Search results

  1. likes

    #COVID19 BBC na Corona: Kenya tayari ina deni la $ 1.5 bilion za Marekani, Tanzania haina deni lolote hadi sasa

    Katika hao waliozikwa usiku yupo ndugu yako hata mmoja alizikwa miongoni mwao...?? Kama hayupo basi tambua hy kuzikana usiku yawezekana unaisema ww mwenyewe. Binafsi hmn ndugu yang au mtu wng wa karb alizikwa usiku..
  2. likes

    Nina Shahada ya Sosholojia, natafuta kazi

    Kwanii hy sosholojia ndioo mnapaswa kufanya mashirika gani. Na ni kazi zipii
  3. likes

    Inawezekana Vodacom wamegoma kuhusu mabando

    Binafsi niliwapigia wakasema kuwa bundle tunazoziona sasa ndioo zilikuwepo zamani kabla ya mabadiliko kwamba hizi bundle pamoja na kurudishwa kama zamani pia zimeboreshwa. Huu ni uwongo kabisa wa Vodacom kwa sisi wateja wake. Mie binafsi nilikuwa mtunijai mkubwa wa kifurushi cha sh. 3000 kwa...
  4. likes

    Profesa Muhongo huna credibility ya kuwashauri watanzania kuachana na mradi wa JNHPP na usidanganye watu kuwa Hydro power zimepitwa na wakati

    Mitambo mibovu kama nn. Uendeshaji wke ni wa gharama kuliko kawaida imagine spea unatafuta USA na haiwez fika kw wakat. Muingo atulie tu aache uongo. Toka aondolewe uwazir hajawai ongea kitu leoo ndioo anaibukaaa...
  5. likes

    Nitakuwa tofauti na Mh. Spika kuhusu hili la Bandari ya Bagamoyo

    Yaaan mtu alionyeshwa picha tu, sijui video ya project jamaa kashawishikaa kaona hapa ndioo penyewe. Akasahaau kuomba kuona hata mkataba wa mradi. Yaan matumiz mabaya ya akili kbs duu.
  6. likes

    Ujenzi Bandari ya Bagamoyo: Aliyemshauri vibaya Rais Magufuli ni nani?

    Huyuu spika ndio hajapata ushaurii mzurii yeye kaoneshwa faida tuuu ila side effect kafichwa na bahat mby na yye hataki kqenda mbalu kudikiria hilo. Huo mkataba ni bola hata uwekwe wazi wananchii tuujue.
  7. likes

    Chinese firms involved in money laundering racket face the music in Tanzania

    Aiseee hii ndio sababu ya ile simu ya Rais wa China Very serious Issue
  8. likes

    Uchaguzi 2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

    Haujasoma Mzee Baba. Hujui hata tofauti ya tarafa na kata
  9. likes

    KRA vs TRA: Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania

    Kiukweli mtoa mada umegusa jambo la msingi sana. Taasisi nyingi za umma kama sio zote nchini Tanzania tovuti zao zimechoka sana huwez kupata taarifa muhimu unazohitaji matokeo yake unalazimika mpk uende ofisini kwa taasisi husika kupata maelekezo madogo ambayo ungeweza kupata online na kupunguza...
  10. likes

    Ufafanuzi wa ongezeko la mishahara kwa Watumishi wa Umma kwa miaka mitano

    Mm binafsi PAYE yangu imepungua kwa sh. 4000 na hapo ni baada ya kufanya kazi miaka 5 hv kweli hapo umenisaidia..
  11. likes

    Rais Magufuli ateua Wakuu wa Wilaya 9 na Wakuu wa Mikoa, Thobias Andengenye awa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Mwanri astaafu

    Naomba kupata ufafanuzi hivi sheria imekaaje kuhusu wakuu wa Mikoa na Wilaya kustaafu. Nilikuwa nikidhani hawa watu hawana mamb ya kustaafu. Lakini katika kipindii hiki nimeona wengi wakiistafu. swali langi ni kuwa mbona kuna wakuu wa mikia wanaonekana watu wazima zaidi na bado wapo sujasikia...
  12. likes

    Tumwamini nani kati ya Rais Magufuli au Daktari Ndugulile kuhusu kujifukiza ili kukabiliana na COVID-19?

    Hiyo miaka mingi huko nyuma ilikuwa inatumika kutibu ugonjwa ganii. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. likes

    Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

    Hv hizo sampuli za papai zilizopelekwa maabara zilikuwa kwenye damu au kwenye nini. Maana nadhani sampuli zote ziwe ni damu. Yawezekana papai ikawa na damu pia.
  14. likes

    Mhandisi msanifu wa jengo la Ikulu Dodoma ni wa kiwango cha kata

    Nimekuelewa sana yaan ikulu ilitakiwa iwe jengo lenye ramani ya kipekeeee kweli kwlei. La kuvutiaa ss ikulu kama mjaengo ya posta yale kuwekewa vyooo kote hapaan.. Hapo kwe.ye stand sasa etii inaitwa bus terminal.... Aha ahhaha Sent using Jamii Forums mobile app
  15. likes

    Hofu ya COVID-19: ATCL yasitisha safari za ndege China. Serikali yazuia wageni kutoka nchi mbalimbali kushiriki ktk Wiki ya Maji

    Bila shaka huelewii. Tulia uelewe ndio useme kitu. China haijazuia ndge kuingia nchnii mwake ila kila taifa ndioo inatazama kama iisipeleke.ndege zake.china ua laa. Kumbula Ethiopia wamekataa kuzuia ndege zao kwenda china Sent using Jamii Forums mobile app
  16. likes

    Makonda: Wanaume wafanyakazi wakatwe asilimia 40 ya mishahara yao wapewe wake zao

    Hivi kama mwanamke na mwanamme wote wako sawa kwa nini upendeleo umlenge mwanamke. Nilitegemea kusiwepo upendeleo wa aina yeyote. Ndio maana ya haki sawa. Inabidi sheria itaje basi kuwa mwanamme yuko juu ya mwanamke then apewe upendeleo kwa sababu hawalingani. Lakini kama mwanamke na mwanamme...
  17. likes

    Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Nani atakaeruhusiwa kutangaza kuwa corona iko Tanzania hata km ikitokea akipatikana mtu mwenye ugonjwa huo.. Watch it.. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. likes

    Uongozi unaoacha alama; Rais Magufuli alipa malimbikizo ya mishahara tangu 2010

    Kwani ww mtoa post ww ni mtumishi.wa idara ganii. Una uhakika gani watumishi wote washapata mishahara. Au ww umepata mshahara ukaanza kujisema wote wamepata. Au utakuwa ndioo unaukizia kama imetoka...!! Sent using Jamii Forums mobile app
  19. likes

    Rais Magufuli: Baada ya siku 60 Bodi za Mashirika yasiyotoa gawio zijivunje zenyewe

    Kwahy hayo ni maono. Gawio inatoka na na bishara. Kama unafanya biashara unapswa uwe na faida ingawa sio mara zote utapata faida. Ukiyoa hufuma huwez pata faida unless uchukue kiasi cha ela uliopewa urudishe zilikotoka kama gawio.
Back
Top Bottom