Search results

  1. R

    Joseph Musukuma: Kikokotoo kinawaumiza wananchi, tunatengeneza taifa la wezi

    We Inashangaza yaani unazungumza alinacha! Kama hujui jambo ni bora kukaa kimya kuliko kutunga hadithi ambazo huzijui. Andiko lako kwanza linaonyesha huna idea ya viwango vya mishahara serikalini watumishi wanavyolipwa ila na wewe kwa saba umetaka uonekane umechangia basi unaropokaropoka...
  2. R

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Po PIa na yale mambo ya futi sita kwa sita (anatoa kitu anapata kitu) yanawasaidia kupata.
  3. R

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Concept yangu hujaielewa ngoja nirudie. Kwanza kuna fomula ya kikokotoo anbayo inahusisha miezi aliyofanya mtu ambapo ili awwze kulipwa lazima iwe si chini ya miezi 120 ( miaka kumi minimum). Pili mtu halipwi kwa kufuata asilimia ya mshahara wake kiasi atakacholipwa mstaafu kinakokotolewa kwa...
  4. R

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Hauko sahihi, ukisoma andiko langu utaona nimetolea mfano vizuri. Ni hivi: kama watumishi wawili wamefanya kazi muda unaolingana ni kweli yule mwenye mshahara mkubwa atamzidi mwenye mshahara mdogo lakini kana mwenye mshahara mdogo anefanya kazi muda-mrefu kuliko nwenye mshahara mkubwa lakini...
  5. R

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Huyu mbunge ameamua kulisemea jambo ambalo halijui wala hajahangaika kuutafuta ukweli kwa kusilikiza hoja mbalimbali zinazoelezwa kuhusu kikokotoo. Inadhihirisha umaamuma wake, watu kama hawa ndio mtu ategemee wapitishe jambo lenye maslahi kwa nchi wakati hana uwezo wa kuelewa hata jambo lililo...
  6. R

    Yericko: Makonda Aitwe Bungeni,Tuhuma za Kesi ya Uhaini ya mawaziri, Na Generali Mobeyo Aitwe kueleza Bunge ukweli wa Kesi ya uhaini Uliofanyika 2021

    W Wewe Chadema huwezi kumtakia Mh Samia ashinde 2025, eti unamtahadharisha kabisa kuwa akiendelea kumuacha Makonda katika uongozi atashindwa uchaguzi. Kwani nyinyi Chadema mnataka Rais ashinde 2025? Unatumia fursa ya alichosema Mskonda kutaka kulipa kisasi kwa Rais kunfukuza kazi Makonda...
  7. R

    BAVICHA na huyo askofu Mwanamapinduzi mna Uhakika Ujenzi wa Bwawa la Nyerere limetumia Upembuzi Yakinifu wa 1972? Ni kweli Maji yamefunguliwa?

    Hivyo ni vitu viwili tofauti: Feasibility study inafanywa pale inapotakiwa kujua kama mradi kiuchumi/kijamii una manufaa katika jicho la kipesa zaidi ( faida dhidi ya gharama na je hiyo tofauti ni substantial, kama ni mradi wa kijamii hata kama manufaa kipesa sio makubwa lakini kijamii una...
  8. R

    Picha za watoto wa kiongozi wa hamas Ismail Haniyeh Waliouawa

    H Huyu gaidi mkuu ameumia sana kuuawa kwa wanawe watatu na wajukuu ila anajifariji kuwa haumii kwa sababu imeishatokea na hawezi tena kuwarudisha hai. Haniyeh amelipa damu za wapalestina aliowatumbukiza katika mauaji na mateso makubwa ya vita, pia amelipa damu za waisrael wasio na hatia...
  9. R

    BAVICHA na huyo askofu Mwanamapinduzi mna Uhakika Ujenzi wa Bwawa la Nyerere limetumia Upembuzi Yakinifu wa 1972? Ni kweli Maji yamefunguliwa?

    Jikite kwanza kuelewa maana ya Environment Empact Assessment ndipo utagundua hoja zako za kupinga Mradi wa Rufiji hazina mashiko ndio maana unachanganya mada. Hata wewe hapo ulipo unaharibu mazingira kutokana na shughuli unazofanya kwa sababu shughuli za binadamu zozote zile xina athari kwa...
  10. R

    Waafrika tuna matatizo gani?

