Search results

  1. madangwa

    Msaada kuhusu vazi la taifa

    Salaam waugwana! Mimi ni kijana wa Kitanzania ambae bado sijaelewa mchakato mzima wa utafutaji wa vazi la taifa toka ulipoanza, ulipopita na unapoelekea... Hivi hili vazi la Taifa likoje? Na umuhimu wake ni nini? Nani ni mhusika katika hili? Litakuwa linapatikana wapi? Litauzwa ama kugawiwa...
  2. madangwa

    Natafuta mke sasa na si girlfriend

    Mcumba:wacko:? Angalia usijepata MCHUNGA:msela:
  3. madangwa

    Toyota Ist and Rav 4 for sale ,in Excellent condition

    Hiyo IST inakula msosi gani?:majani7::mvutaji:
  4. madangwa

    Escudo inauzwa million 6

    ESCUDO Inauzwa Bei Million 6. Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0712170226
  5. madangwa

    Nyumba inapangishwa kigamboni mita chache kutoka ferri

    NYumba inapangishwa Maeneo ya KIgambon mita chache kutoka Feri. Ipo umbali wa chini ya nusu kilometa kutoka Feri Ina Bedrooms kubwa 4 Seating room moja kubwa sana Dinning room moja Jiko (Kitchen moja) Ina Toilets 2 Ndani ya Geti lenye uwezo wa kuingiza magari 6 BEI NI SHILINGI 600000/- kwa...
  6. madangwa

    Picha Ajali ya Kibamba 25-03-2010

    Ndugu zangu wasimamizi wa nchi hii wamechoka kiasi kwamba hata watedaji wamejisahau. Mwaka wa kuwaweka wasimamizi wenye kujua wajibu wao ndio huu, jamani watanzania wenzangu tunakila sababu ya kuipumzisha rangi ja kijani.
  7. madangwa

    Nikitumia NERO kuandika CD/DVD zinagoma kutoa sauti katika DVD player!

    Bwana Maziku, pole sana na tatizo lililokukuta ila hiyo ndo texchnolojia yenyewe. je naweza kujua hiyo VCD yako uliiwrite kwa speed gan?
  8. madangwa

    Mwanafunzi akimbilia TBC; kisa kudaiwa sh 250 tuition na 100 ya uji

    Tatizo njaa tu. Njaa hizo zipo kila sehemu hata vyuooni ila kwa mtindo mwingine.
Back
Top Bottom