Search results

  1. kilambalambila

    Mambo ya kukera/kutia kinyaa ambayo hufanywa na baadhi ya watu

    Wananzengo naomba tujadili mambo ambayo mimi binafsi nayachukia yanayofanywa na baadhi ya binadamu. Mambo haya naonaga kama yanatia kinyaa na yanapunnguza heshima kwa anayeyafanya hasa anapokuwa kwenye kadamnasi. 1. Kuingiza kidole puani na kukomba yale mauchafu ya kamasi kuyatoa nje. Hapo mtu...
  2. kilambalambila

    Watu wa Ikulu mnalala sana

    Nimeingia kwenye kitu kinaitwa tovuti rasmi ya Rais ukifungua kule unakutana na Magufuli! Maana yake hii tovuti haijamtambua samia?
  3. kilambalambila

    Rais Samia unajiandalia majuto ambayo hutayasahahau kwenye maisha yako ya kisiasa

    Mhe. Rais wewe ni mzoefu kwenye siasa za Tanzania. Kwa sasa ni kama unatafuta huruma ya wapinzani na unafanya vya kuwafurahisha lakin jua hii kitu itakugharimu Kuachiwa kwa Mbowe, kukutana na Lisu ubeligiji, kujipanga kuruhusu mikutano ya kisiasa nk yote unatafuta kuonekana unajali ila ujue...
  4. kilambalambila

    Jeshi la Tanzania lawataka wananchi kuondoka katika misitu ya mpaka wa Msumbiji

    Jeshi la Tanzania limewataka raia wanaoishi katika maeneo ya pori karibu na mpaka wa Msumbuji kuhama eneo hilo wakati wakijiandaa kupambana dhidi ya wanamgambo, kwa mujibu wa gazeti la kila siku nchini Tanzania,The Citizen. Mkuu wa operesheni hiyo alisema jeshi litaanza kuwatafuta wahalifu...
  5. kilambalambila

    Chaputa mmeonwa sasa

    Kila kina positive impacts Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kilambalambila

    Msaada wa mafuta ya mise au mawese

    Habari wadau! Nina shida na mafuta ya mise au yale ya mawese yanayotumika kutengenezea sabuni za magadi. Kwa yeyote mwenye nayo au anayejua yanakopatikana tafadhali naomba anifahamishe. Ahsante
  7. kilambalambila

    Ndege hatari zaidi ya kivita yatumiwa na Israel

    Israel imesema kwamba imetumia ndege za kivita zenye uwezo wa kukwepa mitambo ya rada ambazo zimetengenezewa Marekani kwa mara ya kwanza katika vita. Ni mara ya kwanza kwa ndege hiyo kutumiwa vitani pahala popote duniani. Ndege hiyo ilitumiwa katika operesheni ya kijeshi ya jeshi la wanahewa...
  8. kilambalambila

    Jambo lililonishangaza kwa wanaume wa Dar es salaam

    Mimi ni mgeni hapa jijini siku ya tatu sasa toka nimefika. Nimekuwa nikilisikia jiji hili kwa muda mrefu na nikitamani kufika. Kwa hizi siku tatu moja ya mambo yaliyonishangaza ni kuona wanaume wamebebana kwenye pikipiki abiria kamshikiria dereva kiunoni. Jana nilipishana na pikipiki moja leo...
  9. kilambalambila

    Msaada: Simu yangu ya Samsung imegoma kushika mtandao na ku-display IMEI

    Wataalamu naomba msaada wenu. Simu yangu aina ya Samsung galaxy note one imegoma kabisa kushika mtandao wala kudisplay imei. Ukiiwasha inawaka kama dk 2 tu then inastack na kuzima. Pia ukiangalia imei kwa kubonyeza *#06# inaandika null/null pale sehemu ya kudisplay imei number. Haionyeshi...
  10. kilambalambila

    NAIROBI, KENYA: Mahakama yaamuru Televisheni zilizofungiwa zifunguliwe

    Mahakama Kuu nchini kenya imetengua maamuzi ya serikali kufungia vyombo vitatu vya habari kwa muda mpaka suala hilo litakaposikilizwa. Source:BBC World news The Kenyan government shutdown of the three largest private TV channels has been suspended by a Kenya high court pending a full hearing...
  11. kilambalambila

