Search results

  1. N

    Borax badala ya mercury ktk uchimbaji dhahabu

    Hi ndg tumefurahi maelezo hayo walakin tutaipataje kwa njia rahisi khususan tupo mikoani mbali huku na tena vijijini ndio kuna dhahabu na tabu ya mecury tumechoka hebu tupe hizi njia mkuu
  2. N

    Natafuta soko la ndani la madini haya

    Hi bro nauza una wanunuzi ai mwenyewe tuwasiliane jf au sm0715118858
  3. N

    Natafuta soko la ndani la madini haya

    Hi bro hayo madini yapo walakin sijui yanakopatikana huwa wanaleta tunazikusanya km unazihitaji unaweza pata kiasi ira na moro
  4. N

    Miti ya milingoti ya nguzo za umeme inauzwa.

    Salam hoyo miti punguza kidogo maana transport ipo juu mimi nije chukua zote kwa cash
  5. N

    Iphone 4 orginal gb16

    Hi bro mimi pia naitaka kwa 320000 nipo Ira ntaipataje
  6. N

    Mali za Kijerumani

    Shukran hapo umenena tufanye kazi ki wazi na halali hayo ni ya haraka na mazingaombwe poa km kuna ukweli basi nasema mungu awabarikie mfanye nyie ila muwe na tahadhari na matapeli
  7. N

    Mali za Kijerumani

    She sikatai walakin nasema jwa upande mwingine hao wajerumani uliwahi shuhudia mwenyewe au unaambiwa na jama tu? Maana hzi tumesikia tungali tupo mashuleni leo hii pia tunahadithiwa naomba km utafuatilia mwenyeww hata hapa kwetu Iringa yapo maeneo mengi sana na nimeyaona hata mimi pia na zipo na...
  8. N

    Mali za Kijerumani

    Hi bro uhakika bado hauko Kweli tunaambiwa kuna mali nyingi za thamani kubwa walakin mengi au wengi wao ni wazushi mimi huwa nafatilia sana hz sehemu walakin sijawahi kuona yoyote kati ya hao alifanikiwa. Nadhani ni hadithi tu na uhakika bado hauko
  9. N

    Naomba mnisaidie kupata bei ya dhahabu kwa gramu

    Hi bro dhahabu imeshuka bei walakin bado unapata soko lipo unayo leta ya carat 22
  10. N

    Nauza miti milingoti

    Safi sana nami nazihitaji pia ila bei ziwe pia yaweza kuridhisha ntakutafuta sm yako nimeandika nadhani kuanzia wiki ijayo shukran
  11. N

    Maabara Mkoani Mbeya

    ok shukran sana ZeMarcopolo nitafanya hivyo,lastly but not least DMO ni wapi? ahsanta
  12. N

    Maabara Mkoani Mbeya

    asante sana kwa kutembelea huu uzi ZeMarcopolo bado sina hata kifaa kimoja ili nipo katika mchakati wa kununua vifaa vyote pale lab equipment ipo keko mwanga dar es salaam! ultrasound nayofikiria kununua ni portable, kinacho nikwaza mpaka sasaivi sijajua wapi nitapata wataalamu wa hizo machines...
  13. N

    Maabara Mkoani Mbeya

    Heshima kwenu Mimi ni mjasiriamali Mkoani Mbeya nahitaji kufungua diagnostic center Kwaajili ya vipimo vya ultrasound EEG ECG X-ray na laboratory ya damu, sifikirii kua na matibabu labda kwa mbeleni, kwa sasaivi target yangu ni vipimo tu! Nahitaji kujua changamoto zake. Leseni Yake nitaipatia...
  14. N

    Viwanja vya bei poa dar

    Poa nimefurahi kusikia km naweza pata viwanja je ntakupataje unaweza kunipa no yako
  15. N

    Naomba mnisaidie maujanja

    Duhhh.....
Back
Top Bottom