Search results

  1. Edward Sambai

    Barua ya wazi kwa Mh. DC na Mstahiki Meya wa Arusha Mjini

    Awali ya yote nawasalimu na kuwapongeza kwa kufanikisha sherehe za Christmas wananchi wa Mkoa wa Arusha kusheherekea kwa amani pasipo hofu japo maisha ni magumu (Pesa Mitaani hakuna) Mh. Mkuu wa mkoa Ndugu yetu Mrisho Gambo na Mh. Meya wa Jiji la Arusha sasa ni wazi kuwa tunakwenda kuingia...
  2. Edward Sambai

    Kutoka Arusha, Tundu Lissu aongoza kumbukumbu ya miaka 17 kifo cha JK Nyerere

    Nipo hapa The New Safari Hotel kuwaleta Up-dates ya kinachojiri. Stay tuned...... Up-dates Viongozi wa meza kuu wameshaingia ukumbini na sasa Mc anamkaribisha Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Arusha, Ndugu Magoma. Mwenyekiti wa wilaya ya Arusha Chadema Mh. Magoma anawatambulisha wageni waalikwa...
  3. Edward Sambai

    CHADEMA-Arusha yagundua madudu mengine yaliyofanyika kipindi cha CCM

    Kamati yagundua ufisadi mkubwa jiji la Arusha TAARIFA ya Kamati ndogo ya Baraza la Madiwani wa Jiji la Arusha iliyoundwa kuchunguza uhalali wa ufutaji wa madeni ya mapato ya jiji hilo katika kipindi cha miaka mitano iliyopita imegundua ‘madudu’ ya upotevu wa shilingi 843,137,112.00 za...
  4. Edward Sambai

    Video: Masafara wa Lowasa kwenda NEC kuchukuwa form ya kugombea uraisi tarehe 10/08/2015

    Fungua link ujionee mwenyewe. https://youtu.be/kcGHvbJ1-GQ
  5. Edward Sambai

    Hawa wamasai wanamaanisha nini?: Mliuwa Sokoine, uweni tena na Huyu muone....shiye!!!!

    Leo majira saa saa 9 alasiri wakati natokea Tarangire National Park via Monduli to Arusha. Nikiwa ndani ya Landcruser na Wataliano watatu, nilipofika Monduli nilikuta kundi kubwa la wamasaiwakiimba huku wengine wamebeba picha ya Edward Lowassa wakisema, Ninanukuu "MLIMUUWA SOKOINE, MUUENI...
  6. Edward Sambai

    Kikwete, Tutakukumbuka kwa miaka 2 na tumesikitika kwa miaka 8

    Amani ikae nanyi. Ninapenda kuuelezea utawala wa Rais Kikwete kwa kuugawanya katika vipindi viwili. MOSI Mh. Rais Kikwete alipopewa ridhaa na Watanzania kuingia ofisi ya juu kabisa mwaka 2005, aliweza kubeba matumaini makubwa sana ya Watanzania na kiukweli aliitendea haki ofisi aliyokabidhiwa...
  7. Edward Sambai

    Video: Ukawa wakimtumia Lowasa kushinda Uchaguzi mkuu kwa ushindi mkubwa sana!

    Fungua link na ujionee. Tafadhali usi-coment kabla ujaiona. https://youtu.be/C6ihg_N3zT4
  8. Edward Sambai

    Video: Prof. Lipumba azungumzia hatua iliyofikiwa na Ukawa ni lini watamtangaza mgombea wa Ukawa

    Fungua link ujionee pamoja na kusikiliza mwenyewe. https://youtu.be/Rp57nS52JWI
  9. Edward Sambai

    Nimelazimika kuileta hii video hapa, Nisamehe CHADEMA

    Fungua hii clip ujionee mwenyewe.
  10. Edward Sambai

    Arusha: Jaji Lubuva, Arusha hatutaki vitambulisho vya matumaini tunataka vitambulisho vya mpiga kura

    Kwako Mh. Jaji na mzee wetu kwanza pole na kazi. Nimependa kutanguliza pole kwani ni ukweli usio kuwa na kificho kuwa jukumu ulilonalo ni zito na kubwa sana ukitegemea na umri ulio nao. Pili shikamoo mzee wangu. Tatu nipende kukueleza kuwa usipo kuwa makini katika jimbo la Arusha mjini basi...
  11. Edward Sambai

    Tundu Lissu aponda safari ya Lowassa ya Matumaini adai ni safari ya matumizi

    MWANASIASA Machachari na Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani bungeni,Tundu Lissu, ameponda Safari ya Matumaini ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa, akidai si ya Matumaini, ni ya Matumizi. Lissu alisema hayo jana katika Mkutano wa Hadhara...
  12. Edward Sambai

    Updates na Picha: Mkutano wa ACT-Wazalendo Arusha leo 29/04/2015

    Wandugu jioneeni wenyewe jinsi kile kikundi kinachojiita Wazalendo walivyopokelewa Arusha. Kilivyonifurahisha ni kikundi hicho kinachojiita wazalendo kushituka kuwa japo wanahutubia watu wachache lakini pia hao wachache ni wafuasi/mafansi wa Chadema ndipo walipoamua kufunga mkutano wao minajiri...
  13. Edward Sambai

    Kwa huu usanii! Sito kubali kabisa!!!!!

    KWA HUU USANII Sitokubali!! ni usaliti mkubwa na IMENIUMA SANA!! Kama mtanzania sitokubali kamwe!, kilichotokea Dodoma bungeni muda mfupi uliopita ni karaha, ni fedheha na ni aibu kubwa!!! nasema ni DHARAU na aibu kubwa usioelezeka!!!, it is just an act of mindless vandalism!! Rais...
  14. Edward Sambai

    Soma alichokiongea Askofu Gwajima baada ya kutoka hospitali

    NA KAROLI VINSENT KILE kinachooneka Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima (pichani) ni sawa na sikio la kufa ambalo alisikii dawa,baada ya leo kuibuka na kusema haogopi kulitetea Tamko lilotolewa na jukwaa la kikristo nchini ambalo linawahamasisha waamini wa dini...
  15. Edward Sambai

    Hatari kubwa inakuja Arusha tarehe 28 Feb, 2015

    Amani ikae nanyi, Kwa taarifa nilizozipata toka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika na kutokana na kujishuhulisha kwangu katika mtaa wangu wa Melamari (Ikumbukwe kuwa mimi ndiye Mwenyekiti wa Mtaa wa Melamari) Ni kwamba vikundi (VIKOBA) vilivyopo katika mtaa wangu vinatumika kisiasa na...
  16. Edward Sambai

    Arusha: CCM waanza kujitoa uchaguzi serikali za mitaa, CHADEMA yapita bila kupingwa mitaa 9

    Ile Operation Delete CCM imeanza kuzaamatunda baada ya wagombea nafasi ya uenyeviti 9 wa ccm kujitoa na watatu kati yao kuomba kujiunga na Chadema. Wenye viti wa ccm waliotangaza rasmi kujitoa katika kinyang'anyiro hicho cha kugombea ni kutoka :- Mtaa wa- Olmatejoo "A" Olmatejoo "B" Mama...
  17. Edward Sambai

    Ratiba na Maelekezo Kuhusu uchaguzi Serikali Za Mitaa

    Wana Jamiiforums Especial makamanda wote ni muhimu kusoma attached files hizi na kuzielewa vyema ili kuepukana na propaganda za Magamba katika kipindi hiki tunapoenda kushinda kwa kishindo cha Tsunami chaguzi za Serikali za Mitaa.
  18. Edward Sambai

    Dr. Slaa, Freman Mbowe, Tindu Lissu, Warioba, Lowasa: Kwanini wapigiwe chapuo kuwa Marais?

    Wakubwa shikamooni na wadogo marahaba. Ni ukweli usio pingika kuwa hawa watu watano ndio Watanganyika wenye nguvu ya kuukwaa Uraisi wa jamuuri ya Muungano wa tanzania kama vyama vyao vitawasimamisha. (Nimetumia neno Watanganyika kwasababu kwa Mfumo wa serekali mbili ni ndoto kwa sasa mtu toka...
  19. Edward Sambai

    Marehemu bi Shida naye alipiga kura ya ndio kupitisha Katiba pendekezwa

    Ukistaajabu ya Musa Utayaona ya Sitta Leo asubuhi wakati naangalia Star Tv nimestaajabu nilichokisikia kutoka kwa mwandishi mmoja ambaye ni mgeni wa Doto wa Star TV akisema kuwa ata Marehemu Bi Shida japo alishatutoka lakini kura yake ilihesabiwa. My take: Mwenye utaalamu wa mambo ya ahera...
Back
Top Bottom