Search results

  1. kilambalambila

    Ali Kamwe: tutakwenda Zanzibar kumfuatilia my wetu (Simba)

    My wetu anatafuta kujipa faraja angalau kupitia mashindano ya kuku huko Zanzibar
  2. kilambalambila

    Naomba ushauri: Kijana wangu amepata kazi Shirika la Good Neighbors na Halmashauri, aende wapi?

    Kama maslahi yanafanana aende Halmashauri chap, huko anakuwa na uhakika na kazi yake kuliko Good Neighbours ambao siku moja wanaweza ku-phase out mradi au wakaamka wamekosa funding
  3. kilambalambila

    Mambo ya kuzingatia unapoanzisha mahuasiano na ''Single Mother''

    Single mama ukimuangalia kwa haraka anatia huruma na anatamanisha kuoa, sasa fanya kuoa uone yaliyomo ndo utajua hukujua
  4. kilambalambila

    Waislamu walikuwa na nchi kubwa tatu Libya ya Gaddafi, Iraq ya Saddam Hussein na Iran. Imebaki na Iran tu

    Iran anachelewa kulianzisha aisee, dawa yake inachemka hadi itaisha kwenye chungu sasa
  5. kilambalambila

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Ni msanii kama wasanii wengine na tabia za wasanii zinafanana linapokuja suala la ndoa/mahusiano.
  6. kilambalambila

    Kampuni ya Canal+ yaweka ofa ya Tsh. Trilioni 4.9 kuinunua Multichoice

    Inunuliwe tu...dstv wameishiwa ubunifu ni kama continental
  7. kilambalambila

    Nigeria leo ni Sikukuu ya Eid El Fitr?

    Jua limeshapatwa sasa tumeona huko Amerika Kaskazini. Iddi mwaka huu inabidi iwe siku saba
  8. kilambalambila

    Ni sahihi kuwaita RC na DC Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya?

    Ni wakuu wa Serikali kwenye maeneo yao ya utawala. Kila kitu kiko chini ya utawala wao kwenye vipande walivyoaminiwa na kupewa na Mhe. Rais wavisimamie. Ndo msingi wa kuitwa wakuu wa Mikoa/Wilaya. Hakunaa mtu mwingine KI-MAMLAKA mkubwa kuliko wao huko walikopangiwa. Elewa neno KI-MAMLAKA...
  9. kilambalambila

    Kanisa Katoliki laanzisha bima yake ya afya kwa ajili ya waumini wao baada ya kuona wanahangaika

    Swaafi! Achana na wale akili zinawaza kuchapa viboko watu wanaojilia ridhiki zao
  10. kilambalambila

    Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

    Makonda hata huko Arusha anaweza akashine kuliko hata Boss wake, yule jamaa ana kipaji namna pekee labda wamuondoe tena kwenye system ila akiwepo hata kam ni DC ataendelea kukonga nyoyo za watu kuliko hata mabosi zake
  11. kilambalambila

    TEC, CCT, CPCT Kemeeni yanayoendelea Zanzibar ili kuwalinda Wakristo waishio Zanzibar

    Ipitishwe kura ya maoni muungano tuamue tena kuhusu muungano, ninkama tuliwekwa kifungoni bila kujua
  12. kilambalambila

    Mapdri Mwanza watangaza siku ya kufanya maazimisho ya kumkumbuka Magufuli

    Pande za kizimkazi wanasemaje kwani?
  13. kilambalambila

    Kuna anaowafahamu kilimanjaro cement?

    Mi nawafahamu, kwa ajira mpya wanalipa KSD 2500
  14. kilambalambila

    Kama unataka kulinda uchumi na afya yako acha mambo yafuatayo;

    Yaani usit-mbee hovyohovyo! Sawa mleta mada
  15. kilambalambila

    Madiwani nao wanunuliwe Toyota Land cruiser LC300

    Na wenza wao walipwe mishahara na viinua mgongo kabisa
  16. kilambalambila

    Wanawake wanasheria ni ngumu sana kuolewa, wakiolewa wengi ndoa zao hazidumu. Walimu wanaolewa sana na ndoa zao zinadumu kwanini?

    Kwenye social psychology kuna kitu kinaitwa Role Confusion! Ndo kinakumba wanawake wa namna hii. Wanawakw Wanasheria, askali/majeshi mpaka watendaji wa kata na vijiji wengi wao wanashindwa kutofautisha roles za kazi zao na za ndani ya familia. Waalimu always asilimia kubwa wako obedient na ni...
Back
Top Bottom