Wadau nahitaji kujua Mercury in rangi gani hasa maana najua kwa kusoma kwa makaratasi na story ,kuna ya kiwandani na jiwe sasa je yakiwandani ikoje na soko lake likoje kwa gram
nafikiri kuna kila sabaubu yakumtoa lema katika nafasi tuliyompatia sababu hana maadili ya uongozi na hana busara,na moja ya sifa muhimu ya uongozi ni kuwa na utii,uadiliu na busara
hivi wajameni ,habari zenu,juzi kwenye kipindi fulani hivi niliangalia eatv nikaona Mh Mbunge wa Bumbuli akioshwa kichwa je waungwana ni halali au ndio utandawazi wenyewe,na je ndio kusema mkewe yuko bizy kiasi cha kumhudumia mumewe,au je ni ni kweli ameshindwa hata kukata kucha
Habari zenu wana jamii forum,mimi ni mkazi wa moshi kilimanjaro,huwa nikiumwa au ndugu yangu kuumwa huwa nampeleka kilimanjaro hospital,lakini huwa kuna kero kubwa hasa ukiwa unatumia bima kuanzia kwa madaktari na wadada wembamba wa mapokezi,jana nilienda nikiwa napeleka mgonjwa tukakaa zaidi ya...
Hivi wajameni kampuni ya Tigo inajali wateja au,Niko KLM nilimtumia ndugu yangu pesa kwa huduma ya Tigo pesa na kwenye cmu yangu inaonekana salio limepungua na ndugu yangu amepokea sms ya kupata fedha ila akijaribu kutoa anaambiwa hana salio,Nikaenda kwenye ofisi zao wananiambia nipige 150...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.