Mkuu dinia ya sasa sio ya Maguvu Bali ni akili. Huu no mtego kwa Mrusi na (japo Ukraine anaumia zaidi) Mataifa ya Magharibi na Marekani ni wajanja sana.
Hapa Putin anajengewa chuki duniani kuwa yeye ni katili, Ukraine atasaidiwa kimikakati na KUPEWA silaha ili amdhoofishe Russia, Economics...
Huwa mnawanang'a wamasai wa Ngorongoro kuwa wanamiliki ng'ombe wengi lakini hawana tija kwani ni maisha yao ni maskini.
Binafsi sioni tofauti ya kujivunia viwanda vya ndani wakati viwanda hivyo hudhalisha bidhaa hafifu na kuuza bei juu.
Wacha EPA (Economic Partnership Agreement) isainiwe ili...
Unadhani hizi pumba ulizoziandika zinaweza kuvuruga mwanzo mwema aliouonyesha Rais Samia?
Nikukumbushe tu kuwa hii sio Mara ya kwanza Mh. Samia kumtembelea Tundu Lissu, na hii inaonyesha wazi Mh. Samia kama angefika ubelgiji as raia wa kawaida angemtembelea Tundu Lissu. Hapa ninachokiona kwa...
Kwa yeyote anayeitakia Tanzania mema atataka kuona Rais Samia, Freeman Mbowe na Tundu Lissu wakikaa pamoja na kuyamaliza na zaidi kufanya kazi pamoja ya kuijenga Tanzania.
Najua wale maadui wa nchi hii hawatataka hilo litokee. Ila kama leo hii Rais ni wa Tanzania ni Mh. Samia na sio Magufuli...
Ole wako wewe unayefurahia wamasai kuonewa, kwani hakuna anayejua kuwa wakishamalizana na wamasai nani atafuata?
Ilianza WAPINZANI (CHADEMA), MACHINGA, leo WAMASAI Kesho sijui kundi gani au nani.
Binafsi naiombea serikali itende haki kwa kila jambo. Rais Samia ni mtu wa haki ila kama tutakuwa...
Tatizo kubwa ni sera, nazani tungebali sera zetu na kufanya utalii ni sehemu ya kutengeneza ajira kisha kodi kuwa jambo la pili.
Pili serikali inachaji ghali sana kiasi kwamba mtalii anaona kutembelea Tanzania ni gharama kubwa. Ipo hivi kodi na mapato yanayokusanywa kutoka kwenye makampuni na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.