Search results

  1. Mwamba028

    Kutenguka kwa bega (Shoulder Dislocation)

    Wakuu natumai mko salama, poleni na heka heka za umeme. Nimekuwa na tatizo la kutenguka kwa bega kwa zaid ya miaka 15, yan dislocation ya kwanza nlipata around 2005 baada ya hapo nimekuwa nikipata hii shida kila baada ya muda flan, sometime naeza kaa ht miez 6 bila kutokea. Na kila nkipataga...
  2. Mwamba028

    Uzi wenye SHAIRI

    Wakuu salama, Katika pitapita ya nyuzi mbalimbali kuna uzi fulani siukumbuki ila kuna mdau alikoment audio yenye hili shairi, hili shairi nimelisikiliza mara nyigi sana na lina ujumbe mzuri sana. Naomba yule aliyeweka hili shairi anisaidie kupata mashairi zaidi ya huyu jamaa, au hata nkipata...
  3. Mwamba028

    Mapumziko ya Mwili na Akili, Lushoto

    Wakuu heshima zenu, Nahitaji kwenda nje ya jiji la Dar kwa mapumziko mafupi ya kama siku 2 ili nipumzishe hii akili. Nahitaji kwenda Lushoto, Tanga ila sijawahi kufika huko wala siyajui maeneo mazuri. Nahitaji mahali palipotulia sanaa na penye mazingira natural ya kutosha with enough green...
  4. Mwamba028

    Mafundi wetu wanaweza kutengeneza kioo cha Evolli TV?

    Wakuu salama, Hyo Tv yng aina ya evoli screen ndo imebuma kimtindo huo yan inaweka mistari tu, dada ktk harakat za usafi aliminya kioo. Hili tatizo linapona kwa mafundi wetu wa ki bongo kweli au ndo imeisha?
  5. Mwamba028

    Kuna Uzi Nautafuta

    Wakuu salama, Kuna uzi nlikuwa nausoma ila bahati mbaya nikawa nimetoka bila kushika title yake wala muanzisha uzi. Ila Stori yake iko hv Jamaa alimgomea mshua wake kwenda A level kwa sabb ya HKL so akaenda Dar kusaka maisha. Mwenye title au link aniwekee tafadhali, nahitaji kuumalizia
  6. Mwamba028

    INAUZWA Pikipiki Boxer BM 150 Inauzwa

    Iko vizuri sana. Bei 1.2 M Ipo Dar, Mabibo. Piga 0621460223
  7. Mwamba028

    INAUZWA Printer HP 2620 (All in one) Inauzwa

    Ni printer aina ya HP 2620, ni multifunction so inaprint, inatoa copy na kufanya scanning. Printer bado mpya, ina mwezi mmoja tu Bei 150,000. Ipo Tabata 0621460223 Karibuni
  8. Mwamba028

    Natafuta Printer, Photo printer na Digital camera

    Wakuu natafuta vitu tajwa hapo juu 1.Printer ndogo(all in one), iwe ya wino au laser 2.Photo printer ile ya kuprintia pasport size(complete set) 3.Digital camera ndogo Bajeti ni pesa isiyopungua laki 3, maongezi yapo kulingana na hali ya vitu husika. Nipo DSM hapa.
  9. Mwamba028

    Piki Piki Inauzwa 1.2M

    Piki piki used Inauzwa Aina: Hero Dawn, cc 100 Mzalishaji: India Bei: Tsh 1,200,000 Mahali: Dar es Salaam Inatembea na iko katika hali nzuri, Ilikuwa ikitumika kuendea kazini na kurudi na Haina tatizo lolote. Karibuni Picha hizo hzo chini Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mwamba028

    Wauza Vitenge wapo Humu?

    Wakuu kuna mtu yeyote anayeuza vitenge humu? Halafu bei za hivi vitenge zikoje mana nimejaribu kuchungulia huki insta naona vinauzwa 35,000 ina mana hamna vya bei ya chin i ya hapo?? Na quality zinakuwaje mana sijui chochote kuhusu vitenge na nataka nimnunulie shangaz yangu nimpelekee zawadi...
  11. Mwamba028

    Raba Kali !!!

    Hizi raba nilinunua kwa ajil kuvaa mwenyewe lkn zmenibana, so ukizielewa nirudishie hela Ni namba 42 na Bei ni 20,000 tu. Napatikana dsm mitaa ya tbt na posta.
  12. Mwamba028

    Nini chanzo cha Mdomo kuwa chumvi chumvi

    Wakuu kwa mwenye kujua chanzo cha tatizo la mdomo kuwa na ladha chumvi chumvi muda wote, yani kila unachokula au kunywa unahis kina chumvi,kuanzia maji,juis, chai na chakula pia kwenye kula kinapoteza ladha kwa 50% na unapomeza ndo husikii ladha kabisa Hata mate ukimeza yanakuwa na chumvi...
  13. Mwamba028

    Viatu Original vya Ngozi Vinauzwa

    Wazee hivi viatu nilinunua kwa ajili ya kuvaa mwenyewe ila vimenibana mana ni namba 41. Km umevielewa nicheki unirudishie hela Viatu ni vya mtumba, Bei ni 40,000/= tu, Namba ni 41 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mwamba028

    Picha hubeba Ujumbe Mzito sana

    Wazungu husema a Picture speaks a Thousand words..
  15. Mwamba028

    Nini chanzo na tiba ya Chronic Wheezing

    Wheezing ni ile hali ya kutoka kwa sauti flani kwenye koo wakati wa kupumua i.e kuvuta hewa ndani au kutoa nje. Hii hali imekuwa ikinisumbua kwa muda mrefu sana aisee, nshajaribu kutibia mara kadhaa lakini huwa inapona halafu inarud tena bada ya ya wk 2 au mwezi. Hainizuii kufanya chochote...
  16. Mwamba028

    Kwa Wadaiwa wa Bodi ya Mikopo

    Kwa wale walioanza kulipa Naomba kujulishwa kuhusu hii Value Retention Fee ndo Inakuwaje?
  17. Mwamba028

    Kwa Anayehitaji Kuishi Makongo juu

    Kuna Chumba kiko wazi ni self na kiko ndani ya fensi,kiko Makongo juu CCm Kodi yake 130k kwa mwezi Ukitaka kukiona Nichek pm
  18. Mwamba028

    Vyakula Hatari kwa Mwanaume Vinavyoweza kupunguza Nguvu za Kiume

    Baadhi ya vyakula ambavyo sio rafiki kwa Mwanaume kuvitumia kwa Wingi ni vile ambavyo vina kiwango kikubwa cha Estrogen ambayo ni homoni za kike ambazo hupelekea kupungua kwa nguvu za kiume.
  19. Mwamba028

    Diamond kuanzisha Tamasha lake la Fiesta

    Msanii wa bongo fleva Diamond Platinumz amepanga kuanzisha tamasha lake litaloitwa Wasafi Festival ambalo inatarajiwa litakuwa tamasha pinzani na lile la fiesta linaloendeshwaga na Clouds media kila mwaka. Kila la Heri Dogo Nassibu.
Back
Top Bottom