    Upinzani Tanzania kukosa shukrani kwenu ndo kuliwaponza

    Ule msemo wa shukrani ya punda ni mateke ndo walidhihirisha wapinzani. Enzi ya JK mlipewa nafasi ya kutosha kufanya mambo yenu kwa kujiachia. Mzee wa watu alikuwa anawaalika hadi Ikulu mnakunywa juice kwa upendo. Aliwaacha mfanye mtakavyo Angalia msivyo na shukurani mkaishia kumuita dhaifu na...
  12. kilambalambila

    Wizara ya Afya maendeleo ya jamii,jinsia wazee na watoto itunge sheria kuwasaidia single mothers

    Natoa rai kwa Wizara hii inayohusika na jinsia na watoto ambapo nadhani pia kitengo cha ustawi wa jamii ni idara iliyoko chini yake kuweka mkakati wa kuwasaidia hawa single mothers. Juzi nimepita mahali kuna mwanamke anatakata kulia hadi machozi kazalishwa watoto watatu kila mmoja na baba yake...
  13. kilambalambila

    Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia(CUF) ajivua uanachama na ubunge na kuhamia CCM

    Mimi Maulid Said Abdallah Mtulia Mbunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Civic United Front – (CUF) Chama cha Wananchi kwa hiari yangu nimeamua kujiuzulu uanachama wa CUF na kujiuzulu nafasi zake zote za uongozi nilizokuwa nashikilia. Nimefanya uamuzi huu leo tarehe 02/12/2017 kwa utashi...
  14. kilambalambila

    CHADEMA mmethibitisha woga wa hali ya juu, acheni kujiita MAKAMANDA mnachafua hili jina

    Kwanza niwaambie kuwa uchaguzi wa 26.11.2017 umethibitisha kuwa CDM kumejaa watu waoga, wanafiki na wachochezi. Watu wanajiita MAKAMANDA lakini wanajificha nyuma ya keyboard na kuanza kutunga uongo na topics za kupanikisha wananchi tu waonekane wameonewa, huu ni ujinga wa hali ya juu na ni...
  15. kilambalambila

    Rasmi sasa Fifa waipongeza Yanga

    Simba wanasubiri embe chini ya mnazi
  16. kilambalambila

    Wadada acheni uvaaji wa vitu hivi mnajidhalilisha

    Kwa jamii ya kitanzania walio wengi (including me) kuna vitu ambavyo mwanamke akionekana kavaa ni ishara kuwa ni muhuni na malaya japo wengine wanaona ni urembo. Vitu hivi ni kama: Hereni za puani Kutoga nankuvaa hereni karibia nne kwa sikio moja Vikuku vya miguun Mapete kwenye vidole vya...
  17. kilambalambila

    Vyombo vya habari Tanzania mmeonyesha kutojiamini na unafiki wa hali ya juu

    Suala la vyombo vya habari Tanzania kuchaguliwa ni habari gani waandike na zipi wasiandike nao wakaitikia kupangiwa huko ni dhahili kuwa havijiamini na ni unafiki. Mi naamini hasa kwa hili suala la RC Dar es salaam kuna media nyingi kama si zote nchini zinataman kuandika taarifa zake maana...
  18. kilambalambila

    Maandalizi yanaendelea, wanaodhani Korea Kaskazini atapona waendelee na udhanifu wao

    Kunaendelea kukucha sasa maseneta wote wameitwa white house kujiandaa na Korea The entire U.S. Senate has been invited to the White House for a briefing Wednesday on the North Korea situation, amid escalating tensions over the country’s missile tests and bellicose rhetoric. The USS Michigan, a...
  19. kilambalambila

    Msaada wadau nataka kumiliki baiskeli

    Wadau habari! Naomba ushauri wenu katika mpango wangu wa kumiliki chombo cha usafiri ambacho ni baiskeli. Nimekuwa na ndoto ya kumiliki gari mda mrefu lakini mambo yanavyoonekana ndoto hii haitafikiwa. Nimeona mbadala nimiliki hata baiskeli ili nitimize ndoto yangu ya kumiliki chombo cha...
Back
Top Bottom