    Sio lazima agombee ubunge ili aweze kugombea urais. Iko hivi baada ya uchaguzi chana chenye wabunge kinapendekeza mtu kutoka chama chao ( anaweza kuwa kiongozi wa chama au mtu wa kawaida) agembee urais na kura zinapigwa bungeni, anayepata kura nyingi kuwazidi wagombea wengine ndiyo anakuwa...
  11. R

    Waafrika tuna matatizo gani?

    Demokrasia inamruhusu kugombea, kama hafai ni jukumu la wapiga kura kumkataa sio watu wachache wenye bifu naye wawaamulie wapiga kura vinvinevyo haina maana kufanya uchaguzi. Moja ya faida za Zuma kugombea itasaidia kupunguza sana kura za ANC hivyo kupelekea bunge lao kusheheni wabunge wengi...
  12. R

    BAVICHA na huyo askofu Mwanamapinduzi mna Uhakika Ujenzi wa Bwawa la Nyerere limetumia Upembuzi Yakinifu wa 1972? Ni kweli Maji yamefunguliwa?

    U Uko wrong. Mimi bahati miaka ya sabini katikati nilikuwa kijana na kikichokuwa kinaendelea katika utawala wa Nyerere nilikuwa nafahanu kwa yale yaliyokuwa yanawekwa public. Umeme wa Kidatu kwa wakati ule ulikuwa unatosheleza ila projection ya ukuaji wa mahitaji ilionyesha kuwa kufikia mwaka...
  13. R

    BAVICHA na huyo askofu Mwanamapinduzi mna Uhakika Ujenzi wa Bwawa la Nyerere limetumia Upembuzi Yakinifu wa 1972? Ni kweli Maji yamefunguliwa?

    Wenye Wenye chuki na Magufuli wamepata sababu bandia ya kumshambulia. Bwawa la umeme ilikuwa ni sahihi kujengwa.. Kwanza wengi hawaelewi maana halisi ya environmental impact assessment (EIA), wanafikiri kama imeonekana kuna madhara katika EIIA basi nradi huwa haufanyiki. EIA huwa inaangalia...
  14. R

    Marriage is an outdated concept

    U Umeandika vizuri sana na ukweli mtupu . Ndoa kwa sasa wanawake wote hata wa vijijini wanaingia kama ajira ili baadae kupitia udhaifu wa sheris na ujinga wa wanaume wavune mali ambazo hawakuzitolea jasho hata kama ni muajiriwa. Wanaume wengi wamekubali upumbavu wa kuruhusu mke asichangie...
  15. R

    CAG: Wastaafu na wenza wao wanaigharimu NHIF Tsh 84.7 billion kila Mwaka Bila Wao kuchangia

    Wastaafu hawa ambao dawa kibao na vifaa tiba wanalipia kwa cash sababu NHIF hawalipii hizo huduma? Kumbuka wastaafu wengi wao wanaumwa magonjwa yasiyoambukizwa ambapo baadhi ya dawa za magonjwa hayo hazitolewi na NHIF.
  16. R

    Pale upinzani unapoacha kujadili mambo msingi na kuweka nguvu zao kumjadili Makonda! Tuna wapinzani wa hovyo sana!

    M Makonda yupo yupo sana tu, hao wapinzani wanadhani ni kazi yao kumchagulia rais majina ya anayowateua. Makonda ameenda Atusha ambako Sabaya senior ni m/ti wa CCM mkoa.
  17. R

    Kwaheri Ndalichako, karibu Jimboni

    Huyo ni profesa bado anaweza kurudi kufundisha maisha yakaenda.
  18. R

    Tuheshimu mila za watu

    Mlitakiwa kwanza nyinyi muheshimu mila za hao mnaowahukumu ikiwemo mila ya kula hadharani.
  19. R

    Kuhamia DP World au Kubaki TPA: Ushauri kwa wafanyakazi wa TPA

    Huelewi kitu kuhusu nambo ya utumishi ndio maana unakimbilia kushutumu kuwa watumishi ni wezi. Katika utumishi wowote ule decision makers ni wachache, unaweza kukuta taasisi yenye watumishi mia mbili ina matatizo ya utendaji lakini chanzo kikiwa ni mtu mmoja tu. Nchi hii inaharibiwa na...
Back
Top Bottom