nibebeee...
  17. BRN

    Je, wewe unawakumbuka nani ambao walitrend au bado wanatrend?

    Hapa Tanzania/Bongo kuna watu wanakuwa maarufu kwa kipindi fulani(trend) kutokana na harakati zao za maisha kama vile muziki,fulani,sasa, vichekesho na kadhalika. Mitano michache ni marehemu Dr Shika, comedian Chikumbalaga, Pierre Liquid kuwataja wachache. Kwa sasa wanaontrend ni Mc Mboneke...
  18. BRN

    Heshima yako Mkuu

    Wadau habari. Kuna hizo salamu kutoka kwa vijana wa siku hizi ambao kwao kusalimia kwa kusema Shikamoo ni shida. Utawasikia wanakuambia Heshima yako Mkuu, kwa kweli mimi nashindwa niwajibu nini. Je, wewe imeshawahi kukutokea? Je, unajibu vipi?
  19. BRN

    Ukitaka kwenda haraka nenda pekeako

    Ukitaka kwenda haraka nenda pekeako,lakini ukitaka kufika mbali nenda na wenzako. Ni msemo wa kiswahili na leo tarehe 06 April ulinukuliwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wao Ikulu ndogo Dar es...
  20. BRN

    Huu ndio Mzigo wangu wa Movie

    Wapendwa habari ya mapumziko ya Ijumaa Kuu. Napenda kuwashirikisha mzigo wa Movies za ukweli nilizo nazo ili ukipata muda hasa kipindi hiki cha mapumziko marefu uzitazame(sema ndio hivyo bando ziko juu) Hizi ziko kwenye simu yangu hivyo nazitazama popote pale.(uwezo wa simu..internal Gb 256 na...
Back
Top Bottom