Search results

  1. C

    Mama huyu kipofu kanishangaza

    Vipofu wana Uwezo Mkubwa sana wa Kutambua bila Kuona
  2. C

    Juma Said Juma 'Ngedere', Shujaa wa Kinondoni

    Nimekumbuka Hiyo... Hapo American Chips Kwenye Hilo Pambano, Nakumbuka Juma Ngedere Aliingia Pale Kwenye Pambano Saa 9 Alasiri, Masaa 3 kabla ya Muda Wa Kuanza Pambano... Alifanya mazoezi makali mfululizo Kuanzia Saa 9 hadi 12 Kama Maandalizi... Watazamaji wakajua Kuwa Leo Atakufa Mtu, wakaamua...
  3. C

    Juma Said Juma 'Ngedere', Shujaa wa Kinondoni

    Kwa wakazi wa Kinondoni, Tunaomba Mtukumbushe kadri mtakavyoweza, Uwezo na Matukio Aliyoyafanya Juma Ngedere, Kipindi chote Alichovuma Katika Michezo ya Kujihami... Historia yake na Alipo sasa. Kado Cool, Naamini Ana Maelezo ya Kina. Je, Mashujaa Wenzake hasa wa Kipindi chake, Wako wapi sasa...
  4. C

    Yule mzee Laizer alikuwa bilionaire hata kabla aisee

    Mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Tanga. Mwanza ni mkoa wa Magharibi
  5. C

    Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Mwanzo Ottawa Alikuwa Akifanya Biashara ya Malori baada Ya Kuwa Anayanunua ya KAURU na Kuyakarabati Kubebea Mazao Kupeleka Mjini. Aling'ara. Ksha Akaibukia Katika Mabasi na Vituo vya Mafuta. Kweli Abdallah Ottawa Aliogopwa kwa Ushirikina. Alikuwa na Dereva Machachari sana Akiitwa Massawe.
  6. C

    Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    BBS ndio Bin Kleb Bus Service, Ilikuwa Inajiita Super Maji Maji No. 1 Kweli Naikumbuka Sana
  7. C

    Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Pia Kulikuwa na Likungu, SABCO, Ruvuma Tours, Special Sleeping Coach, Tawaqal, Mail Coach, Shabiby na Kiswele. Kwa Mbinga Kulikuwa na Sadi Investment na Toto Coach
  8. C

    Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Kuna Basi Lilijulikana kama Siri Yako pia
  9. C

    Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Mohamed Trans ni Mzee wa Kahama
  10. C

    Wafikishwa mahakamani kwa wizi wa zaidi ya Tsh. milioni 500

    Inaonekana waliochangia hapa wanajivuruga... Ukisikia mtu anapokea mshahara ujue Kaajiriwa 'Full' time. Na kuwa, Mkataba wake Unaeleza ni muda gani anapaswa kuwepo muda huo wote Kazini na Anapaswa kutekeleza mambo gani. Ajira nyingi ni za masaa 8, say saa 0800 hadi 1700, Saa 1 ni la Chakula...
  11. C

    Kikombe gani kitajaa chai mapema zaidi?

    Kikombe Namba 9 Ndio Kitajaa Upesi/Haraka
  12. C

    Hiki kina kazi gani kwenye friji?

    Nafikiri kuna Kaukweli Kutokana na Maelezo ya Dronedrake Ingawa Wachangiaji Wamevamia kwa Pupa Bila Kutafakari kwa Kina. Ni Kweli Wachangiaji Wanaposema Presha Inakuwa ndogo When the area is big at constant Force applied, as Pressure is inversely proportional to Area... That is very true. Kwa...
  13. C

    Wanawake tuongeze kujiheshimu...

    Uboho ni bone marrow, Ile tissue iliyo ndani ya mifupa ikitengeneza Chembe hai za damu nyekundu (red blood cells) Sent using Jamii Forums mobile app
  14. C

    Mzumbe ni Mzumbe tu

    Lazima Utakuwa MwanaMzumbe. M.A.V.I Ilianza Kipindi tupo Pale, kwa ndani kabisa Ilikuwa Mzumbe Atomic Vibration, kwa nje wanajiita Mzumbe Academic Village. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. C

    Uwezo wa wataalam wa Bioteknolojia na Microbiolojia

    Umewasahau watu wa mionzi... Radiographers, Radiotherapists na Radiologists Sent using Jamii Forums mobile app
  16. C

    Wizi wa magari Dodoma

    Funga Track Solid. Ikifungwa inafungwa sehemu ambayo mtu hawezi kuona kwa Urahisi.. Kokote Linakoenda, Unakuwa Unaliona, hadi Spidi linayotembea Sent using Jamii Forums mobile app
  17. C

    Niulize Chochote Kuhusu (CLINICAL NEDICINE)

    AMO ni Assistant Medical Officer.. ana Advanced Diploma in Clinical Medicine. Clinical Officer Ana Diploma in Clinical Medicine Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom